TEHRAN (IQNA)-Mwanariadha Mwanamke Mwislamu Mmarekani aliyeiwakilisha nchi yake katika Olimpiki amemuandikia barua ya malalamiko Rais Donald Trump wa nchi hiyo.
Habari ID: 3470905 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/03/23
IQNA-Idadi ya makundi yanayowapinga Waislamu yammeongezeka karibu mara tatu Marekani mwaka 2016 baada ya kuanza kampeni za urais za Donald Trump.
Habari ID: 3470853 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/02/17
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
IQNA:Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa taifa la Iran litajibu vitisho vilivyotolewa na Rais Donald Trump wa Marekani katika maadhimisho ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran Ijumaa ijayo.
Habari ID: 3470839 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/02/07
Ubaguzi wa Trump
IQNA: Polisi nchini Marekani wamemtia mbaroni na kumfunga pingu mtoto wa miaka mitano Muirani katika hatua ya ubaguzi iliyojiri huko Uwanja wa Ndege wa Jimbo la Virginia.
Habari ID: 3470830 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/02/02
Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imelaani vikali uamuzi wa serikali ya Marekani kuzuia Waislamu kuingia nchini humo ikisema kuwa, huko ni kuuvunjia heshima waziwazi ulimwengu wa Kiislamu na taifa la Iran.
Habari ID: 3470821 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/01/29
IQNA: Chuki dhidi ya Waislamu na Uislamu zinaendelea kushika kasi Marekani huku msikiti mwingine ukiteketezwa moto katika katika jimbo la Texas.
Habari ID: 3470820 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/01/29
IQNA-Rais Donald Trump wa Marekani amelaaniwa vikali kwa hatua yake ya kutia saini sheria ya kuwapiga marufuku Waislamu kuingia nchini humo.
Habari ID: 3470817 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/01/28
IQNA-Rais-mteule wa Marekani Donald Trump amewateua watu wenye chuki dhidi ya Uislamu kuhudumu katika Ikulu ya White House jambo linanloashiria muendelezo wa sera zake za chuki ambazo zimewatia hofu Waislamu nchini humo.
Habari ID: 3470684 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/11/19
Gingrich, Spika wa Zamani wa Bunge la Marekani
Spika wa zamani wa Kongresi ya Marekani amesema kuwa Waislamu wanaoshikamana na sheria za Kiislamu wanapaswa kufukuzwa nchini Marekani.
Habari ID: 3470456 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/07/16
Waislamu nchini Marekani
Waislamu nchini Marekani, wamesema kuwa maneno ya chuki dhidi ya dini tukufu ya Kiislamu yanayotolewa na viongozi wa chama cha Republican, ndiyo sababu ya kuongezeka hujuma na mashambulizi dhidi ya Waislamu nchini humo.
Habari ID: 3470193 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/03/12
Donald Trump, mwanasiasa wa chama cha Republicans amesema baadhi ya waitifaki wa Marekani, ikiwemo Israel, wanaliunga mkono na kulipa misaada kundi la kigaidi la ISIS au Daesh.
Habari ID: 3463979 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/12/16
Baraza la Mahusiano ya Kiislamu Marekani CAIR limemlaani Donald Trump anayewania kuteuliwa kugombea urais wa tikiti ya chama cha Republican, kufuatia matamshi yake kuwa Waislamu watimuliwe Marekani.
Habari ID: 3461178 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/12/08