iqna

IQNA

Wanazuoni Mashuhuri wa Ulimwengu wa Kiislamu /16
TEHRAN (IQNA) – Mwanachuoni na mtafiti wa Kimisri Abd al-Razzaq Nawfal alisoma sayansi ya kilimo lakini akavutiwa na fani ya masomo ya Kiislamu na hivyo akaamua kusoma taaluma ya miujiza ya kisayansi ya Qur'ani Tukufu.
Habari ID: 3476372    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/01/08

Shughuli za Qur'ani
TEHRAN (IQNA) – Rais wa Mauritania Mohamed Ould Ghazouani ametembelea maonyesho ya Qur'ani Tukufu katika mji mkuu wa nchi hiyo Nouakchott.
Habari ID: 3476370    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/01/07

Wanasoka Waislamu
TEHRAN (IQNA)-Klipu ya video inaendelea kusambaa katika mitandao ya kijamii ikumuonyesha mchezaji wa zamani wa Timu ya Soka ya Arsenal ya Uingereza, Vassiriki Abou Diaby akisoma aya za Qur'ani Tukufu.
Habari ID: 3476369    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/01/07

Sura za Qur'ani Tukufu /54
TEHRAN (IQNA) – Wanasayansi hawajapata sababu ya mpasuko unaoonekana katika mwezi lakini baadhi yao wanasema mpasuko huo ulijiri mamia ya miaka iliyopita.
Habari ID: 3476368    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/01/07

Waislamu Pakistan
TEHRAN (IQNA) – Serikali ya Pakistan itafuatilia tarjuma za Qur'ani Tukufu zilizo katika mitandao ya kijamii nchini humo ili kuhakikisha kuwa ni shahihi kwenye mitandao ya kijamii.
Habari ID: 3476362    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/01/06

Wanazuoni Mashuhuri wa Ulimwengu wa Kiislamu/14
TEHRAN (IQNA) – Kitabu kiitwacho ‘Mabahith fi Tafsir al-Madhuei’ (Majadiliano Kuhusu Tafsiri ya Kimadhari) ni mojawapo ya kazi kuu za mwanazuoni wa Syria Sheikh Mustafa Muslim kuhusu tafsiri ya Qur’ani.
Habari ID: 3476352    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/01/03

Tafsiri na Wafasiri wa Qur'ani Tukufu /13
TEHRAN (IQNA) – Tafsir ya Surabadi ni tafsiri ya Qur'ani Tukufu iliyoandikuwa na mwanachuoni wa Kisunni Aboubakr Atiq ibn Muhammad Heravi Nishaburi, anayejulikana kama Surabadi au Suriyani.
Habari ID: 3476347    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/01/02

Wanazuoni Mashuhuri wa Ulimwengu wa Kiislamu/13
TEHRAN (IQNA) – Sheikh Mustafa Muslim (1940-2021) alikuwa mtu mashuhuri katika uwanja wa sayansi za Qur’ani ambaye aliandika vitabu 90, ikiwa ni pamoja na ensaiklopidia za sayansi za Qur’ani.
Habari ID: 3476346    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/01/02

Historia ya Uislamu
TEHRAN (IQNA) – Jumba la Makumbusho La Louvre la Paris limefungua maonyesho mapya ambayo kwa kiasi fulani yanaonyesha baadhi ya kurasa za mojawapo ya nakala kongwe zaidi za Qur’ani Tukufu.
Habari ID: 3476344    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/01/02

Sura za Qur'ani Tukufu / 52
TEHRAN (IQNA)- Mengi yamesemwa kuhusu akhera na maisha baada ya kifo na miongoni mwa imani kuu juu yake ni ile ya watu wa dini hasa Waislamu wanaoamini kuwa matendo ya kila mtu yatapimwa Siku ya Kiyama na kwa kuzingatia tathmini hiyo atakwenda ama peponi au motoni.
Habari ID: 3476334    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/31

Shughuli za Qur'ani Tukufu Misri
TEHRAN (IQNA) - Wizara ya Wakfu ya Misri katika ripoti iliangazia shughuli zake mwaka 2022, na kusema kuandaa mashindano ya kitaifa na ya kimataifa ya Qur'ani Tukufu kuwa miongoni mwa kazi muhimu zaidi ilizofanya.
Habari ID: 3476329    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/30

Shughuli za Qur'ani Tukufu
TEHRAN (IQNA) - Jumuiya ya Misaada ya Al-Najat ya Kuwait imesema zaidi ya wanafunzi 4,600 wamefaidika na programu zake za elimu ya Qur'ani Tukufu.
Habari ID: 3476326    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/29

Uislamu na Ukristo
TEHRAN (IQNA) – Katika mnasaba wa Krismasi, ambayo ni siku ya kuadhimisha siku ya kuzaliwa Nabii Isa Masih bin Maryam-Amani ya Mwenyezi Mungu iwe juu yake-,, qari wa Iraq alisoma aya za Sura Al Imran ya Qur’ani Tukufu.
Habari ID: 3476322    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/28

Ahul Bayt wa Mtume Muhammad SAW
TEHRAN (IQNA)- Siku kama ya leo miaka 1433 iliyopita, yaani tarehe 3 Jumada Thani mwaka wa 11 hijria, Bibi Fatima Zahra Amani ya Mwenyezi Mungu iwe juu Yake- Salamullah Alayha- (SA), binti kipenzi cha Bwana Mtume Muhammad SAW na mke wa Imam Ali bin Abi Talib AS alikufa shahidi baada ya kuishi umri mfupi tu lakini uliojaa baraka.
Habari ID: 3476313    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/27

Harakati za Qur'ani nchini Iran
TEHRAN (IQNA) - Kamanda mwandamizi wa Majeshi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameesema kumekuwa na ustawi mkubwa katika kutoa mafunzo kwa wanaohifadhi Qur'ani Tukufu katika majeshi ya Iran
Habari ID: 3476308    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/26

Qur'ani Tukufu Inasemaje /42
TEHRAN (IQNA) – Aya ndefu zaidi katika Qur’ani Tukufu inahusu masuala ya kisheria na jinsi ya kutengeneza nyaraka za biashara. Aya hii inaashiria jinsi Uislamu ulivyo mpana na jinsi unavyozingatia maelezo na kuandika mapatano.
Habari ID: 3476303    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/25

TEHRAN (IQNA) - Mohammad Al-Hady Toure ni kijana msomaji wa Qur'ani Tukufu kutoka Senegal ambaye ni maarufu katika duru za Qur'ani za nchi hiyo ya Afrika Magharibi
Habari ID: 3476301    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/25

Uislamu Maldives
TEHRAN (IQNA) – Duru ya 35 ya Mashindano ya Kitaifa ya Kuhifadhi Qur’ani ya Maldivi au Maldives imezinduliwa na makamu wa rais wa nchi hiyo, Faisal Naseem.
Habari ID: 3476297    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/24

Qiraa ya Qur'ani Tukufu
TEHRAN (IQNA) – Osama al-Zahri al-Balushi, ni qari kijana huko Oman, na qiraa yake ya Qur'ani Tukufu katika sala ya jamaa imesambaa katika mitandao ya kijamii.
Habari ID: 3476289    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/22

Mashindano ya Qur'ani
TEHRAN (IQNA)- Taasisi ya Kijiji cha Utamaduni (Katara) nchini Qatar imetangaza Jumanne kwamba washiriki 1273 watawakilisha nchi 67 za Kiarabu na za kimataifa watashindania toleo la sita la "Tuzo ya Katara ya Kusoma Qur'ani Tukufu".
Habari ID: 3476283    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/21