TEHRAN (IQNA)- Meya wa mji wa Cape Town nchini Afrika Kusini Patricia de Lille amesema idadi Watalii Waislamu wanatarajiwa kuwa kati watakaoleta pato kubwa mjini humo.
Habari ID: 3471710 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/10/16
Kiongozi wa Hizbullah
TEHRAN (IQNA)- Katibu Mkuu wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa, Rais Donald Trump wa Marekani anatumia sera ya kueneza propaganda chafu dhidi ya Iran kwa shabaha ya kutaka kuuza silaha za mabilioni ya dola kwa nchi za Kiarabu.
Habari ID: 3471706 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/10/13
TEHRAN (IQNA)- Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetangaza mpango wa kuandaa kongamano la ‘Mustakabali wa Ulimwengi wa Kiislamu Kufikia Mwaka 2035.’
Habari ID: 3471705 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/10/09
TEHRAN (IQNA)- Waislamu katika jimbo la Ohio nchini Marekani wameanzisha mkakati maalmu wa kuhakikisha kuwa wakaazi wote wa eneo hilo wanapata ufahamu sahihi kuhusu Uislamu.
Habari ID: 3471703 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/10/08
TEHRAN (IQNA)- Msikiti mmoja umehujumiwa huko Ujerumani katika mji wa Gladbeck katika jinai ambayo inasadikiwa imetekelezwa na wanazi mamboleo wanaowachukia Waislamu.
Habari ID: 3471699 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/10/02
TEHRAN (IQNA)-Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa ametakuwa kusikiliza sauti za Waislamu kabla ya kukamilisha rasimu ya sheria mpya za Uislamu nchini humo.
Habari ID: 3471698 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/10/01
TEHRAN (IQNA)- Afrika Kusini imesisitiza kuwa sera zake dhidi ya utawala wa Kizayuni wa Israel zinabaki pale pale.
Habari ID: 3471695 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/09/29
TEHRAN (IQNA)- Jengo moja ambalo limekuwa likitumiwa kama kanisa kwa muda mrefu mjini Humburg nchini Ujerumani sasa limegeuzwa na kuwa msikiti.
Habari ID: 3471694 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/09/28
TEHRAN (IQNA)- Idadi ya watu wanaokumbatia dini tukufu ya Kiislamu nchini Norway inazidi kuongezeka ambapo katika miaka ya hivi karibuni Wanorway wasiopungua 3000 wamesilimu.
Habari ID: 3471693 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/09/27
TEHRAN (IQNA)- Hofu imetanda miongoni mwa Waislamu nchini Italia baada ya serikali yenye misimamo mikali ya mrengo wa kulia kuchukua madaraka nchini humo.
Habari ID: 3471692 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/09/26
Rais Rouhani akihutubu katika Umoja wa Mataifa
TEHRAN (IQNA)-Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya lran amesema Marekani ilikiuka sheria kinyume na misingi na sheria za kimataifa kwa kujiondoa katika mapatano ya nyuklia ya Iran yaliyoidhinishwa na Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa.
Habari ID: 3471691 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/09/26
TEHRAN (IQNA)- Maelfu ya watu wameshiriki katika matembezi ya Siku ya Waislamu katika eneo la Manhattana mjini New York nchini Marekani.
Habari ID: 3471688 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/09/25
TEHRAN (IQNA)- Magaidi wakufurishaji wanaopata himaya Uingereza na Saudi Arabia wameshambulia gwaride ya kijeshi katika mji wa Ahvaz kusini mwa Iran na kuua shahidi watu kadhaa wakiwemo wanawake na watoto.
Habari ID: 3471685 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/09/22
TEHRAN (IQNA)- Utawala wa China unawatenganisha watoto Waislamu na wazazi wao ambao wanashikiliwa katika gereza au kambi maalumu za mafunzo ya Kikomunisti.
Habari ID: 3471682 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/09/21
Kiongozi wa Hizbullah katika Majlis ya Muharram
TEHRAN (IQNA) Kiongozi wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema Marekani ndiyo inayorefusha uwepo wa baadhi ya mabaki ya magaidi wa ISIS au Daesh katika baadhi ya maeneo ya kaskazini mashariki mwa Syria.
Habari ID: 3471680 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/09/20
TEHRAN (IQNA)- Polisi katika eneo la West Yorkshire Uingereza wamezindua sare ya maafisa wa kike Waislamu ambayo inazingatia mafundisho ya Kiislamu ya mavazi yaliyo na staha.
Habari ID: 3471679 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/09/19
TEHRAN (IQNA)- Mgogoro kuhusu umiliki wa Msikiti Mkuu wa Crodoba nchini Uhispania unaendelea kutokota baada ya kamati iliyoteuliwa na Baraza la Mji wa Cordoba kupinga hatua ya Kanisa Katoloki kuchukua udhibiti wa msikiti huo.
Habari ID: 3471677 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/09/17
TEHRAN (IQNA)- Waislamu wa madhehebu ya Shia nchini Kenya wanaendelea na maombolezo ya mwezi Muharram katika kukumbuka kuuhawa Shahidi Imam Hussein AS na wafuasia wake katika jangwa la Karbala.
Habari ID: 3471672 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/09/16
Inna Lillah wa Inna Ilayhi Rajioun
TEHRAN (IQNA)-Qarii na mwanazuoni mtajika wa Qur'ani Tukufu nchini Libya na katika ulimwengu wa Kiislamu Sheikh Mustafa Qashqash amefariki dunia na kuzikwa Ijumaa katika mji mkuu wa nchi hiyo, Tripoli.
Habari ID: 3471671 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/09/15
TEHRAN (IQNA)- Wanajeshi wa utawala Saudi Arabia wamewashambulia Waislamu wa madhehebu ya Shia ambao walikuwa wakishiriki katika maombolezo ya Mwezi wa Muharram.
Habari ID: 3471670 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/09/14