Uislamu na Elimu

IQNA

EHRAN (IQNA) – Mafundisho ya kimaadili ya Uislamu yana lengo la kuelimisha, kufundisha na kuitakasa nafsi ya mwanadamu na kumsaidia kubadilika na kuelekea kwenye ukamilifu katika njia ya kumcha mwenyezi Mungu na kumtumikia Mwenyezi Mungu Mtukufu.
Habari ID: 3477710   Tarehe ya kuchapishwa : 2023/10/11

TEHRAN (IQNA) – Jamii zote za wanadamu zimetafuta njia za kuwasaidia wahitaji kwa sababu kama pengo hili halitazibwa, kutakuwa na madhara ya kijamii.
Habari ID: 3477705   Tarehe ya kuchapishwa : 2023/10/09

Mbinu ya Elimu ya Manabii; Ibrahim / 6
Kila mtu anaweza kufanya makosa au kutenda dhambi, Mwenyezi Mungu kupitia dini, ametoa wito kwa wanadamu kutubu na kutafuta msamaha ili kufidia dhambi na makosa yao.
Habari ID: 3477162   Tarehe ya kuchapishwa : 2023/06/19

Uislamu na Elimu
TEHRAN (IQNA)- TEHRAN (IQNA) – Shirika la Kiislamu la Elimu, Sayansi na Utamaduni Duniani (ISESCO) linapanga kuanzisha mfuko kwa ajili ya kusaidia wasomi na watu mahiri katika ulimwengu wa Kiislamu.
Habari ID: 3476288   Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/22