qurani tukufu - Ukurasa 52

IQNA

Mtazamo wa Maadili Katika Qur'ani/ 3
IQNA-Aya za Qur'ani Tukufu na Hadithi zinatuhimiza tuepuke shubuha, kushuku na kutoaminiana. Kuwashuku au kuwa na dhana mbaya kuhusu wengine ni tabia mbaya ambayo inaweza kuwa na athari hasi kwa mtu na wale wanaohusishwa naye.
Habari ID: 3478462   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/06

Mwezi wa Ramadhani
IQNA - Kama ilivyokuwa miaka ya nyuma, Misri inapanga kutuma wasomaji Qur'ani na wahubiri katika nchi mbalimbali katika mwezi mtukufu wa Ramadhani mwaka huu.
Habari ID: 3478459   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/06

Qurani Tukufu
IQNA - Waziri anayemaliza muda wake wa masuala ya kidini wa Pakistan amesisitiza wajibu wa kila Muislamu mwanamume na mwanamke kueneza elimu ya Qur'ani Tukufu.
Habari ID: 3478454   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/05

Mtazamo wa Maadili Katika Qur'ani/ 2
IQNA – Wivu au uhasidi ni tabia mbaya ambayo husababisha mtu kutaka wengine kupoteza baraka zao. Kwa hakika wivu ulikuwa sababu ya mauaji ya kwanza na pia mauaji ya kwanza baina ya ndugu wa familia moja katika historia ya wanadamu.
Habari ID: 3478452   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/05

Utamaduni
IQNA – Jumba la Makumbusho ya Qur'ani la "Bait Al-Hamd" limezinduliwa nchini Kuwait kwa lengo la kukuza Qur'ani Tukufu na maarifa ya Kiislamu.
Habari ID: 3478451   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/04

Turathi ya Kiislamu
IQNA - Miongoni mwa vitu vinavyoonyeshwa kwenye Maktaba ya Kitaifa ya Qatar ni nakala adimu ya Qur'ani Tukufu kutoka Morocco.
Habari ID: 3478442   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/03

Harakati za Qur'ani Misri
IQNA - Wizara ya Wakfu ya Misri inapanga kuzindua msafara wa wasomaji Qur'ani Tukufu kwa ajili ya mwezi mtukufu wa Ramadhani. Msafara huo utaundwa na Idara ya Wakfu ya Mkoa wa Alexandria.
Habari ID: 3478441   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/03

Mwezi wa Ramadhani
IQNA – Misikiti nchini Misri inatayarishwa kuwakaribisha waumini katika mwezi mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3478436   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/01

Waislamu Russia
IQNA - Kijana mmoja amehukumiwa kifungo cha miaka 3.5 jela nchini Russia kwa kujunjia heshima nakala Qur'ani Tukufu.
Habari ID: 3478430   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/29

Harakati za Qur'ani
IQNA - Wizara ya Wakfu ya Misri iliandaa kongamano la Qur'ani katika misikiti 66 kote nchini.
Habari ID: 3478426   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/28

Qur'ani Tukufu barani Afrika
IQNA-Video iliyosambazwa na mtalii wa Morocco, ambapo watoto wa Kiafrika wanasoma aya za Sura Maryam kwa njia nzuri na ya kipekee, imewavutia wengi katika mitandao ya kijamii.
Habari ID: 3478425   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/28

Harakati za Qur'ani
IQNA - Astan (Mfawidhi) wa Haram tukufu ya Imam Hussein (AS) huko Karbala, Iraq, ilimtaja mwandishi mashuhuri wa kaligrafia, Uthman Taha kama shakhsia wa Qur'ani wa mwaka.
Habari ID: 3478413   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/25

Saikolojia katika Qur’ani /1
IQNA – Msongo wa mawazo (stress) au shinikizo la kisaikolojia ni hali ambayo hutokana na matukio mabaya au magumu  ambayo huathiri mwili au akili ya mtu na kusababisha msukosuko na mfadhaiko.
Habari ID: 3478375   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/18

Harakati za Qur'ani
IQNA - Makumi ya watoto huko Rafah, kusini mwa Gaza, ambao wamehitimu katika mafunzo ya
Habari ID: 3478360   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/16

Mashindano ya Qur'ani ya Iran
IQNA –Raundi ya mwisho ya toleo la 8 la mashindano ya kimataifa ya Qur'ani kwa wanafunzi wa shule za Kiislamu duniani itaanza mjini Tehran siku ya Alhamisi.
Habari ID: 3478351   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/14

Mashindano ya Qur'ani
IQNA - Mashindano ya nchi nzima ya Qur'ani yanaendelea nchini Mauritania ambayo yanalenga kuchagua wawakilishi wa nchi hiyo ya Kiafrika kwa ajili ya mashindano yajayo ya kimataifa ya Qur'ani.
Habari ID: 3478348   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/14

Mashindano ya Qur'ani
IQNA - Mashindano ya kimataifa ya mabingwa katika kuhifadhi Qur'ani Tukufu na utamaduni wa Kiislamu yamepangwa kufanyika nchini Misri msimu huu wa kiangazi.
Habari ID: 3478346   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/13

Watetezi wa Qur'ani Tukufu
IQNA - Waislamu wa Uholanzi wamesambaza nakala za Qur’ani Tukufu zenye tafsiri ya Kiholanzi ili kujibu la jaribio la mrengo mkali wa kulia la kuchoma kitabu kitakatifu cha Waislamu mwezi uliopita.
Habari ID: 3478342   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/12

Harakati za Qur'ani
IQNA - Mpango wa Qur'ani kwa watoto nchini Misri umepokelewa vyema sana katika majimbo tofauti ya nchi hiyo.
Habari ID: 3478341   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/12

Harakati za Qur'ani
IQNA - Misikiti mikubwa nchini Misri itakuwa imeandaa programu za Khatm al Qur’an (kusoma Quran nzima) katika siku ya kwanza ya mwezi wa Hijri wa Shaaban.
Habari ID: 3478336   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/11