iqna

IQNA

ufaransa
Chuki dhidi ya Uislamu Ufaransa
TEHRAN (IQNA) - Serikali ya Ufaransa imefunga makumi ya misikiti katika kipindi cha miaka miwili hivi kwa kisingizio cha sheria yenye utata na iliyokosolewa sana.
Habari ID: 3475877    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/04

Chuki dhidi ya Uislamu
TEHRAN (IQNA) – Mashirika ya kiraia ya Kiislamu yameshutumu nchi za Ulaya kwa kukandamiza jamii za Kiislamu, na hivyo kuzusha hali ya wasiwasi kuhusu kuongezeka kwa wimbi la chuki dhidi ya Uislamu inayofadhiliwa na serikali barani Ulaya.
Habari ID: 3475859    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/30

Waislamu Ufaransa
TEHRAN (IQNA) - Serikali ya Ufaransa inapanga kufunga msikiti mwingine, ikimtuhumu imamu wa masikiti husika kuwa na itikadi kali.
Habari ID: 3475853    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/29

Chuki dhidi ya Uislamu Ufaransa
TEHRAN (IQNA)- Mwenendo wa chuki dhidi ya Uislamu na vitendo vya utumiaji mabavu dhidi ya Waislamu katika mataifa ya Ulaya hususan Ufaransa ungali unaendelea huku kukiwa na mpango wa kuwatimua Maimamu na viongozi wengine wa jamii ya Waislamu katika nchi hiyo.
Habari ID: 3475748    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/07

Chuki dhidi ya Uislamu Ufaransa
TEHRAN (IQNA)- Maimamu 15 wa msikiti huko nchini Ufaransa watafukuzwa nchini humo kwa tuhuma za kujihusisha na vitendo vya uchochezi.
Habari ID: 3475716    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/01

Sala ya mvua
TEHRAN (IQNA) - Waislamu wa Ufaransa wameombea mvua wakati nchi hiyo, pamoja na mataifa mengine ya Ulaya, yakikumbwa na kile kilichotajwa kuwa ukame mbaya zaidi kuwahi kutokea katika kipindi cha miaka 500.
Habari ID: 3475625    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/08/15

Waislamu Ufaransa
TEHRAN (IQNA) – Ufaransa ilimbagua mwanamke Mwislamu ambaye alizuiwa kuhudhuria mafunzo ya ufundi stadi katika shule ya umma akiwa amevalia hijabu yake, kamati ya Umoja wa Mataifa iliamua.
Habari ID: 3475578    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/08/04

Chuki dhidi ya Waislamu
TEHRAN (IQNA)-Mtu asiyejulikana ametekteza moto msikiti katika mji wa Rennes magharibi mwa Ufaransa na tayari mamlaka imeanzisha uchunguzi kuhusu jinai hiyo.
Habari ID: 3475384    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/16

Chuki dhidi ya Uislamu
TEHRAN (IQNA) –Umoja wa Ulaya umetuhumiwa kuwa unapuuza chuki dhidi ya Waislamu.
Habari ID: 3475378    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/15

Chuki dhidi ya Uislamu
TEHRAN (IQNA) - Mgahawa huko Ufaransa haukumruhusu mwanamke Muislamu aliyevaa Hijabu kwa sababu ya vazi lake hilo la Kiislamu.
Habari ID: 3475331    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/03

TEHRAN (IQNA)- Ufaransa imemtimua kutoka nchi hiyo mhubiri mmoja wa Kiislamu Mkomoro na familia yake baada ya kusikika akisoma aya za Qur'ani Tukufu na Hadithi za Mtume SAW zinazowahimiza wanawake Waislamu wajisitiri, wakae nyumbani na wawatii waume zao.
Habari ID: 3475241    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/12

TEHRAN (IQNA)- Msitiki umehujumiwa katika mji wa Metz, kaskazini mashariki mwa Ufaransa siku moja kabla ya Emmanuel Macron kuapishwa kuendelea kuwa rais wa Ufaransa.
Habari ID: 3475217    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/07

TEHRAN (IQNA)- Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa ameonya kuwa mpango wa hasimu wake katika uchaguzi wa rais, Marine Le Pen wa kupiga marufuku hijabu katika maeneo ya umma unaweza kuibua vita ndani nchini humo.
Habari ID: 3475150    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/04/21

TEHRAN (IQNA)- Katika ripoti yake ya kila mwaka kuhusu hali ya haki za binadamu duniani, shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International lilikosoa rekodi ya haki za Ufaransa, hususan sera yake kuhusu Waisamu na wakimbizi.
Habari ID: 3475088    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/03/30

TEHRAN (IQNA) – Serikali ya Ufaransa imeshutumiwa kwa kuwalenga Waislamu kwa njia iliyoratibiwa.
Habari ID: 3475001    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/03/03

TEHRAN (IQNA)- Shirikisho la Soka la Algeria limelaani shambulizi la kibaguzi la hivi majuzi dhidi ya mwanasoka Muislamu raia wa Algeria nchini Ufaransa.
Habari ID: 3474967    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/02/23

Rais wa Iran katika mazungumzo na Rais wa Ufaransa
TEHRAN (IQNA)- Rais Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema mapatano yoyote yatakayofikiwa kwenye mazungumzo ya Vienna yenye lengo la kuhuisha makubaliano ya nyuklia ya JCPOA lazima yajumuishe suala la kuondolewa vikwazo taifa la Iran, sanjari na kupasishwa kwa kipengee kuhusu dhamana yenye itibari, na vile vile kujizuia na masuala ya kisiasa na kuibua tuhuma zisizo na msingi.
Habari ID: 3474953    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/02/20

TEHRAN (IQNA)- Wanafunzi wenye majina ya Kiislamu Ufaransa wanabaguliwa wakati wanapowasilisha maombi ya kujiunga na vyuo vikuu nchini humo.
Habari ID: 3474943    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/02/18

TEHRAN (IQNA)- Baraza la Seneti la Ufaransa limepiga kura na kuidhnisha sheria inayopiga marufuku wanawake Waislamu kuvaa vazi la stara na heshima la Hijabu katika mashindano ya michezo.
Habari ID: 3474830    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/20

TEHRAN (IQNA)- Mkuu wa Jumuiya ya Tanzim Islami (TI) ya Pakistan amelaani vikali hatua ya Ufaransa kufunga msikiti katika mji wa Cannes nchini humo.
Habari ID: 3474809    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/15