qurani tukufu - Ukurasa 98

IQNA

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA) - Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, moja ya mahitaji muhimu na ya lazima ya umma wa Kiislamu hii leo, ni udharura wa kushikamana na Qur'an Tukufu na kuifanyia kazi.
Habari ID: 3471518   Tarehe ya kuchapishwa : 2018/05/18

TEHRAN (IQNA)-Wizara ya Wakfu na Masuala ya Kidini Oman imetangza kuwa Mei 17 itakuwa siku ya kwanza ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani mwaka huu.
Habari ID: 3471500   Tarehe ya kuchapishwa : 2018/05/07

TEHRAN (IQNA) – Wapalestina wameweka kambi maalumu za kusoma Qur'ani katika maeneo ya 'Maandamano ya Kurejea' katika Ukanda wa Ghaza pamoja na kuwa wanajeshi wa utawala haramu wa Israel wamekuwa wakiwafyatulia risasi na kuwaua Wapalestina.
Habari ID: 3471498   Tarehe ya kuchapishwa : 2018/05/06

Mjini Mashhad kaskazini mashariki mwa Iran
TEHRAN (IQNA)- Mashindano ya Sita ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Wanachuo Waislamu yameanza katika mji wa Mashhad kaskazini mashariki mwa Iran.
Habari ID: 3471485   Tarehe ya kuchapishwa : 2018/04/27

TEHRAN (IQNA)- Jopo la majaji katika Mashindano ya 35 ya Kimatiafa ya Qur'ani ya Iran limetangaza majina ya waliofika fainali katika kategoria wanaume waliohifadhi Qur'ani kikamifliu katika mashindano hayo.
Habari ID: 3471478   Tarehe ya kuchapishwa : 2018/04/23

TEHRAN (IQNA)-Chama cha Barisan Nasional nchini Malaysia kimetangaza mpango wa kujenga Chuo Kikuu cha Qur'ani nchini humo ambapo watakaohitimu hapo watakuwa wamehifadhi Qur'ani Tukufu kikamilifu na pia watakuwa wamepata utaalamu katika taaluma nyinginezo.
Habari ID: 3471459   Tarehe ya kuchapishwa : 2018/04/09

TEHRAN (IQNA)-Chuo Kikuu cha Kiislamu cha Al Azhar nchini Misri imetangaza kukamilika tarjuma mpya ya Qur'ani Tukufu kwa lugha ya Kiswahili.
Habari ID: 3471453   Tarehe ya kuchapishwa : 2018/04/04

TEHRAN (IQNA)- Idara ya masuala ya kidini nchini Uturuki imetangaza mpango wa kuandika tafsiri mpya ya Qur'ani itakayaondikwa kwa mchango wa wanasayansi.
Habari ID: 3471452   Tarehe ya kuchapishwa : 2018/04/03

TEHRAN (IQNA)-Uturuki imewatunuku Waislamu wa kusini mwa Uhispania nakala 3,000 za Qur’ani Tukufu.
Habari ID: 3471448   Tarehe ya kuchapishwa : 2018/03/30

TEHRAN (IQNA)- Nakala nadra ya na yake ya Qur’ani Tukufu iliyoandikwa karne 9 zilizopita imepatikana nchini Tunisia.
Habari ID: 3471435   Tarehe ya kuchapishwa : 2018/03/19

TEHRAN (IQNA)-Mashindano ya Tisa ya Qur'ani ya wanafunzi wa vyuo vikuu nchini Saudi Arabia yamekuwa yakiendelea mjini Jeddah tokea Februari 25.
Habari ID: 3471409   Tarehe ya kuchapishwa : 2018/02/28

Mtaalamu wa Qur’ani kutoka Lebanon
TEHRAN (IQNA)-Mtaalamu wa Qur’ani Tukufu kutoka Lebanon amesema mitandao ya kijamii ni fursa ya kipekee ya kufundisha Qur’ani Tukufu.
Habari ID: 3471408   Tarehe ya kuchapishwa : 2018/02/27

TEHRAN (IQNA)- Mashindano ya Qur'ani kwa waliosilimu yamefanyika hivi karibuni mjini Dubai katika Umoja wa Falme za Kiarabu, UAE.
Habari ID: 3471401   Tarehe ya kuchapishwa : 2018/02/23

Waziri wa Mambo ya Ndani Pakistan
TEHRAN (IQNA)-Waziri wa Mambo ya Ndani Pakistan Ahsan Iqbal amesema Qur'ani Tukufu ni kama ramani ya njia katika mwaisha ya mwanadamu.
Habari ID: 3471374   Tarehe ya kuchapishwa : 2018/01/28

TEHRAN (IQNA)-Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inapanga kuandaa mashindano ya kimataifa ya Qur'ani ya wanafunzi Waislamu katika mwezi wa Aprili sambamba na Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani ya Iran.
Habari ID: 3471365   Tarehe ya kuchapishwa : 2018/01/22

TEHRAN (IQNA)-Zaidi ya nakala milioni 1.6 za Qur’ani Tukufu zimechapishwa katika Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika kipindi cha miezi tisa iliyopita.
Habari ID: 3471344   Tarehe ya kuchapishwa : 2018/01/06

TEHRAN (IQNA)-Wafungwa 21,000 wanaohudumu vifungo nchini Iran wamehifadhi Qur'ani Tukufu katika viwango mbali mbali.
Habari ID: 3471338   Tarehe ya kuchapishwa : 2018/01/01

…Na tukamtia nguvu kwa Roho Takatifu... Qur'ani Tukufu Sehemu ya Aya ya 87 ya Surat al Al Baqara
Habari ID: 3471329   Tarehe ya kuchapishwa : 2017/12/29

TEHRAN (IQNA)-Tarjumi ya kwanza ya Qur'ani kwa lugha Kirundi imezinduliwa nchini Burundi katika hatua ambayo imetajwa kuwa kihistoria tokea Uislamu uingie nchini humo.
Habari ID: 3471326   Tarehe ya kuchapishwa : 2017/12/27

TEHRAN (IQNA)-Asilimia 12.5 ya watu katika kila mkoa nchini Iran wanatazamiwa kuhifadhi Qur'ani kikamilifu ifikapo mwaka 2025, kwa mujibu wa mkakati uliowekwa.
Habari ID: 3471324   Tarehe ya kuchapishwa : 2017/12/25