IQNA – Hatua ya utawala wa Israel ya kuufunga Msikiti wa Ibrahimi katika mji wa Al-Khalil (Hebron) ni ukiukaji wa wazi wa uhuru wa kuabudu na wa haki ya wananchi wa Palestina, harakati ya muqawama ya Palestina, Hamas, imesema.
Habari ID: 3482300 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/05/30
TEHRAN (IQNA)- Utawala wa Kizayuni wa Israel umefunga Msikiti wa Nabii Ibrahim AS katika mji wa Al Khalil (Hebron) ulio katika eneo Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan, linalokaliwa kabavu na utawala huo ghasibu, kwa lengo la kutekeleza hafla ya Kizayuni-Kiyahudi katika eneo hilo.
Habari ID: 3474325 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/09/22