iqna

IQNA

IQNA – Sayed Mekawy alikuwa mtu mashuhuri wa Misri katika nyanja za Ibtihal (nyimbo za kidini) na muziki, ambaye urithi wake wa kisanaa na kiroho uko hai miaka 28 baada ya kifo chake.
Habari ID: 3480583    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/04/23

Waliobobea
IQNA – Muhammad Abdul Hadi Muhammad al-Hilbawi alizaliwa katika wilaya ya Bab al-Sharia mjini Cairo mnamo Februari 9, 1946, alianza kuhifadhi Qur’ani Tukufu akiwa mtoto chini ya uongozi wa babu yake.
Habari ID: 3478328    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/10

Ta'azia
IQNA – Sheikh Zia al-Nazir, msomaji maarufu wa Ibtihal nchini Misri, alifariki dunia Jumamosi, Desemba 9.
Habari ID: 3478022    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/12/12

Taazia
CAIRO (IQNA) – Sheikh Abdul Rahim al-Dawidar, qari wa Qur’ani Tukufu na msomaji wa Ibtihal nchini Misri, alifariki akiwa na umri wa miaka 86.
Habari ID: 3477780    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/10/24

Qurani Tukufu
TEHRAN (IQNA) – Mohammed na Iman ni kaka na dada wa Kimisri ambao umahiri wao katika usomaji wa Ibtihal umewapatia umaarufu nchini humo.
Habari ID: 3476977    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/05/08

Wasomaji Maarufu wa Qur'ani Tukufu /17
TEHRAN (IQNA) – Mohammed Ahmed Omran alikuwa qari mashuhuri wa Qur’ani Tukufu kutoka Misri na msomaji wa Ibtihal (usomaji dua unaoshabihiana na qiraa ya Qur’ani Tukufu).
Habari ID: 3476407    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/01/15

Mashindano ya Qur'ani
TEHRAN (IQNA) - Waziri Mkuu wa Misri Mostafa Madbouly ameidhinisha mpango wa kuandaa Duru ya Sita Ya Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani ya nchi hiyo huko Port Said.
Habari ID: 3475783    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/14

TEHRAN (IQNA)- Marhoum Sheikh Nasiruddin Toubar ni mashuhuri kwa qiraa ya Ibtihal katika ulimwengu wa Kiislamu.
Habari ID: 3475227    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/09