TEHRAN (IQNA) - Nuru ya umaanawi ya uwepo wa Imam Mahdi AS imeenea hata katika wakati huu wa "ghaiba" wa kutokuwepo mtukufu huyo machoni mwa walimwengu.
Habari ID: 3473768 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/03/28
Kiongozi Muadhamu katika hotuba ya Idi ya Nisf Shaaban
TEHRAN (IQNA) - Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema hitajio la kina na pana la mwanadamu wa leo la kuwa na mkombozi halina kifani katika historia.
Habari ID: 3472649 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/04/09
Sayyed Hassan Nasrallah kwa masaba wa Nisf Shaaban
TEHRAN (IQNA) - Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema, hivi sasa katika Palestina inayokaliwa kwa mabavu (Israel) kuna utawala ghasibu ambao una hofu una hofu kuwa uhai wake hautazidi miaka 80.
Habari ID: 3472644 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/04/08
TEHRAN (IQNA)- Tarehe 15 Shaaban Hijiria Qamaria ni kumbukumbu ya kuzaliwa mwokozi wa ulimwengu, Imam Mahdi –Mwenyezi Mungu Aharakishe Kudhihiri Kwake- (ATF).
Habari ID: 3472641 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/04/07
TEHRAN (IQNA)-Tuko katika siku ya 15 ya mwezi mtukufu wa Shaaban ambayo ni siku ya kuzaliwa Mtukufu Imam wa Zama Imam Mahadi (-Mwenyezi Mungu Aharakishe Kudhihiri Kwake-af).
Habari ID: 3470976 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/05/12