iqna

IQNA

sinai
TEHRAN (IQNA)- Jeshi la Misri lilisema Jumapili limewaua watu 89 wanaoshukiwa kuwa waasi katika operesheni Kaskazini mwa Sinai, mkoa ambao kundi la kigaidi linalofungamana na kundi la kigaidi la Daesh limekuwa likitekeleza hujuma.
Habari ID: 3474147    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/08/01

TEHRAN (IQNA) - Jeshi la Misri limesema askari wake 15 wameuawa katika mapigano makali na magaidi ambapo magaidi 126 wakufurishaji pia wameuawa mashariki mwa nchi.
Habari ID: 3472728    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/05/03

Jeshi la Misri limeushambulia kwa misingi msikiti mmoja katika Rasi ya Sinai, na kuharibu sehemu za msikiti huo.
Habari ID: 3470471    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/07/24

Makamu wa zamani wa rais wa Misri Mohammad El Baradei Ijumaa ametuma aya ya Qur’ani kupitia mtandao wa kijamii wa twitter kujibu hujuma za kigaidi zilizotekelezwa na wanamgambo katika eneo la Sinai nchini Misri ambapo watu 30 waliuawa.
Habari ID: 2790529    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/01/31