Sura za Qur'ani Tukufu / 49
TEHRAN (IQNA) – Moja ya matatizo sugu katika dunia ya sasa ni ubaguzi wa rangi. Ingawa jitihada zimefanywa ili kukabiliana na jambo hilo baya, inaonekana kwamba kutozingatia mafundisho ya kidini kumezuia jamii kuondokana kabisa na ubaguzi wa rangi.
Habari ID: 3476281 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/21
Shughuli za Qur'ani Misri
TEHRAN (IQNA) – Kituo cha Kiislamu cha Al-Azhar cha Misri kimetangaza kuwa vituo 538 vya watoto vimezinduliwa hivi karibuni.
Habari ID: 3476277 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/20
Mashindano ya Qur'ani Tukufu
TEHRAN (IQNA) – Mashindano ya usomaji wa Qur'ani na Tajweed yaliyoandaliwa kwa ajili ya wanafunzi wa shule yamehitimishwa nchini Palestina.
Habari ID: 3476276 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/20
Shakhsia katika Qur'ani /21
TEHRAN (IQNA) - Watu wengi hawana subira mbele ya matatizo lakini wanapaswa kujua kwamba Mwenyezi Mungu anaweka magumu kwenye njia ya watu ili kuwajaribu. Nabii Ayub-Amani ya Mwenyezi Mungu Iwe Juu Yake (AS)-ambaye alikuwa ni mwenye kumshukuru Mwenyezi Mungu hata katika hali ngumu sana, anaweza kuwa mfano wa kuigwa katika suala hili.
Habari ID: 3476274 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/19
Wanazuoni Mashuhuri wa Ulimwengu wa Kiislamu /12
TEHRAN (IQNA) – Shughuli za kutarjumi Qur'ani Tukufu imeshuhudia maendeleo makubwa katika eneo la Balkan katika miongo ya hivi karibuni.
Habari ID: 3476273 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/19
Maonyesho ya Qur'ani
TEHRAN (IQNA) – Maktaba ya Umma ya Mfalme Abdulaziz huko Riyadh, Saudi Arabia, imeandaa maonyesho ya nakala adimu za Qur'ani Tukufu.
Habari ID: 3476272 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/19
Uislamu na Ukristo
TEHRAN (IQNA) – Papa Francis, katika ziara ya kwanza ya kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani, alisafiri hadi Iraq mwezi Machi mwaka jana.
Habari ID: 3476271 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/19
Wanazuoni Mashuhuri wa Ulimwengu wa Kiislamu/11
TEHRAN (IQNA) - Fathi Mahdiyu ni msomi ambaye ametafsiri Kurani nzima kwa Kialbania huko Kosovo. Katika kitabu chake cha hivi punde zaidi ambacho kimetafsiriwa na kuchapishwa kwa Kiarabu hivi karibuni, anazungumzia mwenendo wa tafsiri ya Qur'ani katika nchi za Balkan.
Habari ID: 3476263 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/17
Harakati za Qur’ani Misri
TEHRAN (IQNA) - Wizara ya Wakfu ya Misri imesema imeshaandaa vikao vya kufunza Qur'ani Tukufu maalumu kwa watoto katika zaidi ya misikiti 6,000 kote Misri.
Habari ID: 3476257 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/16
Waislamu Pakistan
TEHRAN (IQNA) – Serikali ya Pakistani imetangaza kuwa ni lazima kupata Cheti cha Hakuna Pingamizi (NOC) kwa ajili ya kuagiza kutoka nje nchi Misahafu iliyochapishwa katika nchi zisizo za Kiislamu.
Habari ID: 3476255 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/16
Harakati za Qur'ani Tukufu
TEHRAN (IQNA) – Semina ya pili ya Qur’ani ya Chuo Kikuu cha Kiarabu cha Amman katika mji mkuu wa Jordan ilifanyika katika kitivo cha teolojia ya Kiislamu cha chuo hicho.
Habari ID: 3476249 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/14
Qur'ani Tukufu
TEHRAN (IQNA) – Waislamu wametakiwa kuchukua tahadhari kuhusu nakala za Qur’ani Tukufu zilizo katika mitandao ya intaneti na aplikesheni kwani imebainika kuwa baadhi zimepotoshwa kwa makusudi.
Habari ID: 3476222 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/09
Harakati za Qur'ani Algeria
TEHRAN (IQNA) - Wizara ya Wakfu na masuala ya Kiislamu ya Algeria imetangaza kuzindua duru ya awali ya mashindano ya kitaifa ya Qur'ani.
Habari ID: 3476218 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/08
Tafsiri za Qur'ani Tukufu na Wafasiri / 10
TEHRAN (IQNA) – Kwa kuzingatia mtazamo mpana wa Ayatullah Abolqassem Khoei kuhusu vyanzo vya tafsiri na matumizi yake makubwa ya hoja za kimantiki katika Al-Bayan Fi Tafsir al-Quran, tunaweza kusema mbinu yake katika kuandika tafsiri hii ya Qur’ani inategemea Ijtihad.
Habari ID: 3476207 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/06
TEHRAN (IQNA)- Hivi karibuni katika mitandao ya kijamii kumesambaa klipu ya qiraa ya Qur'ani Tukufu ya vijana sita kutoka nchi mbali mbali za Kiislamu.
Habari ID: 3476203 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/06
Shakhsia katika Qur’ani /19
TEHRAN (IQNA) – Nabii Yusuf ameelezewa kuwa ni mtume ambaye alikuwa na sura nzuri na mwenye utambuzi na ujuzi.
Habari ID: 3476202 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/05
Mashindano ya Qur'ani
TEHRAN (IQNA) - Duru ya nusu fainali ya mashindano ya nchi nzima ya Qur'ani yaliyoandaliwa na Kituo cha Dar-ul-Quran cha Imam Ali (AS) nchini Iran inaendelea.
Habari ID: 3476201 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/05
Harakati za Qur'ani Misri
TEHRAN (IQNA) – Hajj Hassan Juneidi ni mwanamume wa Misri ambaye, pamoja na mkewe, wameanzisha kituo cha kutoa misaada kwa ajili ya kufundisha Qur’ani kwa watoto wenye ulemavu wa macho.
Habari ID: 3476200 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/05
Kongamano la Qur'ani
TEHRAN (IQNA) – Tukio lililopewa jina la “Kongamano la Kimataifa la Qu’ani” lilifanyika Kuala Lumpur siku ya Jumamosi kwa kushirikisha mamia ya watu.
Habari ID: 3476198 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/05
Wasomaji maarufu wa Qur'ani Tukufu / 13
TEHRAN (IQNA) – Qiraa ya Qur'ani Tutufu ya qari wa Misri marehemu Shahat Muhammad Anwar ni Hazin (yenye sauti ya huzuni) na hiyo ndiyo imependekezwa katika Hadithi.
Habari ID: 3476197 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/04