iqna

IQNA

Ayatullah Hashemi Rafsanjani, Mkuu wa Halmashauri ya Kuainisha Maslahi ya Mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amemwandikia barua Mfalme Abdullah bin Abdulaziz wa Saudi Arabia ya kumtaka azuie kutekelezwa hukumu ya adhabu ya kifo iliyotolewa dhidi ya mwanazuoni wa Kishia wa nchi hiyo Sheikh Nimr Baqir an-Nimr.
Habari ID: 1463760    Tarehe ya kuchapishwa : 2014/10/26

Imam Khamenei
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa ushindi wa Ghaza wa mapambano katika vita vya siku 50 na matamshi ya kushindwa utawala wa Kizayuni mbele ya raia waliozingirwa ni ushindi mkubwa na dhihirisho la ahadi na msaada wa Mwenyezi Mungu na ni bishara ya kufikia ushindi mkubwa zaidi.
Habari ID: 1460936    Tarehe ya kuchapishwa : 2014/10/17

Katibu Mkuu wa Harakati ya Jihad Isalmi ya Palestina
Ramadhan Abdullah Katibu Mkuu wa Harakati ya Jihad Islami ya Palestina amesema utawala wa Kizayuni wa Israel ulipata pigo la kistratijia hivi akribuni katika vita vyake vya siku 51 dhidi ya Wapalestina katika Ukanda wa Ghaza.
Habari ID: 1448553    Tarehe ya kuchapishwa : 2014/09/09