iqna

IQNA

IQNA - Imamu wa Kituo cha Kiislamu cha Al-Azhar cha Misri, Sheikh Ahmed al-Tayeb amesafiri kwenda Bahrain kushiriki mkutano wa kimataifa wa mazungumzo ya Kiislamu.
Habari ID: 3480243    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/02/20

IQNA – Kituo cha Kiislamu cha Al-Azhar cha Misri kitawasilisha machapisho yake mapya katika toleo la 56 la Maonyesho ya Kimataifa ya Vitabu ya Cairo.
Habari ID: 3480058    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/01/15

IQNA - Chuo Kikuu cha Al-Azhar cha Misri kimetangaza shindano la kuhifadhi Qur’ani miongoni mwa wanafunzi wake katika vitivo vya chuo hicho jijini Cairo na maeneo mengine ya nchi hiyo.
Habari ID: 3480006    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/01/05

Jinai za Israel
IQNA - Kituo cha Kiislamu cha A-Azhar cha Misri kimebainisha matumaini kwamba mwaka wa 2025 utakuwa mwaka wa ushindi na amani kwa Wapalestina wanaokabiliwa na mauaji ya kimbari ya utawala wa Kizayuni wa Israel huko Gaza.
Habari ID: 3479990    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/01/01

Muongozo
IQNA – Sheikh Abduh Al-Azhari, mwanazuoni kutoka Chuo Kikuu cha Al-Azhar nchini Misri, ameonyesha wasiwasi juu ya uwepo wa matoleo yaliyopotoka ya Qur'ani yanayopatikana kwenye mtandao au intaneti.
Habari ID: 3479978    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/31

Jinai
IQNA - Kituo cha Kiislamu cha Al-Azhar cha Misri kimelaani shambulio la kigaidi lililoua watu wawili na kujeruhi makumi kadhaa huko Magdeburg nchini Ujerumani.
Habari ID: 3479933    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/21

Diplomasia
IQNA – Shekhe mkuu wa Kituo cha Kiislamu cha Al-Azhar cha Misri amepongeza misimamo ya Estonia dhidi ya utawala wa Israel.
Habari ID: 3479719    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/08

IQNA - Imamu mkuu wa Kituo cha Kiislamu cha Al-Azhar cha Misri amesikitishwa na ukosefu wa juhudi za kufikia amani duniani.
Habari ID: 3479699    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/04

Qurni Tukufu
IQNA - Rais wa Chuo Kikuu cha Kiislamu cha Al-Azhar cha Misri alisema Qur'ani Tukufu ina miujiza mingi ya kisayansi ambayo imewashangaza wanasayansi katika nyanja tofauti.
Habari ID: 3479601    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/16

IQNA - Kituo cha Kiislamu cha Al-Azhar cha Misri kimelaani ukatili wa Israel huko Lebanon na Ukanda wa Gaza.
Habari ID: 3479499    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/09/27

Onyo
IQNA – Taasisi za Al-Azhar na Dar al-Ifta nchini Misri zimetangaza kuwa kuunda na kutangaza klipu za visomo vya Qur'ani vinavyoambatana na muziki ni marufuku, kwani inachukuliwa kuwa ni kutoheshimu Qur'ani Tukufu.
Habari ID: 3479469    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/09/22

Jinai za Israel
IQNA - Kituo cha Kiislamu cha Al-Azhar cha Misri kimelaani vikali kushadidi jinai za utawala wa Israel katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.
Habari ID: 3479363    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/09/01

Dini
IQNA - Kituo cha Kiislamu cha Al-Azhar nchini Misri kimelaani matukio ya kufuru wakati wa uzinduzi wa Michezo ya Olimpiki ya Paris ya 2024.
Habari ID: 3479199    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/07/29

Turathi za Kiislamu
IQNA – Sheikh Ahmed al-Tayyeb, Imamu wa Al-Azhar, alitembelea Msikiti wa Sayyida Zainab (SA mjini Cairo siku moja baada ya kufunguliwa tena.
Habari ID: 3478828    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/05/15

Watetezi wa Palestina
IQNA - Kituo cha Kiislamu cha Al-Azhar cha Misri kimekaribisha uungwaji mkono wa nchi hiyo kwa hatua za kisheria zilizochukuliwa na Afrika Kusini dhidi ya utawala haramu Israel katika Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ).
Habari ID: 3478819    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/05/14

Tafsiri ya Qur'ani
IQNA – Sheikh Tantawi Jawhari alikuwa mwanazuoni mashuhuri wa Misri na mfasiri wa Qur’ani Tukufu ambaye kazi yake kuu ilikuwa Al-Jawahir fi Tafsir al-Quran al-Karim.
Habari ID: 3478757    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/05/02

Elimu
IQNA - Rais wa Chuo Kikuu cha Kiislamu cha Al-Azhar nchini Misri ameisitiza haja ya kulipa kipaumbele maalum  suala la tarjuma au tafsiri sahihi ya maandishi ya Kiislamu
Habari ID: 3478733    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/04/25

Elimu
IQNA - Naibu mkuu wa Kituo cha Kiislamu cha Al-Azhar cha Misri amesema kuna changamoto nyingi katika kazi ya tarjuma au tafsiri ya maandiko ya kidini, ikiwa ni pamoja na Qur'ani Tukufu.
Habari ID: 3478722    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/04/23

Mtazamo
IQNA - Imamu mkuu wa Kituo cha Kiislamu cha Al-Azhar cha Misri alisema matukio machungu yanayotokea duniani yanadhihirisha ukweli kwamba ubinadamu unahitaji mafundisho ya Qur'ani Tukufu.
Habari ID: 3478645    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/04/07

Watetezi wa Palestina
IQNA-Kituo cha Kiislamu cha Al-Azhar cha Misri kimelaani mashambulizi ya utawala wa Kizayuni katika mji wa Rafah kusini mwa Gaza, na kuonya kuhusu maafa ya binadamu katika eneo hilo.
Habari ID: 3478350    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/14