iqna

IQNA

Kadhia ya Palestina
TEHRAN (IQNA) - Afisa mwandamizi wa Kituo cha Kiislamu cha Al-Azhar cha Misri amesema uungaji mkono kutoka kwa Waislamu kote ulimwenguni kwa Msikiti wa Al-Aqsa, al-Quds (Jerusalem) na Palestina unatokana na imani zao za kidini.
Habari ID: 3476558    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/02/13

Qiraa ya Qur'ani
TEHRAN (IQNA) – Sherehe za kufunga Tamasha la 41 Kimataifa la Filamu la Fajr la Iran zilianza kwa usomaji wa aya za Qur’ani Tukufu na qari mashuhuri wa kimataifa wa Iran Ustadh Jafar Fardi.
Habari ID: 3476557    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/02/13

Tafsiri na Wafasiri wa Qur'ani Tukufu /17
TEHRAN (IQNA) – Tafsiri ya Qur'ani Tukufu ya Jawami Al-Jami ni tafsiri iliyofupishwa ya Qur'ani ambayo sifa yake kuu ni kuwa kazi ya kifasihi inayofafanua aya za Qur’ani kwa maneno mafupi na inajumuisha aya zote za Kitabu hicho Kitakatifu.
Habari ID: 3476556    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/02/13

Mashindano ya Qur'ani ya Iran
TEHRAN (IQNA) - Wataalamu wa Qur'ani kutoka Iran na nchi nyingine nane watahudumu katika jopo la waamuzi katika awamu ya mwisho ya Awamu ya 39 ya Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Iran.
Habari ID: 3476554    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/02/13

Harakati za Qur'ani
TEHRAN (IQNA) - Maadhimisho ya miaka 40 ya kuasisiwa Idhaa ya Qur'ani ya Iran yamefanyika katika hafla iliyofanyika hapa Tehran siku ya Ijumaa.
Habari ID: 3476548    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/02/11

Chuki dhidi ya Uislamu
TEHRAN (IQNA) - Mamlaka za Uswidi ziliamua kutoruhusu uchomaji moto wa nakala Qur'ani huko Stockholm kwa vile kuvunjiwa heshima matukufu ya Kiislamu nchini humo kumelaaniwa vikali na ulimwengu wa Kiislamu.
Habari ID: 3476536    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/02/09

Harakati za Qur'ani
TEHRAN (IQNA) - Kituo cha Kiislamu cha Al-Azhar cha Misri kinatarajia kufanya warsha maalum wiki ijayo kwa waamuzi au majaji katika mashindano ya Qur'ani Tukufu.
Habari ID: 3476534    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/02/08

Harakati za Qur'ani
TEHRAN (IQNA) - Wanaharakati wa Qur'ani Tukufu kutoka Iran na baadhi ya nchi kadhaa katika taarifa yao wamelaani vitendo vya hivi majuzi vya kuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu barani Ulaya, wakizitaka serikali za nchi za Kiislamu kuchukua hatua madhubuti dhidi ya hatua hizo za kufuru.
Habari ID: 3476532    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/02/08

Harakati ya Qur'ani Tukufu
TEHRAN (IQNA) - Taasisi za Qur'ani nchini Iraq zinashinikiza nchi hiyo kuitaja siku moja katika kalenda kuwa 'Siku ya Qur'ani Tukufu.'
Habari ID: 3476529    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/02/07

Chuki dhidi ya Uislamu
TEHRAN (IQNA) – Mtandao wa kijamii wa Twitter umetangaza kusimamisha kwa muda akaunti ya Qur'ani Tukufu ambayo ina wafuasi milioni 13 kutokana na kile wakuu wa mtandao huo wa kijamii walichokiita kuwa eti ni ukiukaji wa miongozo yake.
Habari ID: 3476522    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/02/06

Shakhsia katika Qur’ani Tukufu/30
TEHRAN (IQNA) – Miongoni mwa wahusika mbalimbali waliotajwa katika hadithi za Qur’ani Tukufu, kuna baadhi ambao walikuwa na sifa au tabia za kichawi na za ajabu. Kwa mfano, wengine wanasema Jalut alikuwa na urefu wa mita tatu na mwenye nguvu nyingi, ingawa aliuawa kwa jiwe ndogo.
Habari ID: 3476521    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/02/06

Mashindano ya Qur'ani
TEHRAN (IQNA) – Toleo la tisa la mashindano ya Qur’ani ya Ulaya yanapangwa kufanyika Machi 2023.
Habari ID: 3476517    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/02/05

Mashindano ya Qur'ani Misri
TEHRAN (IQNA) - Toleo la 29 la Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani ya Misri yalianza katika sherehe katika mji mkuu Cairo siku ya Jumamosi.
Habari ID: 3476516    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/02/05

Wasomaji Maarufu wa Qur'ani Tukufu /25
TEHRAN (IQNA) – Abdulaziz Ali Faraj alikuwa qari wa Kimisri ambaye aliishi zama za Ustadh Abdul Basit Abdul Samad.
Habari ID: 3476514    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/02/05

Hijabu
TEHRAN (IQNA)- Muungano wa Wanawake wa Kiislamu wa Nigeria umetoa wito wa kuondolewa kwa vikwazo na ubaguzi dhidi ya utumiaji wa Hijabu na watumiaji wa Hijabu kitaifa na kimataifa.
Habari ID: 3476511    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/02/04

Mashindano ya Qur'ani Tukufu
TEHRAN (IQNA) – Wakfu wa Qur’ani Tukufu na Sunnah huko Sharjah, Umoja wa Falme za Kiarabu, uliandaa hafla ya kuwaenzi wenye kuhifadhi Qur’ani Tukufu.
Habari ID: 3476510    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/02/04

Chuki dhidi ya Uislamu
TEHRAN (IQNA) - Maseneta wa Russia wamelitaka Bunge la Ulaya kukemea hadharani vitendo vya hivi karibuni vya kuvunjiwa heshima wa Qur'ani nchini Uswidi na Uholanzi.
Habari ID: 3476509    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/02/04

Qur'ani Tukufu katika maisha
TEHRAN (IQNA)-Watumizi wa mitandao ya kijamii wanaendelea kusambaza video ya sherehe ya harusi ya wanandoa wa Misri, ambayo ilianza kwa bwana harusi mwenye ulemavu wa macho akisoma aya katika Sura Rum ya Qur'ani Tukufu.
Habari ID: 3476506    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/02/02

Maonyesho ya Qur'ani
TEHRAN (IQNA) - Mohammad Mehdi Aziz-Zadeh ameteuliwa kuwa mkuu wa sekretarieti ya kudumu ya Maonyesho ya Kimataifa ya Qur'ani ya Iran.
Habari ID: 3476505    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/02/02

Maonyesho ya Qur'ani Tukufu
TEHRAN (IQNA) - Banda la Wizara ya Masuala ya Kiislamu ya Saudi Arabia lilikabidhi nakala 30,000 za Qur'ani Tukufu miongoni mwa wageni katika Maonesho ya Kimataifa ya Vitabu ya Cairo.
Habari ID: 3476504    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/02/02