qurani tukufu - Ukurasa 97

IQNA

TEHRAN (IQNA)-Kongamano la kimataifa la miujiza ya Qur'ani Tukufu limefanyika hivi karibuni katika mji mkuu wa Iraq, Baghadad.
Habari ID: 3471845   Tarehe ya kuchapishwa : 2019/02/18

TEHRAN (IQNA)- Serikali ya Sudan imeanza mradi wa kitaifa wa kukarabati nakala za kale za Qur'ani Tukufu.
Habari ID: 3471844   Tarehe ya kuchapishwa : 2019/02/17

TEHRAN (IQNA)- Ajuza mwenye umri wa miaka 75 nchini Saudi Arabia amefanikiwa kuhifadhi Qur'ani Tukufu kikamilifu.
Habari ID: 3471820   Tarehe ya kuchapishwa : 2019/01/27

TEHRAN (IQNA)- Akademia ya Uislamu katika Sayansi na Jamii ya Chuo Kikuu cha Goethe nchini Ujerumani imetenga bajeti ya Euro milioni 2.7 katika mradi wa kufanya utafiti kuhusu Qur'ani Tukufu.
Habari ID: 3471788   Tarehe ya kuchapishwa : 2018/12/27

TEHRAN (IQNA) – Washindi wa Mashindano ya 16 ya Kimataifa ya Qur'ani nchini Tunisia wametangazwa na kutunukiwa zawadi zao.
Habari ID: 3471772   Tarehe ya kuchapishwa : 2018/12/15

TEHRAN (IQNA)- Awamu ya 20 ya Wiki ya Qur'ani Tukufu nchini Algeria imefanyika huku kukitolewa wito wa kuhakikisha watoto wanajifunza Qur'ani.
Habari ID: 3471763   Tarehe ya kuchapishwa : 2018/12/07

TEHRAN (IQNA)- Idara ya Masuala ya Kidini Uturuki (Diyanet) imesambazwa nakala 5,000 za Qur'ani Tukufu iliyotarujumiwa kwa lugha ya Kichewa nchini Malawi.
Habari ID: 3471759   Tarehe ya kuchapishwa : 2018/12/03

TEHRAN (IQNA)-Kongamano la kimataifa kuhusu changamoto katika kazi ya tarjuma ya Qur'ani limefanyika Casablanca, Morocco hivi karibuni.
Habari ID: 3471758   Tarehe ya kuchapishwa : 2018/12/02

TEHRAN (IQNA)- Wanafunzi wa Chuo cha Kuhifadhi Qur'ani Tukufu cha Idlib, Syria wamehitimu katika sherehe ambayo iliashiria kurejea hali ya kawaida katika baada ya eneo hilo kukumbwa kwa muda mrefu.
Habari ID: 3471726   Tarehe ya kuchapishwa : 2018/11/01

Inna Lillah wa Inna Ilayhi Rajioun
TEHRAN (IQNA)-Qarii na mwanazuoni mtajika wa Qur'ani Tukufu nchini Libya na katika ulimwengu wa Kiislamu Sheikh Mustafa Qashqash amefariki dunia na kuzikwa Ijumaa katika mji mkuu wa nchi hiyo, Tripoli.
Habari ID: 3471671   Tarehe ya kuchapishwa : 2018/09/15

TEHRAN (IQNA)- Nakala milioni moja za Qur'ani Tukufu zimesambazwa miongoni mwa Waislamu waliofika katika Msikiti wa Makka maarufu kama Masjid al-Haram katika msimu wa Hija mwaka huu.
Habari ID: 3471632   Tarehe ya kuchapishwa : 2018/08/17

TEHRAN (IQNA)- Wanachuo zaidi ya 200 waliohifadhi Qur’ani Tukufu kikamilifu wamehitimu katika Kituo cha Masomo ya Qur’ani cha Chuo Kikuu cha Bayero cha Jimbo la Kano (BUK).
Habari ID: 3471614   Tarehe ya kuchapishwa : 2018/07/31

TEHRAN (IQNA)- Msichana Mmisri mwenye ulemavu wa macho na ambaye pia aliugua saratani amehifadhi Qur'ani Tukufu kikamilifu.
Habari ID: 3471593   Tarehe ya kuchapishwa : 2018/07/14

TEHRAN (IQNA)- Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetangaza kuwa itatuma msafara wa Qur'ani Tukufu, katika Ibada ya Hija mwaka huu nchini Saudi Arabia.
Habari ID: 3471591   Tarehe ya kuchapishwa : 2018/07/12

TEHRAN (IQNA)-Kituo cha Utamaduni cha Iran nchini Senegal kimetangaza utayarifu wake katika kuisaidia nchi hiyo kuimarisha shule au Madrassah za Qur’ani Tukufu.
Habari ID: 3471589   Tarehe ya kuchapishwa : 2018/07/10

TEHRAN (IQNA)-Wizara ya Wakfu na Masuala ya Kiislamu Jordan imetangaza mpango wa kuzindua vituo 50 vya kuhifadhi Qur'ani katika mkoa wa Karak nchini humo.
Habari ID: 3471568   Tarehe ya kuchapishwa : 2018/06/22

TEHRAN (IQNA)- Wizara ya Elimu katika Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetangaza kuwa karibu wanafunzi milioni moja nchini wamehifadhi Qur’ani.
Habari ID: 3471566   Tarehe ya kuchapishwa : 2018/06/20

TEHRAN (IQNA)- Kitengo cha kimataifa cha Maonyesho ya 26 ya Qur'ani Tukufu ya Tehran kilizinduliwa Jumapili katika siku ya 11 ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3471534   Tarehe ya kuchapishwa : 2018/05/28

TEHRAN (IQNA) – Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Tanzania yanatazamiwa kufanyika katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani mjini Dar es Salaam.
Habari ID: 3471529   Tarehe ya kuchapishwa : 2018/05/24

TEHRAN (IQNA) Mkuu wa Halmasahuri ya Mapatano Uganda (URA) amekanusha taarifa kuhusu kuwepo mpango wa kutoza ushuru nakala za Qur'ani Tukufu na Bibilia.
Habari ID: 3471524   Tarehe ya kuchapishwa : 2018/05/21