Necip Fazıl Karadağ ni raia wa Uturuki ambaye ni mahiri katika kutegeneza tasbihi. Karakana yake ya kutegeneza tasbihi iko katika eneo la Istanbul la Başakşehir ambapo kuna kila aina ya tasbihi za kuvutia ambazo Waislamu huzitumia kumkumbuka Allah SWT.
Habari ID: 3470539 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/08/27