TEHRAN (IQNA)-Ayatullah Safi Golpayegani alikuwa mwanazuoni na mwanafaqihi mwenye kuzingatia misingi ambaye alipinga matamshi yenye khurafa katika kuhubiri dini na aliamini kuwa kushughulikia mambo ya watu kuwa ni sehemu muhimu ya kufuata mafundisho ya kidini.
Habari ID: 3475038 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/03/14