IQNA: Magaidi wakufurishaji wa kundi la ISIS (Daesh) wamebomoa misikiti 104 katika mji wa Mosul nchini Iraq katika mapambano yanayoendelea sasa katika eneo hilo.
Habari ID: 3470730 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/12/10
IQNA-Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Iran amelaani hujuma za kigaidi iliyopelekea watu wasiopungua 24 kuuawa katika miji ya Samarra na Tikrit nchini Iraq siku ya Jumapili.
Habari ID: 3470660 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/11/07
Waziri wa Masuala ya Dini Tunisia amefutwa kazi, baada ya kusema kuwa, idiolojia ya Uwahhabi ambayo inatawala Saudi Arabia ndiyo chanzo cha ugaidi duniani.
Habari ID: 3470652 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/11/05
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema nchi zenye misimamo huru zinapaswa kuimarisha uhusiano baina yao na kutoathiriwa na siasa za madola ya kibeberu na Kiistikbari ili kuweza kuzima moto wa hitilafu na mapigano uliowashwa na madola hayo.
Habari ID: 3470635 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/10/25
Magaidi wa ISIS Alhamisi walishambulia ziara la mjukuu wa Mtume Muhammad SAW katika mji wa Balad ulioko umbali wa kilomita 80 kutoka Baghdad na kuua watu wasiopungua 40.
Habari ID: 3470441 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/07/08
Utawala wa Kizayuni wa Israel hadi sasa umetoa matibabu kwa magaidi wa kitakfiri zaidi ya 2,100 wanaopigana ndani ya Syria kuiangusha serikali halali ya nchi hiyo.
Habari ID: 3470224 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/04/01
Mwanazuoni wa Kisunni Uingereza
Mwanazuoni wa Kisunni nchini Uingereza amesema kundi la kigaidi la ISIS au Daesh halitafautishi baina ya Shia na Sunni katika kutekeleza jinai dhidi ya Waislamu.
Habari ID: 3470196 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/03/14