iqna

IQNA

Kamanda wa Kikosi cha Quds cha IRGC
TEHRAN (IQNA)- Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) amesema kuwa, shahid Hasan Irlu (kwenye picha), balozi wa Iran nchini Yemen ambaye amefariki dunia kwa ugonjwa wa corona, alikuwa mtumishi wa wananchi madhulumu na wanamuqawama wa Yemen.
Habari ID: 3474701    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/21

Viongozi wa ngazi za juu na wananchi wa matabaka mbalimbali Alkhamisi walishiriki kwenye mazishi ya Ayatullah Mohammad Ridha Mahdavi Kani, aliyekuwa Mkuu wa Baraza la Wanazuoni Wataalamu Wanaomchagua Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu katika Haram ya Hadhrat Abdul Adhim Hassani AS, katika kitongoji cha Shahr Rey, nje kidogo ya jiji la Tehran
Habari ID: 1463125    Tarehe ya kuchapishwa : 2014/10/23

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullahil Udhma Sayyid Ali Khamenei ametuma salamu za rambi rambi kufuatia kuaga dunia Ayatullah Mohammad-Reza Mahdavi Kani, Mkuu wa Baraza la Wanazuoni Wataalamu Wanaomchagua Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu.
Habari ID: 1462701    Tarehe ya kuchapishwa : 2014/10/21