iqna

IQNA

Sheikh Mkuu wa al Azhar nchini Misri Ahmad al Tayyib ametoa taarifa akilaani kitendo cha kundi la kigaidi la Daesh cha kumchoma moto akiwa hai rubani Moaz al-Kassasbeh wa Jordan. Amekitaja kitendo hicho kuwa ni cha kigaidi na kishetani.
Habari ID: 2809497    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/02/04