TEHRAN (IQNA)- Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya amesema kufedheheka na kuaibika utawala wa Rais Donald Trump wa Marekani katika siku zake za mwisho ni ishara kuwa, ubaguzi wa rangi na ukiukwaji sheria na mambo ambayo hayana mwisho mwema.
Habari ID: 3473553 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/01/13
TEHRAN (IQNA)- Jumuiya ya Maulamaa wa Yemen imetoa taarifa na kulaani vikali hatua ya Marekani kutangaza kuwa Harakati ya Mamapmbano ya Kiislamu ya Ansarullah nchini Yemen ni kundi la 'kigaidi'.
Habari ID: 3473550 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/01/12
TEHRAN (IQNA) – Aplikesheni mashuhuri ya simu za mkononi ambayo Waislamu huitumia kubaini wakati wa swala imekuwa ikikusanya kwa siri taarifa za watumizi na kuzikabidhi Marekani.
Habari ID: 3473549 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/01/12
TEHRAN (IQNA)- Muhammad Ali al-Houthi, mjumbe wa Baraza la Kisisa la Harakati ya Wananchi ya Ansarullah ya Yemen amesisitiza kuwa, Marekani ndio chimbuko la ugaidi na kwamba, serikali ya sasa ya Donald Trump imekuwa ikitekeleza siasa na sera za kueneza ugaidi dunianii.
Habari ID: 3473546 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/01/11
TEHRAN (IQNA) – Rais Ashraf Ghani wa Afghanistan amesema vita katika nchi yake vimeua raia zaidi ya 40,000 na katika kipindi hicho ni askari 98 tu wa Marekani waliouawa nchini humo.
Habari ID: 3473543 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/01/10
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA) - Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ametangaza bayana kuwa, kuingizwa Iran chanjo ya corona au COVID-19 kutoka Marekani na Uingereza ni marufuku.
Habari ID: 3473535 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/01/08
TEHRAN (IQNA) - Watu wasiopungua wanne wameuawa baada ya waandamanaji wenye vurugu kuvamia Bunge la Marekani, Congress, mjini Washington DC wakitaka matokeo ya uchaguzi wa rais wa Novemba 3 yaliompa ushindi Joe Biden yabatilishwe.
Habari ID: 3473532 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/01/07
TEHRAN (IQNA) – Waislamu katika mji mmoja nchini Marekani wanaendeleza kampeni ya kuelimisha umma kuhusu vazi la Kiislamu la Hijabu na faida zake.
Habari ID: 3473529 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/01/06
TEHRAN (IQNA) - Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amegusia namna rais wa Marekani Donald Trump alivyotoa amri ya kuuliwa kiwogawoga, Shahidi Qassem Soleimani, na kusema kuwa, shambulio hilo la anga linaonesha uchochole wa kupindukia wa Donald Trump ambaye ameshindwa kupambana na shujaa huyo katika medani ya mapambano na badala yake alimvizia kiwogawoga uraiani na kumuua.
Habari ID: 3473523 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/01/04
TEHRAN (IQNA) - Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameionya vikali Marekani kwa kupiga ngoma ya vita na kusisitiza kuwa, taifa hili lipo tayari kujilinda.
Habari ID: 3473512 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/01/01
TEHRAN (IQNA)- Balozi wa Palestina katika Umoja wa Mataifa ametuma barua tofauti kwa viongozi wa umoja huo akitaka jamii ya kimataifa kukabiliana ipasavyo na jinai za utawala wa Kizayuni wa Israel na kuuadhibu utawala huo kwa hatua yake ya kuendeleza ujenzi wa vitongoji vya walowezi wa Kizayuni katika ardhi za Palestina.
Habari ID: 3473508 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/12/30
TEHRAN (IQNA)- Majilisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) imelaani vikali hatua ya serikali ya Marekani ya kukiwekea vikwazo Chuo Kikuu cha Kimataifa cha al-Mustafa cha Iran.
Habari ID: 3473501 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/12/28
Naibu Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon
TEHRAN (IQNA) - Naibu Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesisitiza kuwa, Shahidi Qassem Soleimani alikuwa nguvu kubwa mbele ya mipango kiistikbari ya Marekani na ndio maana ameuliwa kigaidi na adui.
Habari ID: 3473480 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/12/22
TEHRAN (IQNA) – Serikali ya Iraq imepanga kuishtaki Marekani kutokana na kitendo cha wakuu wa Washington kukiouka mamlaka ya kujitawala ya Iraq.
Habari ID: 3473458 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/12/15
TEHRAN (IQNA) - Harakati za kupigania ukombozi wa Palestina zimelaani vikali hatua ya Morocco kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala haramu wa Israel.
Habari ID: 3473444 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/12/11
TEHRAN (IQNA) - Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetangaza kumuweka balozi wa Marekani nchini Yemen katika orodha ya waliowekewa vikwazo na Iran.
Habari ID: 3473443 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/12/10
TEHRAN (IQNA) - Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Al MustafaSAW kimetoa taarifa na kueleza kuwa hatua ya serikali ya Markani ya kukiwekea vikwazo chuo hicho ni mfano wa wazi wa siasa za kupinga elimu.
Habari ID: 3473442 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/12/10
TEHRAN (IQNA)- Katika muendelezeo wa vikwazo vya kidhalimu vya Marekani dhidi ya Iran, Wizara ya Fedha ya nchi hiyo imetangaza vikwazo dhidi ya Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Al Mustafa SAW na balozi wa Iran nchini Yemen Hassan Irloo.
Habari ID: 3473440 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/12/09
TEHRAN (IQNA) -Baraza la Mahusiano ya Kiislamu Marekani (CAIR), limetangaza kuwa litatenga s ofisi katika makao makuu yake kwa ajili ya kutumiwa na Taasisi ya Kupambana na Chuki Dhidi ya Uislamu au Islamophobia Ufaransa (CCIF) ambayo imefungwa na serikali ya nchi hiyo.
Habari ID: 3473423 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/12/05
TEHRAN (IQNA) – Asasi moja ya kufuatilia mambo ya vita imesema uchunguzi wake umebaini kuwa Jeshi la Marekani limeua raia 13,000 nchini Iraq na Syria katika kipindi cha miaka sita iliyopita.
Habari ID: 3473376 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/11/20