TEHRAN (IQNA) –Serikali ya China inaendeleza ukandamizaji wake wa jamii ya Waislamu nchini humo na sasa inatumia kamera maalumu kwa lengo la kuwachunguza na kuwadhibiti Waislamu.
Habari ID: 3471848 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/02/21
TEHRAN (IQNA)- Askari wa utawala wa Kizayuni wa Israel Jumanne waliuhujumu Msikiti wa Al Aqsa katika mji wa Quds (Jerusalem) na kuwajeruhi Wapalestina waliokuwa wakifanya ibada katika eneo hilo la tatu kwa utakatifu katika Uislamu.
Habari ID: 3471847 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/02/20
TEHRAN (IQNA)- Serikali ya Sudan imeanza mradi wa kitaifa wa kukarabati nakala za kale za Qur'ani Tukufu.
Habari ID: 3471844 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/02/17
TEHRAN (IQNA)- Mahakama nchini Austria imebatilisha uamuzi wa serikali kufunga misikiti sita ya jamii ya Waarabu nchini humo.
Habari ID: 3471842 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/02/15
TEHRAN (IQNA) – Washindi wa Mashindano ya Qur'ani ya watoto walemavu yamefanyika nchini Saudi Arabia.
Habari ID: 3471839 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/02/13
Baada ya kufanya utafiti
TEHRAN (IQNA)- Mwanasiasa wa mrengo wa kulia na mbunge wa zamani UholanzI, Joram van Klaveren aliyekuwa na chuki kubwa dhidi ya Uislamu ameibua gumzo nchini humo baada ya kutangaza kubadilisha msimamo wake na kusilimu.
Habari ID: 3471832 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/02/06
TEHRAN (IQNA)-Fainali za Mashindano ya 36 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu zimepangwa kuanza mjini Tehran kuanzia Aprili 10.
Habari ID: 3471831 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/02/05
TEHRAN (IQNA)- Siku ya Kimataifa ya Hijabu imeadhimishwa Ijumaa katika mji wa Lamu nchini Kenya huku washiriki wakitoa wito wa kuondolewa marufuku ya Hijabu shuleni nchini humo.
Habari ID: 3471828 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/02/03
TEHRAN (IQNA)- Idara ya Mfawidhi wa Haram Takatifu ya Imam Hussein AS iliyoko nchini Iraq imezindua Taasisi ya Qur'ani nchini Burkina Faso.
Habari ID: 3471827 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/02/02
Waziri Mkuu Mahathir Mohamad
TEHRAN (IQNA)-Waziri Mkuu wa Malaysia Mahathir Mohammad amesisitiza Jumatatu kuwa nchi yake inashikilia msimamo wake wa kuwazuia raia wa utawala haramu wa Israel kuingia nchini humo huku akiitaja Israel kuwa utawala wa kihalifu.
Habari ID: 3471824 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/01/29
TEHRAN (IQNA)- Hatimaye utawala wa Marekani umelazimika kumuachulia huru bila kumfugulia mashtaka mtangazaji wa Press TV, Bi. Marzieh Hashemi baada ya kumshikilia kizuizini kinyume cha sheria kwa muda wa siku 11.
Habari ID: 3471818 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/01/24
TEHRAN (IQNA)-Msikiti wa Jamia katika mji mkuu wa Russia, Moscow, umeanzisha mpango maalumu wa kusoma (qiraa) Qur'ani Tukufu kwa muda wa masaa 24 kila siku.
Habari ID: 3471815 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/01/22
TEHRAN (IQNA)- Kongamano la Kimataifa la Baraza Kuu la Masuala ya Kiislamu limefanyika nchini Misri na kuwaleta pamoja wawakilishi wa nchi 40.
Habari ID: 3471812 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/01/20
TEHRAN (IQNA)- Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amekosoa vikali hatua ya Myanmar kuendelea Waislamu wa jamii ya Rohingya kurejea nchini humo.
Habari ID: 3471811 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/01/19
TEHRAN (IQNA)- Mashirika ya kutetea haki za raia nchini Marekani yamemlaani rais Donald Trump wa nchi hiyo kwa kumteua mtu mwenye chuki dhidi ya Uislamu kuwa naibu mshauri wa usalama wa taifa.
Habari ID: 3471810 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/01/18
TEHRAN (IQNA)- Wizara ya Wakfu ya Misri imetangaza kufungua shule mpya 26 za Qur'ani Tukufu katika jimbo la El Wadi El Gedid.
Habari ID: 3471805 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/01/13
TEHRAN (IQNA)- Mtoto mvulana wa Kipalestina mwenye umri minane amefanikiwa kuhifadhi Qur'ani Tukufu kikamilifu miezi minane tu baada ya kuanza zoezi la kuhifadhi.
Habari ID: 3471803 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/01/12
TEHRAN (IQNA)- Utawala wa kifalme wa Saudi Arabia umeanza mradi wa kuwatimua wakimbizi Waislamu wa jamii wa Rohingya ambao walikimbia mateso na mauaji ya kimbari katika nchi yao ya jadi, Myanmar.
Habari ID: 3471801 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/01/09
TEHRAN (IQNA)- Jamii nyingi za Waislamu nchini Marekani sasa zinakumbwa na tatizo la ukosefu wa Maimamu waliohitimu wenye uwezo wa kuongeza sala, kufanya kazi na vijana na kuongoza jamii ipasavyo.
Habari ID: 3471800 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/01/08
TEHRAN (IQNA)- Utawala wa China umepitisha sheria mpya ya kuufanya Uislamu nchini humo uendane na itikadi ya 'Usosholisti wa Kichina' katika kipindi cha miaka mitano ijayo.
Habari ID: 3471799 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/01/07