iqna

IQNA

Ushirikiano katika Qur’ani Tukufu/3
IQNA-Katika Aya ya pili ya Surah Al-Ma’idah, Mwenyezi Mungu Mtukufu ametaja amri nane muhimu, ambazo ni miongoni mwa maagizo ya mwisho aliyoteremshiwa Mtume Muhammad (Rehema na Amani zimshukie). Miongoni mwa amri hizo ni kushikamana kwa pamoja katika njia ya wema na uchamungu.
Habari ID: 3481383    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/10/19

IQNA – Mwanazuoni wa Kiirani, Hujjatul-Islam Habibollah Zamani, amesisitiza kuwa njia bora ya kuwahimiza watoto kuswali ni kwa wazazi kuishi kwa mfano wa maadili ya Kiislamu na kuifanya ibada kuwa sehemu ya kawaida ya maisha ya kifamilia.
Habari ID: 3481359    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/10/12

IQNA – Mtume Muhammad (SAW), kipenzi cha Umma wa Kiislamu, alitoa mwongozo wa wazi kwa ajili ya kukuza roho na imani ya Waislamu kwa kusisitiza umuhimu wa kufahamu Qur’ani, kutafakari aya zake, na kushiriki katika vikao vya Qur’ani.
Habari ID: 3481225    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/09/13

IQNA – Mafundisho ya Mtume Muhammad (SAW), yakielezwa kwa lugha ya leo, yanaweza kusaidia kuziba pengo kati ya zama za kale na maisha ya kisasa, sambamba na kukabiliana na tatizo la ujinga wa kidini, kwa mujibu wa mwanazuoni mmoja kutoka Iran.
Habari ID: 3481223    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/09/13

IQNA-Imetangazwa kuwa Jumanne hii, tarehe 9 Septemba 2025, kutafanyika mjadala wa kimataifa kwa njia ya mtandao kwa jina “Karne 15 za Kumfuata Mjumbe wa Nuru na Rehema.”
Habari ID: 3481193    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/09/07

IQNA – Mwanazuoni mwandamizi kutoka Iran amesema kuwa kulinganisha mtazamo wa Tauhidi wa Mapinduzi ya Kiislamu na mtazamo wa kisekula wa Magharibi kunasaidia kufichua kwa undani vipengele vya migogoro ya dunia ya leo.
Habari ID: 3481185    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/09/05

IQNA – Mwanazuoni wa Kiirani, Mohammad-Taqi Fayyazbakhsh, amesema kuwa Qur'ani Tukufu inaendelea kuwa ya kisasa na yenye mwongozo kwa kila zama na kila jamii, akisisitiza nafasi yake kama chanzo cha mwangaza wakati wa mkanganyiko.
Habari ID: 3481184    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/09/05

IQNA – Akitoa wito wa kuendeleza kanuni za Qur'an na Sunnah, mwanazuoni mmoja wa Kiislamu amesema kuwa Qur'an na Sunnah zinahimiza uvumilivu, amani na undugu.
Habari ID: 3480600    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/04/27

IQNA – Mwanafasihi wa masomo ya Qur'ani amesisitiza kwamba lengo kuu la Qur'ani ni kubadilisha matendo na tabia ya waumini, si tu kusomwa tu. 
Habari ID: 3480590    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/04/25

IQNA – Katika Khutbah Sha'baniyah yake, Mtume Muhammad (SAW) alisisitiza kuwa kitendo bora zaidi katika mwezi mtukufu wa Ramadhani ni kujiepusha na yale ambayo Mwenyezi Mungu ameyakataza. 
Habari ID: 3480487    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/04/02

IQNA – Ili kukuza tabia njema, mpango wa mwaka mzima ni muhimu, na wakati bora wa kuanza ni mwishoni mwa mwezi mtukufu Ramadhani.
Habari ID: 3480483    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/04/01

IQNA – Moja ya makosa yetu makubwa ni kushindwa kufahamu manufaa ya kiroho tunayopata wakati wa Ramadhani.
Habari ID: 3480475    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/03/31

Tawakkul katika Qur'ani/1
IQNA – Baadhi ya wataalamu wa lugha wanaamini kuwa neno la Kiarabu 'Tawakkul' linatokana na dhana ya kuonyesha kutoweza na udhaifu katika juhudi za binadamu. 
Habari ID: 3480374    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/03/15

IQNA – Mojawapo ya manufaa ya kufunga ni kusaidia kuimarisha nguvu ya utashi na udhibiti wa nafsi. Kufunga hutoa fursa ya kufanya mazoezi ya subira na ustahimilivu dhidi ya majaribu na matamanio.
Habari ID: 3480358    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/03/12

Athari za Kufunga kwa Afya ya Akili/3
IQNA – Wakati mtu anajizuia kula na kunywa wakati wa mchana, anakuwa anafanya mazoezi ya kujidhibiti.
Habari ID: 3480329    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/03/08

Mawaidha
IQNA - Kuna hoja nyingi za kimantiki zinazotolewa kama ushahidi wa ulazima wa kuwepo siku ya ufufuo au Kiyama.
Habari ID: 3479708    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/06

Pepo Katika Qur'ani / 4
IQNA – Imebainishwa katika aya za Qur’ani Tukufu kwamba dunia hii ni mahali ambapo mwonekano wa mambo unadhihiri na akhera ni mahali pa kuteremshwa Malakut yao.
Habari ID: 3478309    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/05

Mawaidha
IQNA – Shetani ni nomino ya kawaida ambayo hutumiwa kurejelea kila kiumbe mwenye kuhadaa na mpotovu, awe binadamu au asiye binadamu.
Habari ID: 3478136    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/03

Mawaidha
IQNA – Qur’ani Tukufu katika aya nyingi inazungumza kuhusu majaribu au mitihani ya Mwenyezi Mungu na jinsi Mwenyezi Mungu huwajaribu wanadamu.
Habari ID: 3478127    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/01

Mawaidha
TEHRAN (IQNA) – Kwa bahati mbaya, mchakato wa kufafanua dini kuiingiza katika jamii umechukua mwelekeo ambao wakati mwingi hisia za uzuri na wema wa mwanadamu umepuuzwa.
Habari ID: 3477287    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/07/15