Mwisho Mwema (Khusnul Khatimah)
TEHRAN (IQNA) – Video imesambaa mitandaoni inayomuonyesha mwanamke wa Indonesia akianguka wakati akisoma aya za Qur’ani Tukufu.
Habari ID: 3475817 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/21
Fikra za Kiislamu
TEHRAN (IQNA) – Katika Qur’ani Tukufu na hadithi za Mtukufu Mtume Muhammad (SAW) ndoto na athari zake zimetajwa kuwa ni muhimu.
Habari ID: 3475810 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/19
Sura za Qur'ani Tukufu /31
TEHRAN (IQNA) – Luqman alikuwa mtu mashuhuri aliyeishi wakati wa Nabii Daud (AS). Alikuwa Hakim (mtu mwenye hekima) na kwa mujibu wa baadhi ya maelezo ya kihistoria alikuwa mtume wa Mwenyezi Mungu.
Habari ID: 3475809 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/19
Mashindano ya Qur'ani
TEHRAN (IQNA) - Waziri Mkuu wa Misri Mostafa Madbouly ameidhinisha mpango wa kuandaa Duru ya Sita Ya Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani ya nchi hiyo huko Port Said.
Habari ID: 3475783 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/14
Elimu ya Qur'ani
TEHRAN (IQNA) - Chuo Kikuu cha Al Qasimia katika Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) kimepanga kufanya toleo la kwanza la kongamano la kimataifa la Qur'ani kwa wanafunzi wa vyuo vya Qur'ani Tukufu.
Habari ID: 3475780 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/14
Mashindano ya Qur'ani
TEHRAN (IQNA) – Mchujo wa duru ya 27 ya Mashindano ya Qur'ani Tukufu ya Sheikh Jassim bin Mohammed bin Thani mwaka 2022 huko Doha, Qatar, imehudhuriwa na washindani wapatao 400.
Habari ID: 3475774 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/13
Wasomaji maarufu wa Qur'ani Tukufu / 2
TEHRAN (IQNA) – Sheikh Muhammad Mahmood Rafaat alikuwa miongoni mwa wasomaji Qur'ani mahiri nchini Misri. Ingawa alikuwa na ulemavu wa macho, aliibua kwa namna fulani mtindo tofauti wa qiraa au usomaji Qur'ani ikilinganishwa na maqari au wasomaji wenzake kwa kutumia silika na hisia zake za kina.
Habari ID: 3475768 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/11
Arbaeen ya Imam Hussein AS
TEHRAN (IQNA) - Maonyesho ya Qur'ani Tukufu yamewekwa kwenye barabara kati ya miji mitukufu ya Najaf na Karbala nchini Iraq wakati wa msimu wa Arbaeen.
Habari ID: 3475761 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/10
Fikra za Kiislamu
TEHRAN (IQNA) – Ushauri humsaidia mtu kufahamiana na mawazo na fikra za wengine, hasa wataalam na wachambuzi, na hivyo kukuza na kupanua mawazo yake na ufahamu.
Habari ID: 3475760 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/10
Fikra za Kiislamu
TEHRAN (IQNA) – Qur’ani Tukufu ni muujiza wa milele na iko katika kiwango cha juu cha ufasaha na maudhui. Njia moja ambayo Qur’ani Tukufu inaitumia kuimarisha nyoyo za waumini ni Tahaddi (kukaribisha changamoto).
Habari ID: 3475758 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/09
Sura za Qur'ani Tukufu/29
TEHRAN (IQNA) – Mitume wa Mwenyezi Mungu walijaribu kuonyesha jinsi miungu ya uongo isiyo na thamani lakini walikabili ukaidi wa wafuasi wao wengi. Surah Al-Ankabut katika Qur'ani Tukufu inalinganisha imani za watu hao waliopotoka na utando wa buibui.
Habari ID: 3475740 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/06
Kisa cha Manabii
TEHRAN (IQNA) - Kuna visa au hadithi nyingi katika Qur'ani Tukufu kuhusu Mitume ambazo zinaweza kusomwa kwa mitazamo tofauti. Moja ya vipengele ni jinsi manabii walivyozungumza na Mwenyezi Mungu na kubainisha maombi yao.
Habari ID: 3475734 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/04
Muhtasairi kuhusu Tafsiri na Wafasiri wa Qur'ani Tukufu/1
TEHRAN (IQNA) – Tafsir (tafsiri) ni istilahi katika sayansi ya Kiislamu ambayo ina maana ya kueleza maana ya aya za Qur'an Tukufu na kutoa mafundisho kutoka kwayo.
Habari ID: 3475733 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/04
Mashindano ya Qur'ani
TEHRAN (IQNA) - Mashindano ya 16 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Morocco yataandaliwa baadaye mwezi huu.
Habari ID: 3475730 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/04
Qur'ani Tukufu Inasemaje/27
TEHRAN (IQNA) – Kwa mujibu wa aya ya Qur’ani Tuku, mtu anatakiwa kutoa sadaka au kupeana sehemu ya kile anachokipenda ili kufikia cheo cha watu wema.
Habari ID: 3475714 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/01
Fikra za Kiislamu
TEHRAN (IQNA) - Kuna aya ndani ya Qur'an Tukufu inayosisitiza uharamu wa kuyatukana masanamu ya makafiri, na maoni ya wafasiri wa Qur'ani na wanafiqhi kuhusu aya hii na sababu ya kuharamishwa kwake ni ya kuvutia.
Habari ID: 3475712 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/08/31
Fikra za Kiislamu
TEHRAN (IQNA) – Wakati mwingine, watu wanapokosea au kufanya jambo baya, hujaribu kukana kosa au kukimbia kuwajibika, lakini itakuja siku ambayo hakuna mtu anayeweza kukataa kuwa amefanya alichofanya au kuepuka uwajibikaji.
Habari ID: 3475706 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/08/30
Fikra za Kiislamu
TEHRAN (IQNA) – Moja ya njia za kuimarisha hisia za uwajibikaji miongoni mwa watu katika jamii ni kuamrisha mema na kukataza maovu.
Habari ID: 3475704 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/08/30
Harakati za Qur'ani
TEHRAN (IQNA)- TEHRAN (IQNA) - Kozi za kuhifadhi Qur'ani katika vituo vya Qur'ani vya Jordan zimekaribishwa kwa furaha na wanafunzi wa shule Wizara ya Wakfu ilisema.
Habari ID: 3475700 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/08/29
TEHRAN (IQNA) - Zaidi ya wanafunzi 80 waliohifadhi Qur'ani Tukufu kikamilifu na wamehitimu kutoka shule ya Kiislamu huko Kaduna, kaskazini mwa Nigeria.
Habari ID: 3475699 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/08/29