Istighfar Katika Qur’ani Tukufu / 1
IQNA-Katika aya za Qur’ani Tukufu na Hadith za Maimamu Maasumu (amani iwe juu yao), Istighfar , yaani kuomba msamaha kwa Mwenyezi Mungu, imepewa msisitizo mkubwa na kutambulishwa kwa upekee.
Habari ID: 3481556 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/11/22
IQNA – Maandalizi yanaendelea katika mji mtakatifu wa Karbala, Iraq, ili kuandaa "Wiki ya Kimataifa ya Uimamu" mnamo Juni.
Habari ID: 3480277 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/02/28
Uislamu nchini Morocco
TEHRAN (IQNA) – Mpango wa usaidizi unaolenga kuboresha hali ya kijamii na kiuchumi ya maimamu wanaosalisha misikitini kote nchini Morocco utatekelezwa nchini humo.
Habari ID: 3475416 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/23
TEHRAN (IQNA)- Mji mkuu wa Uingereza, London, hivi sasa ni mwenyeji wa maonyesho makubwa na ghali zaidi ya Kiislamu ambayo yanaangazia kikamilifu maisha ya binamu yake Mtume Muhammad SAW, Imam Ali AS.
Habari ID: 3474412 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/11
Baada ya kutoa mafunzo kwa Maimamu wa miskiti kutoka nchi kadhaa za Afrika, Morocco sasa imesema itatoa mafunzo kwa maimamu 50 kutoka Ufaransa.
Habari ID: 2625018 Tarehe ya kuchapishwa : 2014/12/22