TEHRAN (IQNA)- Aidhana ilisikika kupitia vipaza sauti siku ya Ijumaa katika zaidi ya misikiti 100 ya Ujerumani na Uholanzi ikiwa ni hatua iliyotajwa ni ya mshikamano katika vita dhidi ya ugonjwa wa corona.
Habari ID: 3472633 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/04/04
TEHRAN (IQNA) – Idara ya Masuala ya Misikiti katika Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imesema sala za jamaa zimesitishw kwa muda katika misikiti kote nchini ikiwa ni katika jitihada za kukabiliana na ugonjwa wa COVID-19 maarufu kama kirusi cha corona.
Habari ID: 3472581 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/03/19
TEHRAN (IQNA) – Misikiti kadhaa muhimu katika mji mkuu wa Kenya, Nairobi imefungwa kutokana na hofu ya kuenea ugonjwa wa COVID-19 maarufu kama kirusi cha corona.
Habari ID: 3472580 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/03/19
TEHRAN (IQNA) – Baadhi ya misikiti katika mji wa Cape Town Afrika Kusini imetangaza kufunga milango yake kwa muda ili kuzuia kuenea ugonjwa wa COVID-19 au corona.
Habari ID: 3472579 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/03/18
TEHRAN (IQNA) – Serikali ya Misri inatekeleza mpango wa majaribio wa adhana ya pamoja katika misikiti 113 nchini Cairo ili kuzuia sauti mbali mbali katika vipaza sauti vya misikiti wakati wa adhana.
Habari ID: 3471858 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/03/02
TEHRAN (IQNA)- Misitiki yote nchini China imetakiwa kupeperusha bendera ya taifa hilo katika maeeneo ya juu na muhimu ya msikiti, Jumuiya ya Kiislamu China imetangaza.
Habari ID: 3471527 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/05/22
TEHRAN (IQNA)-Misikiti kadhaa nchini Uingereza imefungua milango kwa watu wasio na makao nchini humo bila kujali dini yao kufuatia baridi kali na theluji iliyovunja rekodi nchini humo na kupelekea watu zaidi ya 11 kupoteza maisha katika kipindi cha wiki moja.
Habari ID: 3471414 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/03/03
TEHRAN (IQNA)-Idara ya Waqfu wa Ahul Sunna katika mkoa wa Diyala nchini Iraq imesema misikiti 109 imefunguliwa tena baada ya kufunguwa kwa miaka mitatu kutokana na hujuma ya magaidi wa ISIS au Daesh katika eneo hilo.
Habari ID: 3471402 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/02/24
TEHRAN (IQNA)-Waliowengi nchini Uingereza wana ufahamu mdogo sana kuhusu Uislamu na kwa msingi huo, zaidi ya misikiti 200 nchini humo itafungua milango yake kwa wasiokuwa Waislamu mnamo Februari 18.
Habari ID: 3471391 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/02/14
TEHRAN (IQNA)-Mashirika ya kutetea haki za binadamu yamelaani matamshi ya afisa wa ngazi za juu wa Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) ambaye amezitaka nchi za Ulaya ziwe na udhibiti katika misikiti ili kuzuia hujuma za “kigaidi”.
Habari ID: 3471267 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/11/17
TEHRAN (IQNA)- Misikiti kadhaa imefungwa Saudia Arabia baada ya ukoo wa kifalme kuingiwa na kiwewe kuhusu uwezekano wa kuibuka maandamano ya raia kupinga mienendo ya utawala huo.
Habari ID: 3471175 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/09/15
IQNA: Kufuata hofu za hujuma za wenye chuki dhidi ya Uislamu, misikiti minne mikubwa nchini Uholanzi itafungwa wakati wa sala baada ya Waislamu sita kuuawa Canada walipokuwa wakiswali msikitini.
Habari ID: 3470828 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/02/01
IQNA: Serikali ya Afrika Kusini imesema chuki dhidi ya Uislamu ndio chanzo cha hujumza mbili dhidi ya misikiti mjini Cape Town.
Habari ID: 3470793 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/01/14
IQNA: Magaidi wakufurishaji wa kundi la ISIS (Daesh) wamebomoa misikiti 104 katika mji wa Mosul nchini Iraq katika mapambano yanayoendelea sasa katika eneo hilo.
Habari ID: 3470730 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/12/10
IQNA-Zaidi ya zaidi ya vituo vya Kiislamu na misikiti 100 imehujumiwa nchini Uingereza katika kipindi cha miaka minne iliyopita.
Habari ID: 3470690 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/11/22
IQNA-Utawala wa Kizayuni wa Israel umepiga marufuku adhana ya Sala ya Alfajiri katika misikiti mitatu iliyo katika mji wa Quds (Jerusalem) inayokaliwa kwa mabavu.
Habari ID: 3470658 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/11/06
Maeneo kadhaa ya Ibada katika mji mkuu wa Kenya, Nairobi yamepakwa rangi ya njano kama njia ya kuleta umoja na kusisitiza nukta za pamoja baina ya wafuasi wa dini mbali mbali.
Habari ID: 3470528 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/08/17
Polisi huko Tokyo nchini Japan wanawafanyia ujasusi Waislamu kwa sababu ya dini yao, tokea mwaka 2008.
Habari ID: 3470498 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/08/06
Mwanazuoni mwandamizi wa Kiislamu nchini Russia amesema misikiti 7,500 mipya imejengwa nchini humo wakati wa kipindi cha urais wa Vladimir Putin.
Habari ID: 3461608 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/12/09
Waziri wa Awqaf nchini Misri ametangaza kuwa misikiti mipya zaidi ya 1000 imejengwa katika nchi hiyo ya kaskazini mwa Afrika katika miaka ya hivi karibuni.
Habari ID: 3447288 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/11/11