Shakhsia katika Qur'ani Tukufu /33
TEHRAN (IQNA) – Luqman alikuwa mwanachuoni aliyeishi zama za Nabii Dawoud na alijulikana kwa elimu yake kubwa, hekima na ushauri wake wa kimaadili kwa mwanawe.
Habari ID: 3476637 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/02/28
Wanazuoni Mashuhuri wa Ulimwengu wa Kiislamu /21
TEHRAN (IQNA) – Sheikh Abd al-Hamid Kishk alikuwa mhubiri wa Misri, mfasiri wa Qur'ani, msomi wa Uislamu, mwanaharakati, na mwandishi. Alikuwa miongoni mwa wahubiri mashuhuri katika ulimwengu wa Kiislamu na ameacha turathi ya hotuba zaidi ya 2,000.
Habari ID: 3476635 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/02/27
Harakati za Qur'ani
TEHRAN (IQNA) - Waziri Mkuu wa Malaysia ametetea mpango uliopendekezwa wa kuchapisha nakala milioni 1 za Qur'ani Tukufu kwa lengo la kukabiliana na chuki dhidi ya Uislamu.
Habari ID: 3476634 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/02/27
Mashindano ya Qurani
TEHRAN (IQNA) – Qari wa Kiirani ameshika nafasi ya kwanza katika toleo la sita la Tuzo ya Katara ya Kuhifadhi Qur’ani nchini Qatar.
Habari ID: 3476633 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/02/27
Harakati za Qur'ani
TEHRAN (IQNA) – Maonesho ya Qur’ani Tukufu yamezinduliwa katika Chuo Kikuu cha Alkafeel katika mji mtakatifu wa Najaf, Iraq.
Habari ID: 3476632 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/02/27
Qur'ani Tukufu
TEHRAN (IQNA) – Tarjuma mpya ya Qur'ani Tukufu kwa lugha ya Pulaar, ambayo inazungumzwa Afrika Magharibi, inatazamiwa kuwasaidia wanaozungumza lugha hiyo ambayo pia inajulikana kama Fulfulde.
Habari ID: 3476622 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/02/25
Mashindano ya Qur'ani ya Iran
TEHRAN (IQNA) - Mtaalamu wa Qur'ani Tukufu kutoka Kuwait ambaye alikuwa katika jopo la majaji wa kitengo cha wanawake cha Mashindano ya 39 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Iran amesema mashindano hayo yanaweza kuwa mfano wa kuigwa na nchi zingine ambazo huandaa mashindano ya kimataifa ya Qur’ani Tukufu.
Habari ID: 3476619 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/02/24
Mashindano ya Qur'ani ya Iran
TEHRAN (IQNA)- Washindi wa Mashindano ya 39 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, ambayo fainali yake imefanyika wiki hii kwa kuhudhuriwa na washiriki 52 kutoka nchi 33, wametangazwa ambapo mwakilishi wa Kenya ameshika nafasi ya pili katika kuhifadhi Qur'ani Tukufu.
Habari ID: 3476605 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/02/22
Mashindano ya Qur'ani
TEHRAN (IQNA) – Hafidh wa Qur'ani Tukufu kutoka Pakistani ambaye anashiriki katika fainali ya Mashindano ya 39 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Iran amesifu kiwango cha juu cha mashindano hayo.
Habari ID: 3476598 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/02/21
Sura za Qur'ani Tukufu / 62
TEHRAN (IQNA) - Katika hadithi za manabii wa kiungu tunasoma kuhusu makundi ya watu wanaojiona kuwa wafuasi wa Mitume wa Mwenyezi Mungu lakini kwa hakika hawajali amri za Mwenyezi Mungu na mafundisho ya manabii.
Habari ID: 3476597 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/02/21
Harakati za Qur'ani Misri
TEHRAN (IQNA)-Wizara ya Wakfu ya Misri imesema imeanzisha shirika la kusimamia wasomi maarufu wa Qur'ani na wale wenye vipaji vya Qur'ani katika nchi hiyo ya Kiarabu.
Habari ID: 3476593 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/02/20
TEHRAN (IQNA) – Takriban nakala 15,000 za Kurani Tukufu zimetumwa katika maeneo yaliyokumbwa na mitetemeko mikubwa ya ardhi nchini Uturuki ya tarehe 6 Februari.
Habari ID: 3476592 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/02/20
Shakhsia katika Qur'ani Tukufu /32
TEHRAN (IQNA) – Baada ya kifo cha baba yake Dawoud (AS), Suleiman (AS) akawa nabii na mfalme wa Bani Isra’il.
Habari ID: 3476590 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/02/20
Tafsiri na Wafasiri wa Qur'ani Tukufu /18
TEHRAN (IQNA) – Katika Tafsir al-Safi, Mulla Muhsin Fayz (Fayd) Kashani amefasiri Aya za Qur’ani Tukufu kwa kuzingatia Hadithi kutoka kwa Maasumin (AS) ambao ni kutoka nyumba ya Mtume Muhammad (SAW).
Habari ID: 3476587 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/02/19
Mashindano ya Qur'ani
TEHRAN (IQNA) – Mashindano ya 21 ya Tuzo ya Qur’ani ya Ras Al Khaimah yamehitimishwa huko Ras Al Khaimah, Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE).
Habari ID: 3476585 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/02/19
Mashindano ya Qur'ani Tukufu
TEHRAN (IQNA) – Toleo la sita la Mashindano ya Kimataifa ya Qur’ani ya Port Said yameanza Ijumaa katika mji huo wa bandarini Misri.
Habari ID: 3476578 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/02/18
Chuki dhidi ya Uislamu
TEHRAN (IQNA) - Polisi katika mji mkuu wa Uswidi (Sweden) wa Stockholm wamekataa ombi la maandamano ya kuchoma nakala ya Qur'ani Tukufu mbele ya ubalozi wa Iraq.
Habari ID: 3476575 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/02/17
Mashindano ya Qur'ani Tukufu
TEHRAN (IQNA) - Hatua ya awali ya mashindano ya Qur'ani Tukufu kwa ajili ya wakimbizi wa Afghanistan wanaoishi nchini Iran ilifanyika katika mji mtakatifu wa wa Qom nchini Iran ambapo kulikuwa na washiriki 370.
Habari ID: 3476574 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/02/17
Mashindano ya Qur'ani
TEHRAN (IQNA) – Usajili umefunguliwa kwa ajili ya mashindano ya kitaifa ya Qur’ani Tukufu kwa vijana nchini Brunei, ambayo yataanza mwezi Machi.
Habari ID: 3476563 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/02/14
Mashindano ya Qur'ani ya Iran
TEHRAN (IQNA) - Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran ) Mohammad Baqer Qalibaf ataongoza hafla ya uzinduzi wa duru ya mwisho ya Mashindano ya 39 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Iran.
Habari ID: 3476562 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/02/14