ayatullah isa qasim

IQNA

IQNA – Wanazuoni wa Bahrain wametangaza uungaji mkono wao kamili na mshikamano wao na kauli ya Ayatullah Sheikh Isa Qassim kuhusu tishio la kuwepo linalowakabili Mashia wa nchi hiyo.
Habari ID: 3482515   Tarehe ya kuchapishwa : 2026/07/20

IQNA-Kiongozi mkuu wa Kishia nchini Bahrain amesema katika hotuba kwamba mamilioni ya Wairani wanasimama kidete kulinda uhuru na usalama wa nchi yao kupitia kumuunga mkono Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu.
Habari ID: 3481859   Tarehe ya kuchapishwa : 2026/01/28

Ayatullah Sheikh Isa Qassim
TEHRAN (IQNA)- Mwanazuoni wa ngazi za juu nchini Bahrain Ayatullah Sheikh Isa Qassim amesema kuanzisha uhusiano wa kawaida na kati ya nchi za Kiarabu na utawala wa Kizayuni wa Israel ni kinyume cha matakwa ya wananchi katika nchi hizo.
Habari ID: 3473165   Tarehe ya kuchapishwa : 2020/09/13

TEHRAN (IQNA) - Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Bahrain Ayatullah Sheikh Isa Qassim amesema Wabahrain wataendeleza mapambano yao ya kisiasa hadi haki zao zitambuliwa na watawala wa nchi hiyo.
Habari ID: 3472990   Tarehe ya kuchapishwa : 2020/07/23

TEHRAN (IQNA)- Utawala wa Aal Khalifa ukiungwa mkono na Saudi Arabia na Marekani umepanga kuchukua uamuzi wa kumbaidisha Ayatullah Sheikh Isa Qassim mjini Najaf Iraq lakini wakuu wa Iraq wamepinga pendekezo hilo.
Habari ID: 3470993   Tarehe ya kuchapishwa : 2017/05/25

Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imetoa taarifa kulaani hatua ya Bahrain ya kumvua uraia Ayatullah Isa Qassim.
Habari ID: 3470405   Tarehe ya kuchapishwa : 2016/06/21

Utawala wa kiimla wa ukoo wa Aal Khalifa Bahrain umeendeleza ukandamizaji mkubwa kwa kumvua uraia mwanazuoni mkubwa na mashuhuri wa Kiislamu nchini humo Ayatullah Issa Ahmad Qasim.
Habari ID: 3470404   Tarehe ya kuchapishwa : 2016/06/21