misikiti - Ukurasa 4

IQNA

TEHRAN (IQNA) – Wizara ya Wakfu ya na Masuala ya Kidini Algeria imesema misikiti nchini humo ambayo ilifungwa kutokana na janga la COVID-19 sasa imeanza kutayarishwa kwa ajili ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3473627    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/02/06

TEHRAN (IQNA)- Waislamu nchini Singapore wamehakikishiwa usalama wao baada ya kubainika kuwepo njama ya kushambulia misikiti nchini humo.
Habari ID: 3473606    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/01/30

TEHRAN (IQNA) – Waziri Mkuu wa New Zealand Jacinda Ardern ameahidi uwajibikaji wa serikali yake kuhusu ripoti ya hujuma dhidi msikiti mjini Christchurch.
Habari ID: 3473428    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/12/06

TEHRAN (IQNA)- Serikali ya Ufaransa imetangaza mpango mkubwa na ambao haujawahi kushuhudiwa wa kufanya upekuzi katika misikiti ya nchini humo.
Habari ID: 3473419    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/12/03

TEHRAN (IQNA)- Msikiti katika mji wa Zaandam kaskazini magharibi mwa Indonesia umehujumiwa katika jinai ambayo imetajwa kuwa ya wenye chuki dhidi ya Uislamu.
Habari ID: 3473350    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/11/11

TEHRAN (IQNA) – Waziri wa Mambo ya Ndani nchini Ufaransa Gerarld Darmanin ameamuru polisi kulinda misikiti katika miji ya Bordeaux na Bexiers kusini magharibi mwa nchi hiyo.
Habari ID: 3473284    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/10/22

Misikiti katika eneo la Ukanda wa Ghaza katika ardhi za Palestina imesafishwa kwa dawa za kuua virusi kabla ya kufunguliwa baada ya kufungwa kwa miezi miwili ili kuzuia kuenea kirusi cha corona.
Habari ID: 3473283    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/10/22

TEHRAN (IQNA) – Misikiti imefunguliwa tena katika mji mkuu wa Libya, Tripoli baada ya kufungwa kwa muda wa miezi saba ili kuzuia kuenea ugonjwa wa COVID-19 au corona.
Habari ID: 3473248    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/10/10

TEHRAN (IQNA) – Waziri wa Wakfu nchini Misri Sheikh Mukhtar Gomaa, ameamuru kuazishwe kampeni ya kitaifa ya kutayarisha misikiti kote nchini kwa ajili ya Swala ya Ijumaa wiki hii.
Habari ID: 3473094    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/08/23

TEHRAN (IQNA) – Misikiti imefunguliwa tena nchini Algeria baada ya kufungwa kwa muda wa miezi mitano.
Habari ID: 3473074    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/08/16

TEHRAN (IQNA) – Wizara ya Wakfu ya Algeria imesema misikiti 4,000 nchini humo iko tayari kufunguliwa baada ya kutimiza masharti yanayotakiwa katika kipindi hiki cha janga la COVID-19 au corona.
Habari ID: 3473053    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/08/10

TEHRAN (IQNA) – Misikiti itafunguliwa tena katika mji mkubwa zaidi wa Nigeria, Lagos kuanzia Ijumaa Agosti saba lakini kwa masharti.
Habari ID: 3473029    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/08/03

TEHRAN (IQNA)- Misikiti katika Umoja wa Falme za Kiarbau (UAE) itaruhusiwa kuwa na asilimia 50 ya idadi ya wanaoweza kuswali ndani yake kuanzia Agosti 3.
Habari ID: 3473025    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/08/02

TEHRAN (IQNA) - Kila msikiti katika Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) utaruhusiwa kuwa na asilimia 50 ya waumini wanaoweza kuswali ndani yake kuanzia Jumatatu Agosti 3.
Habari ID: 3472993    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/07/24

TEHRAN (IQNA) – Misikiti itaanza kufunguliwa tena nchini Morocco kuanzia Julai 15 baada ya kufungwa kwa miezi kadhaa ili kuzuia kuenea kwa kasi ugonjwa wa COVID-19 au corona.
Habari ID: 3472945    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/07/09

TEHRAN (IQNA) – Serikali ya Kenya imetangaza kuwa maeneo ya ibada yatafunguliwa tena nchini humo lakini kwa sharti la kuzingatia kanuni na sheria maalumu za kuzuia kuenea ugonjwa wa COVID-19 au corona.
Habari ID: 3472938    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/07/07

TEHRAN (IQNA)- Waziri Mkuu wa Algeria amekataa kuafiki mapendekezo ya kufungua misikiti nchini humo kutokana na hofu ya kuenea ugonjwa wa COVID-19 au corona nchini humo.
Habari ID: 3472918    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/07/01

TEHRAN (IQNA) –Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) umetangaza kufungua misikiti kuanzia Julai Mosi baada ya kufungwa miezi mitatu ili kuzuia kuenea ugonjwa wa COVID-19 au corona.
Habari ID: 3472915    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/06/30

TEHRAN (IQNA) – Rais Ibrahim Mohamad Solih wa Malidivi misikiti itafunguliwa tena kuanzia Julai Mosi kwa ajili ya Swala za jamaa katika mji mkuu wa nchi hiyo, Male.
Habari ID: 3472913    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/06/30

TEHRAN (IQNA) – Waziri wa Wakfu nchini Misri Sheikh Mohammad Mokhtar Gomaa ameahidi kuwa serikali inatafakari kuhusu kuruhusu tena swala ya Ijumaa nchini humo ambayo imeendelea kupigwa marufuku hata baada ya misikiti kufunguliwa tena wiki hii.
Habari ID: 3472908    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/06/28