Umoja wa Waislamu
TEHRAN (IQNA) – Jumuiya ya Kimataifa ya Kukurubisha Madhehebu za Kiislamu (WFPIST) imekumbatia wito wa Kituo cha Kiislamu cha Al-Azhar wa kuanzisha mazungumzo kati ya Waislamu wa madhehebu za Shia na Sunni.
Habari ID: 3476050 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/11/07
Umoja wa Waislamu
TEHRAN (IQNA)- Sheikhe Mkuu wa Kituo cha Kiislamu cha Al Azhar nchini Misri ametoa mwito wa Umoja wa Kiislamu sambamba na kufanyika mazungumzo baina ya Maulamaa wa madhehebu ya Shia na Sunni kwa ajili ya kukabiliana na fitina na mapigano ya kikaumu.
Habari ID: 3476037 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/11/05
Mashindano ya Qur'ani
TEHRAN (IQNA) - Shirika la shule za Kituo cha Kiislamu cha Al-Azhar nchini Misri limetangaza kuanza kwa mchakato wa usajili kwa wale walio tayari kushiriki katika mashindano ya kila mwaka ya Qur’ani ya kituo hicho.
Habari ID: 3475948 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/18
Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA)- Chuo Kikuu cha Kiislamu cha Al Azhar cha nchini Misri kimelaani kile ilichokitaja kuwa ugaidi za Kizayuni, baada ya Walowezi wa Kiyahudi kuchoma moto Qur'ani Tukufu katika eneo la Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan, huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu.
Habari ID: 3475912 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/11
Ugaidi Afrika
TEHRAN (IQNA)- Kituo cha Kiislamu cha Al-Azhar nchini Misri kimechapisha ripoti inayoashiria ongezeko la operesheni za kigaidi katika nchi za Afrika mwezi Septemba na kutaka kuongezwa hatua za kimataifa za kukabiliana na ongezeko la ugaidi katika bara hilo
Habari ID: 3475886 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/06
Taazia
TEHRAN (IQNA) - Sheikh Osama Abdel Azim, mwanazuoni wa Kiislamu na Qur'ani wa Chuo Kikuu cha Kiislamu cha Al-Azhar cha Misri, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 74.
Habari ID: 3475883 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/05
Ugaidi
TEHRAN (IQNA) - Katika ujumbe wake, Kituo cha Kiislamu cha Al-Azhar kimelaani shambulio la kigaidi dhidi ya waumini katika msikiti mmoja ulioko katika mji wa Herat nchini Afghanistan na kulitaja kuwa ni kinyume na maadili ya kidini na kibinadamu.
Habari ID: 3475743 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/06
Qur'ani Tukufu nchini Misri
TEHRAN (IQNA)- Idara Kuu ya Masuala ya Qur'ani ya Kituo cha Kiislamu cha Al-Azhar ilitangaza kuanza kwa shughuli za vikao vya Qur'ani Tukufu kwa ajili ya walimu na waliohifadhi Qur'ani wa vituo vyenye uhusiano na kituo hiki kote Misri.
Habari ID: 3475665 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/08/22
Waislamu na Wakristo Misri
TEHRAN (IQNA) - Kituo cha Kiislamu cha Al-Azhar Misri kimetoa salamu za rambirambi kwa Wakristo nchini humo kutokana na moto kanisani uliosababisha vifo vya takriban watu 41 wakiwemo watoto.
Habari ID: 3475626 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/08/15
Ugaidi barani Afrika
TEHRAN (IQNA) – Idara ya Kupambana na Ugaidi ya Kituo cha Kiislamu cha Al-Azhar cha Misri imetahadharisha kuhusu kuongezeka kwa vitendo vya magaidi nchini Mali.
Habari ID: 3475428 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/26
TEHRAN (IQNA)- Chuo cha Kiislamu cha Al Azhar nchini Misri kimekosoa vikwazo vya Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) dhidi ya Russia wakati shirikisho hilo linapuuza jinai za utawala wa Kizayuni wa Israel na kusema hiyo ni ishara ya wazi ya undumakuwili.
Habari ID: 3474995 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/03/02
TEHRAN (IQNA) –Sheikhe mkuu wa Chuo cha Kiislamu cha Al-Ahzar nchini Misri ametoa wito kwa Russia na Ukraine kusikiliza wito wa kumaliza vita kati ya nchi hizo mbili.
Habari ID: 3474984 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/02/27
TEHRAN (IQNA) – Kituo cha Kiislamu cha Al Azhar nchini Misri kimetoa taarifa na kukosoa taarifa ya Mmisri mmoja aliyetilia shaka tukio la Mi’raj.
Habari ID: 3474950 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/02/20
TEHRAN (IQNA)- Msomi mwandamizi wa Chuo Kikuu cha Al Azhar amezitaja kuwa zisizo na msingi Fatwa za kupiga marufuku Waislamu kuwatumia Wakristo salamu za Krismasi.
Habari ID: 3474771 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/05
TEHRAN (IQNA)- Naibu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Al Azhar nchini Misri amewaenzi na kuwatunuku zawadi wanafunzi walioshika nafasi za juu katika mashindano ya hivi karibu ya Qiraa ya Qur'ani Tukufu na Ibtihal.
Habari ID: 3474540 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/11
TEHRAN (IQNA)- Mkuu wa Chuo cha Kiislamu cha Al Azhar nchini Misri Sheikh Ahmed el Tayyib, amekosoa jitihada za utumizi wa istilahi ya 'Dini ya Kiibrahimu' kwa lengo la kuziunganisha dini za Kiislamu, Kikristo na Kiyahudi.
Habari ID: 3474533 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/09
TEHRAN (IQNA)- Sheikh Mahmoud Shaltut wa Misri alikuwa miongoni mwa wanazuoni walioanzisha harakati ya kukurubisha madhehebu za Kiislamu na alitoa fatwa ya kihistoria kuhusu Ushia.
Habari ID: 3474491 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/30
TEHRAN (IQNA)- Hujuma dhidi ya msikiti wa Waislamu wa madhehebu ya Shia wakati wa Sala ya Ijumaa huko Kandahar, Afghanistan imelaaniwa vikali na Kituo cha Kiislamu cha Al Azhar na Mufti wa Misri.
Habari ID: 3474430 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/16
TEHRAN (IQNA)- Kituo cha Kiislamu cha Al Azhar Misri na Mufti Mkuu nchini humo wametoa taarifa na kulaani vikali hujuma ya kigaidi ya Ijumaa dhidi ya Msikiti wa Waislamu wa Madhehebu ya Shia ambapo watu takribani 100 wameuawa.
Habari ID: 3474399 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/09
TEHRAN (IQNA)- Sheikh Mkuu wa Kituo cha Kiislamu cha Al Azhar nchini Misri anatazamiwza kuitembelea Iraq mwezi ujao.
Habari ID: 3474311 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/09/18