iqna

IQNA

TEHRAN (IQNA) - Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa ameendeleza vita vyake dhidi ya Uislamu baada ya kutangaza kuwa atapambana na 'Uislamu wa kisiasa."
Habari ID: 3472485    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/02/19

TEHRAN (IQNA) – Vitendo vya chuki dhidi ya Uislamu nchini Ufaransa viliongezeka kwa asilimia 54 katika mwaka uliopita wa 2019.
Habari ID: 3472414    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/01/28

TEHRAN (IQNA) – Mohammad Moussaoui amechaguliwa kuwa mwenyekiti mpya wa Baraza la Waislamu Ufaransa (CFCM).
Habari ID: 3472389    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/01/20

TEHRAN (IQNA) – Uchunguzi wa maoni umebaini kuwa asilimia 42 ya Waislamu Ufaransa wanabaguliwa au kubughudhiwa nchini humo.
Habari ID: 3472204    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/11/07

TEHRAN (IQNA) – Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa ameendelea sera zake za chuki dhidi ya Uislamu kwa kusema anapinga vazi la staha la Hijabu la wanawake Waislamu kuvaliwa katika idara au taasisi za kiserikali zinazotoa huduma kwa umma.
Habari ID: 3472186    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/10/25

Inna Lillah wa Inna Ilayhi Rajioun
TEHRAN (IQNA) – Yahya (Christian) Bonaud, mwanafikra Mfaransa, msomi na mtarjumi wa Qur'ani Tukufu kwa lugha ya Kifaransa amefariki Jumatatu akiwa na umri wa miaka 62.
Habari ID: 3472103    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/08/27

TEHRAN (IQNA)-Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa ametakuwa kusikiliza sauti za Waislamu kabla ya kukamilisha rasimu ya sheria mpya za Uislamu nchini humo.
Habari ID: 3471698    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/10/01

TEHRAN (IQNA)- Ousmane Dembele mchezaji wa Timu ya Taifa ya Soka ya Ufaransa ambaye alinawiri katika Kombe la Dunia hivi karibuni nchini Russia ametangaza kuwa atajenga msikiti katika nchi yake ya asili, Mauritania.
Habari ID: 3471598    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/07/18

TEHRAN (IQNA)-Tafrani iliibuka Ijumaa katika kitongoji kimoja cha mji mkuu wa Ufaransa Paris, baada ya baadhi ya wakazi wa mji kujaribu kuwazuia Waislamu kuswali Sala ya Ijumaa.
Habari ID: 3471258    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/11/11

TEHRAN (IQNA)- Waislamu 8 wamejeruhiwa baada ya kufyatuliwa risasi na magaidi mbele ya mlango wa msikiti kusini mwa Ufaransa.
Habari ID: 3471050    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/07/04

Msikiti wa Jamia Paris
TEHRAN (IQNA)-Msikiti wa Jamia wa mjini Paris umekaribisha ushindi wa Emmanuel Macron kama rais wa Ufaransa.
Habari ID: 3470972    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/05/08

Duka moja la bidhaa halali nchini Ufaransa limeonywa kuwa iwapo haliafiki kuuza pombe na nyama ya nguruwe basi litapokonywa leseni na kufungwa.
Habari ID: 3470507    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/08/08

Habari ID: 3470460    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/07/18

Watu wasiopungua 84 wameripotiwa kuuawa katika hujuma ya kigaidi katika mji wa Nice kaskazini mwa Ufaransa.
Habari ID: 3470455    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/07/15

Vitendo vya chuki na utumiaji mabavu dhidi ya Waislamu nchini Ufaransa vinaripotiwa kuongezeka siku baada ya siku hasa baada ya mashambulio ya kigaidi ya hivi karibuni katika mji mkuu wa nchi hiyo Paris.
Habari ID: 3455375    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/11/22

Ofisi ya Mwendesha Mashtaka nchini Ufaransa imethibitisha kuwa gaidi aliyepanga na kuratibu mashambulizi ya kigaidi ya Paris ameuawa.
Habari ID: 3454889    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/11/21

Rais Rouhani
Marais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Ufaransa wametangaza utayarifu wa nchi hizo mbili kwa ajili ya kushirikiana katika masuala ya usalama na habari za kipelelezi katika fremu ya mapambano dhidi ya ugaidi.
Habari ID: 3454175    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/11/18

Kiongozi mmoja anayejihusisha na harakati za kusimamia haki za Waislamu na wahajiri waishio katika viunga vya jiji la Paris, Ufaransa ameonya juu ya kushadidi wimbi kubwa la chuki dhidi ya Waislamu kutokana na mashambulizi ya kigaidi nchini humo.
Habari ID: 3451758    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/11/15

Watu wasiopungua 160 wameuawa katika mji mkuu wa Ufaransa, Paris Ijumaa usiku katika mashambulizi yanayosadikiwa kuwa makubwa zaidi nchini humo tangu baada ya Vita vya Pili vya Dunia.
Habari ID: 3448027    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/11/14

Idadi ya misikiti duniani inakadiriwa kuongezeka na kufika takribani milioni nne ifikapo mwaka 2019.
Habari ID: 3336897    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/07/29