TEHRAN (IQNA)- Baadhi ya manispaa nchini Uholanzi zinafanya upekuzi na upelelezi wa siri kinyume cha sheria katika misikiti na taasisi za Kiislamu kupitia mashirika binafsi ya upelelezi.
Habari ID: 3474434 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/17
TEHRAN (IQNA)- Wizara ya Wakfu na Masuala ya Kiislamu nchini Qatar imefuta kanuni ya kutokaribiana na kutogusana (social distancing) misikiti ni wakati wa Sala sambamba na kufungua tena maeneo ya kutawadha.
Habari ID: 3474390 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/06
TEHRAN (IQNA)- Waislamu nchini Oman wamepongeza hatua ya serikali kuruhusu tena Sala ya Ijumaa misikiti ni baada ya kufungwa kwa muda wa miezi 18 kutokana na janga la COVID-19.
Habari ID: 3474346 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/09/26
TEHRAN (IQNA) - Polisi wanachunguza shambulio la kuchoma moto msikiti huko Greater Manchester, Uingereza.
Habari ID: 3474286 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/09/12
TEHRAN (IQNA)- Misikiti imefunguliwa tena Lebanon baada ya kufungwa kwa muda mrefu kutokana na janga la COVID-19 au corona.
Habari ID: 3474003 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/06/13
TEHRAN (IQNA)- Idadi ya misikiti Marekani inaendelea kuongezeka ambapo mwaka 2020 kulikuwa na jumla ya misikiti 2,769 nchini humo.
Habari ID: 3473981 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/06/05
TEHRAN (IQNA) - Waziri wa Masuala ya Kiislamu katika Ufalme wa Saudi Arabia ametetea amri yenye utata aliyoitoa ya kupunguza sauti katika adhana misikiti ni.
Habari ID: 3473969 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/06/01
TEHRAN (IQNA)- Misikiti saba imefungwa kwa muda katika mji mkuu wa Saudia, Riyadh baada ya waumini saba kuambukizwa Corona au COVID-9.
Habari ID: 3473669 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/02/21
TEHRAN (IQNA) – Misikiti mingine 8 imefungwa kwa muda maeneo mbali mbali ya Saudia kufuatia ongezeko la maambukizi ya COVID-19 nchini humo.
Habari ID: 3473649 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/02/14
TEHRAN (IQNA) – Wizara ya Wakfu ya na Masuala ya Kidini Algeria imesema misikiti nchini humo ambayo ilifungwa kutokana na janga la COVID-19 sasa imeanza kutayarishwa kwa ajili ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3473627 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/02/06
TEHRAN (IQNA)- Waislamu nchini Singapore wamehakikishiwa usalama wao baada ya kubainika kuwepo njama ya kushambulia misikiti nchini humo.
Habari ID: 3473606 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/01/30
TEHRAN (IQNA) – Waziri Mkuu wa New Zealand Jacinda Ardern ameahidi uwajibikaji wa serikali yake kuhusu ripoti ya hujuma dhidi msikiti mjini Christchurch.
Habari ID: 3473428 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/12/06
TEHRAN (IQNA)- Serikali ya Ufaransa imetangaza mpango mkubwa na ambao haujawahi kushuhudiwa wa kufanya upekuzi katika misikiti ya nchini humo.
Habari ID: 3473419 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/12/03
TEHRAN (IQNA)- Msikiti katika mji wa Zaandam kaskazini magharibi mwa Indonesia umehujumiwa katika jinai ambayo imetajwa kuwa ya wenye chuki dhidi ya Uislamu.
Habari ID: 3473350 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/11/11
TEHRAN (IQNA) – Waziri wa Mambo ya Ndani nchini Ufaransa Gerarld Darmanin ameamuru polisi kulinda misikiti katika miji ya Bordeaux na Bexiers kusini magharibi mwa nchi hiyo.
Habari ID: 3473284 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/10/22
Misikiti katika eneo la Ukanda wa Ghaza katika ardhi za Palestina imesafishwa kwa dawa za kuua virusi kabla ya kufunguliwa baada ya kufungwa kwa miezi miwili ili kuzuia kuenea kirusi cha corona.
Habari ID: 3473283 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/10/22
TEHRAN (IQNA) – Misikiti imefunguliwa tena katika mji mkuu wa Libya, Tripoli baada ya kufungwa kwa muda wa miezi saba ili kuzuia kuenea ugonjwa wa COVID-19 au corona.
Habari ID: 3473248 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/10/10
TEHRAN (IQNA) – Waziri wa Wakfu nchini Misri Sheikh Mukhtar Gomaa, ameamuru kuazishwe kampeni ya kitaifa ya kutayarisha misikiti kote nchini kwa ajili ya Swala ya Ijumaa wiki hii.
Habari ID: 3473094 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/08/23
TEHRAN (IQNA) – Misikiti imefunguliwa tena nchini Algeria baada ya kufungwa kwa muda wa miezi mitano.
Habari ID: 3473074 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/08/16
TEHRAN (IQNA) – Wizara ya Wakfu ya Algeria imesema misikiti 4,000 nchini humo iko tayari kufunguliwa baada ya kutimiza masharti yanayotakiwa katika kipindi hiki cha janga la COVID-19 au corona.
Habari ID: 3473053 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/08/10