iqna

IQNA

ufaransa
TEHRAN (IQNA)- Ufaransa imeendeleza ukandamizaji wake wa Waislamu kwa kutangaza kufunga msikiti mmoja katika mji wa Cannes.
Habari ID: 3474802    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/13

TEHRAN (IQNA)-Serikali ya Ufaransa imevunja Baraza la Fiqhi la Waislamu wa Ufaransa (CFCM) ikiwa ni muendelezo wa sera zake za kuwakandamiza Waislamu.
Habari ID: 3474793    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/11

TEHRAN (IQNA)- Ripoti mpya inaonyesha kuwa kumekuwepo na ongezeko kubwa la chuki dhidi ya Uislamu au Islamophobia barani Ulaya.
Habari ID: 3474746    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/31

TEHRAN (IQNA)-Ufaransa imeendeleza sera zake dhidi ya Uislamu na Waislamu kwa kuanzisha mpango wa kufunga msikiti mmoja katika mji wa Beauvais kwa muda wa miezi sita kutokana na kile kilichodaiwa ni hotuba zenye misimamo mikali msikitini hapo.
Habari ID: 3474678    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/15

TEHRAN (IQNA)- Makaburi ya Waislamu katika mji wa Mulhouse, mashariki mwa Ufaransa yamehujumiwa na watu wasiojulikana Jumapili jioni.
Habari ID: 3474673    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/14

TEHRAN (IQNA) – Sera rasmi ya serikali ya Ufaransa ya kubana uhuru wa Waislamu sasa imefika kiasi ambacho hakiwezi kustahamiliwa tena.
Habari ID: 3474655    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/08

Rais wa Iran katika mazungumzo ya simu na Rais wa Ufaransa
TEHRAN (IQNA)- Rais Ibrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amemfahamisha Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa kuwa, Iran inataka kuona natija katika mazungumzo ya nyuklia yanayoendelea sasa Vienna Austria na kwamba lazima mazungumzo hayo yahitimishwe kwa Iran kuondolewa vikwazo.
Habari ID: 3474622    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/30

TEHRAN (IQNA)- Misikiti mitatu Ufaransa imehujumiwa na watu wenye chuki dhidi ya Uislamu Jumapili katika miji ya Montlebon, Pontarlier, na Roubaix.
Habari ID: 3474527    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/08

TEHRAN (IQNA)- Serikali ya Ufaransa inapinga kampeni ya uhuru wa kuvaa Hijabu katika nchi za Umoja wa Ulaya jambo ambalo limepelekea video na picha za kampeni hiyo kufutwa katika mtandao wa Twitter.
Habari ID: 3474514    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/04

TEHRAN (IQNA) – Wizara ya Mambo ya Ndani ya Ufaransa imetangaza mpango wa kufunga misikiti kadhaa na pia kufuta vibali vya jumuiya kadhaa za Kiislamu kwa kisingzio cha kuzuia kuenea misimamo mikali.
Habari ID: 3474484    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/28

TEHRAN (IQNA)-Kituo cha Kiislamu nchini Ufaransa kimeandaa mashindano kuhusu mafundisho ya Qur’ani Tukufu.
Habari ID: 3473821    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/04/16

TEHRAN (IQNA)- Katika mfululizo wa hujuma na mashambulizi yanayolenga matukufu ya Waislamu na maeneo yao ya ibada nchini Ufaransa, watu wasiojulikana wameuvunjia heshima msikiti wa Waislamu katika mji wa Reims.
Habari ID: 3473805    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/04/12

TEHRAN (IQNA)- Msikiti katika mji mkuu wa Ufaransa, Paris, ambao ulikuwa umefungwa kama sehemu ya ukandamizaji wa Waislamu baada ya kuuawa mwalimu aliionyesha katuni zilizomvunjia heshima Mtume Muhammad SAW, umefunguliwa tena baada ya kufungwa kwa muda wa miezi sita.
Habari ID: 3473798    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/04/10

TEHRAN (IQNA) - Jumuiya ya Kimataifa ya Wanazuoni wa Kiislamu imelaani wito wa serikali ya Ufaransa iliyowataka maimamu wa misikiti nchini humo kubariki na kuhalalisha ndoa baina ya mashoga na watu wenye jinsia moja, ikisisitiza kuwa wito huo unaonyesha msimamo wa kindumakuwili dhidi ya Uislamu.
Habari ID: 3473765    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/03/28

TEHRAN (IQNA) – Waislamu nchini Ufaransa wamelalamikia hatua ya wakuu wan chi hiyo kupiga marufuku uchinjaji wa kuku kwa misingi ya Kiislamu huku mwezi Mtukufu wa Ramadhani ukikaribia.
Habari ID: 3473749    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/03/20

TEHRAN (IQNA)- Taasisi za Kiislamu nchini Marekani zimelaani vikali hujuma dhidi ya msikiti unaojengwa mjini Strasbourg.
Habari ID: 3473682    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/02/25

TEHRAN (IQNA)- Bunge la Ufaransa jana Jumanne limeidhinisha sheria iliyo dhidi ya Uislamu na Waislamu nchini humo.
Habari ID: 3473658    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/02/17

TEHRAN (IQNA)- Mwenedo wa chuki dhidi ya Uislamu barani Ulaya hususan nchini Ufaransa ungali unaendelea ambapo Waislamu wa nchi hiyo wamekuwa wakikabiliwa na mashinikizo makubwa.
Habari ID: 3473652    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/02/15

TEHRAN (IQNA) - Sera za chuki dhidi ya Uislamu na Waislamu Ufaransa zimechukua mwelekeo mpya baada ya serikali kuanza kufunga maduka ya Waislamu kwa visingizio mbali mbali vya 'kisheria'.
Habari ID: 3473619    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/02/04

TEHRAN (IQNA)- Kiongozi maarufu wa upinzani wa mrengo wa kulia wenye kufurutu ada nchini Ufaransa, Marine Le Pen amependekeza kuwa vazi la Kiislamu la Hijabu lipigwe marufuku kabisa katika maeneo yote ya umma nchini humo.
Habari ID: 3473604    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/01/30