Jinai za Israel
CAIRO (IQNA)- Sheikh Mkuu wa Kituo cha Kiislamu cha Al Azhar cha Misri amesema kuwa wakati umefika sasa wa kusitishwa jinai za utawala gaidi wa Israel na mauaji ya watu katika ardhi ya Palestina.
Habari ID: 3477985 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/12/04
Watetezi wa Palestina
CAIRO (IQNA) - Kituo cha Kiislamu cha Al-Azhar cha Misri kimesema wakati umefika kwa watu wote wanaopenda uhuru duniani kuungana kwa ajili ya kuundwa taifa huru la Palestina ili kukomesha ubeberu na ukaliaji mrefu zaidi wa ardhi ya wengine katika historia.
Habari ID: 3477968 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/11/30
Kimbunga cha Al Aqsa
CAIRO (IQNA) – Sheikhe mkuu wa Kituo cha Kiislamu cha Al-Azhar cha Misri amesifu ushujaa na ujasiri wa watu wa Ukanda wa Gaza katika kukabiliana na mashambulizi makali ya Israel.
Habari ID: 3477821 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/10/31
Umoja wa Waislamu
BERLIN (IQNA) - Balozi wa Iran nchini Ujerumani na Sheikhe Mkuu wa Kituo cha Kiislamu cha al-Azhar ncini Misri walikutana mjini Berlin kujadili masuala muhimu yanayoukabili ulimwengu wa Kiislamu na jinsi ya kustawisha umoja na mshikamano kati ya Waislamu.
Habari ID: 3477590 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/09/12
Watetezi wa Qur'ani Tukufu
TEHRAN (IQNA)- Sheikh wa Al-Azhar wa nchini Misri, akijibu barua ya mkuu wa vyuo vya kidini vya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, ameeleza matumaini yake kuwa msimamo wa pamoja uliochukuliwa na Waislamu hivi karibuni katika kukabiliana na suala la kuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu utakuwa kichocheo cha kutatua tofauti na kuleta umoja baina yao.
Habari ID: 3477367 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/08/01
Watetezi wa Qur'ani Tukufu
CAIRO (IQNA) - Semina itaandaliwa na Kituo cha Kiislamu cha Al-Azhar cha Misri kujadili kukabiliana na uhalifu wa uchomaji moto wa Qur'ani Tukufu katika nchi za Magharibi.
Habari ID: 3477366 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/08/01
Watetezi wa Qur'ani Tukufu
CAIRO (IQNA) - Kufuatia matukio ya mara kwa mara ya kuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu nchini Uswidi na Denmark, Kituo cha Kiislamu cha Al-Azhar cha Misri kimetoa wito kwa Waislamu na nchi za Kiislamu kususia bidhaa za nchi hizo mbili za Ulaya.
Habari ID: 3477345 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/07/26
Mazungumzo baina ya dini
CAIRO (IQNA) - Sekretarieti ya Baraza la Wanazuoni la Kituo cha Kiislamu cha Al-Azhar nchini Misri imetoa wito wa kufanyika kongamano la kimataifa ili kujibu maswali kuhusu Qur'ani Tukufu.
Habari ID: 3477293 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/07/16
Harakati za Qur'ani Tukufu
TEHRAN (IQNA) - Kituo cha Kiislamu cha Al-Azhar cha Misri kimezindua mpango wake wa Qur'ani kwa majira ya kiangazi.
Habari ID: 3477077 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/05/31
Umoja wa Waislamu
TEHRAN (IQNA) - Ayatullah Ammar al-Hakim, kiongozi wa Harakati ya Al-Hikma (Hekima) ya Iraq, amekutana na mkuu wa Kituo cha Kiislamu cha Al-Azhar cha Misri Sheikh Ahmed al-Tayyib.
Habari ID: 3477073 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/05/30
Harakati za Qur'ani
TEHRAN (IQNA) – Kituo cha Kiislamu cha Al-Azhar nchini Misri kilimtunuku msichana barobaro ambaye amehifadhi Qur’ani Tukufu kikamilifu na Hadith 6,000 za Mtume Muhammad SAW pamoja na mashairi ya Kiarabu.
Habari ID: 3477034 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/05/23
Umoja wa Kiislamu
TEHRAN (IQNA) - Imamu Mkuu wa Kituo cha Kiislamu cha Al-Azhar nchini Misri Sheikh Ahmed al-Tayyeb anaripotiwa kupanga kusafiri kuelekea Iraq.
Habari ID: 3476965 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/05/06
Kadhia ya Palestina
TEHRAN (IQNA) - Afisa mwandamizi wa Kituo cha Kiislamu cha Al-Azhar cha Misri amesema uungaji mkono kutoka kwa Waislamu kote ulimwenguni kwa Msikiti wa Al-Aqsa, al-Quds (Jerusalem) na Palestina unatokana na imani zao za kidini.
Habari ID: 3476558 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/02/13
Harakati za Qur'ani
TEHRAN (IQNA) - Kituo cha Kiislamu cha Al-Azhar cha Misri kinatarajia kufanya warsha maalum wiki ijayo kwa waamuzi au majaji katika mashindano ya Qur'ani Tukufu.
Habari ID: 3476534 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/02/08
Kuvunjiwa heshima Qur’ani Tukufu Ulaya
TEHRAN (IQNA) - Kituo cha Kiislamu cha Al-Azhar cha Misri kimetoa wito wa kususia bidhaa za Uswidi na Uholanzi ili kukabiliana vitendo viovu vya kuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu katika mataifa hayo ya Ulaya hivi karibuni.
Habari ID: 3476461 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/01/25
Harakati za Qur'ani Misri
TEHRAN (IQNA) – Matokeo ya hatua ya awali ya mashindano ya nchi nzima ya Qur'ani Tukufu Misri yanayoendeshwa na Al-Azhar Islamic Center yametangazwa.
Habari ID: 3476437 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/01/20
Harakati za Qur'ani Tukufu
TEHRAN (IQNA) - Wizara ya Wakfu ya Misri imezindua mipango ya kuandaa mashindano ya kitamaduni mtandaoni kwa wanafunzi wa vituo vya kuhifadhi Qur'ani Tukufu nchini humo.
Habari ID: 3476423 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/01/18
Harakati za Qur'ani Misri
TEHRAN (IQNA) – Mtihani wa nne wa kuchagua wahifadhi Qur’ani wanaotaka kujiunga na Chuo Kikuu cha Kiislamu cha Al-Azhar cha Misri umeancha nchini humo.
Habari ID: 3476419 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/01/17
Hali ya Afghanistan
TEHRAN (IQNA) – Sheikhe Mkuu wa Kituo cha Kiislamu cha Al-Azhar cha Misri ameutaka utawala wa Taliban kuondoa marufuku ya elimu ya juu kwa wanawake nchini Afghanistan.
Habari ID: 3476290 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/23
Shughuli za Qur'ani Misri
TEHRAN (IQNA) – Kituo cha Kiislamu cha Al-Azhar cha Misri kimetangaza kuwa vituo 538 vya watoto vimezinduliwa hivi karibuni.
Habari ID: 3476277 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/20