iqna

IQNA

Fainali za Mashindano ya Kimataifa ya Qur’ani  ya Iran:
IQNA – Kundi la kwanza la washiriki katika kitengo cha wanawake lilipanda jukwaani Jumamosi asubuhi kuonyesha ujuzi wao wa kusoma Qur’ani Tukufu  katika hatua ya fainali ya Mashindano ya Kimataifa ya Qur’ani  ya 41 ya Iran.
Habari ID: 3480114    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/01/29

IQNA – Mwakilishi wa Iraq katika kitengo cha kuhifadhi Qur’ani Tukufu  kwenye Mashindano ya Kimataifa ya Qur’ani  ya 41 ya Iran amesisitiza umuhimu wa kutekeleza mafundisho ya Kitabu Kitakatifu katika maisha ya kila siku.
Habari ID: 3480113    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/01/29

Chama tawala Australia
Chama cha Labour cha Australia kimemsimamisha Seneta Fatima Payman kushiriki katika mikutano yake ya kundi la Seneti kwa muda usiojulikana baada ya kuunga mkono hoja ya Chama cha Kijani cha kuitambua Palestina kama taifa huru.
Habari ID: 3479056    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/07/03

IQNA - Katibu Mkuu wa Majlisi ya Ulimwengu ya Ahl-ul-Bayt (AS) amesema si Waislamu pekee bali hata wasio Waislamu wanaweza kufaidika na mafundisho ya Tukio la Ghadir.
Habari ID: 3479011    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/06/24

IQNA - Msikiti Mkuu wa Paris umelaani mwenendo unaoongezeka wa mashambulizi ya kisiasa na vyombo vya habari dhidi ya Uislamu nchini Ufaransa.
Habari ID: 3479010    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/06/24

Utalii
IQNA - Idadi ya watalii Waislamu wanaozuru Russia iliongezeka mwaka 2023 kwa asilimia 15 ikilinganishwa na mwaka uliotangulia. Hii ni kulingana na Huduma ya Takwimu nchini humo.
Habari ID: 3478244    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/24

Waziri wa Hija na Umra wa Saudi Arabia amesema nchi hiyo imepokea mahujaji zaidi ya milioni moja, wageni wa Nyumba Tukufu ya Mwenyezi Mungu walioenda kutekeleza ibada ya Hija ya mwaka huu.
Habari ID: 3477163    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/06/19

Zawadi ya Mustafa SAW
Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imeanzisha Zawadi ya Kimataifa ya Mustafa (SAW) ambapo imewatunuku zawadi wanasayansi bora zaidi Waislamu duniani katika hafla iliyofanyika Tehran.
Habari ID: 3469674    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/12/26