Misikiti Marekani imetakiwa kuwa katika hali ya tahadhari na kuimarishwa usalama kutokana na ghasia zinazotazamiwa kuibuliwa Oktoba 10 na makundi ya watu wenye misimamo mikali ya chuki dhidi ya Uislamu ambao wataandamana siku hiyo.
Habari ID: 3382994 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/10/07
Gazeti moja la Uingereza hivi karibuni limechapisha orodha ya misikiti 25 bora duniani kwa mtazamo wa usanifu majengo.
Habari ID: 3338961 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/08/04
Idadi ya misikiti duniani inakadiriwa kuongezeka na kufika takribani milioni nne ifikapo mwaka 2019.
Habari ID: 3336897 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/07/29
Serikali ya Tunisia imeamua kufunga misikiti 80 inayoendeshwa nje ya udhibiti wake, siku moja baada ya kutokea shambulio la kigaidi na kupelekea makumi ya watu kuuawa katika nchi hiyo ya kaskazini mwa Afrika.
Habari ID: 3320222 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/06/28
Muungano wa Vijana wa Sudan wamezindua 'Mpango wa Rehema' chini ya anwani ya: "Ramadhani Inatuleta Pamoja".
Habari ID: 3318508 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/06/25
Kiongozi wa ngazi ya juu wa Kiislamu nchini Ufaransa amesema kuwa misikiti 2200 nchini humo haiwatoshelezi mamilioni ya Waislamu wa Ufaransa na kutaka kuongezwa mara mbili idadi ya misikiti iliyopo katika muda wa miaka miwili.
Habari ID: 3099046 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/04/06
Ripoti zinasema kuwa karibu miskiti yote 436 katika Jamhuri ya Afrika ya Kati imebomolewa kutokana na machafuko ya kidini.
Habari ID: 3008622 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/03/18
Serikali ya Uturuki imetangaza kuanza mpango wa ujenzi wa misikiti katika vyuo vikuu vyote vya umma nchini humo.
Habari ID: 1475780 Tarehe ya kuchapishwa : 2014/11/22
Kiongozi mwandamizi wa Baraza la Uhusiano wa Kiislamu nchini Marekani (CAIR) ameitaka Polisi ya Marekani FBI kuacha kufanya ujasusi ndani ya Misikiti nchini humo.
Habari ID: 1473495 Tarehe ya kuchapishwa : 2014/11/15
Utawala wa Kizayuni wa Israel haujatosheka kwa kuwaua kwa umati wanawake na watoto wa Ghaza bali pia umeharibu kwa mabomu idadi kubwa ya misikiti na mahospitali katika ardhi hiyo ya Wapalestina.
Habari ID: 1435255 Tarehe ya kuchapishwa : 2014/08/03
Katika hali ambayo utawala wa kifalme wa Bahrain hadi sasa umeshavunja misikiti 38 nchini humo kwa visingizio tofauti, Mfalme wa Bahrain amemzawadia Papa Francis wa Kanisa Katoliki, ramani ya kanisa kubwa linalotarajiwa kujengwa nchini humo.
Habari ID: 1426057 Tarehe ya kuchapishwa : 2014/07/05