nigeria - Ukurasa 9

IQNA

IQNA-Mashindano ya 31 ya Kitaifa ya Qur'ani nchini Nigeria yameanza Ijumaa katika mji wa Ilorin jimboni Kwara magharibi mwa nchi hiyo ya Afrika Magharibi.
Habari ID: 3470833   Tarehe ya kuchapishwa : 2017/02/04

IQNA- Polisi nchini Nigeria wamewavurumishia mabomu ya kutoa machozi waandamnaji waliokuwa wakimuunga kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya nchi hiyo, Sheikh Ibrahim Zakzaky ambaye anaendelea kuwekwa kizuizini kinyume cha sheria.
Habari ID: 3470815   Tarehe ya kuchapishwa : 2017/01/26

IQNA-Magiadi wakufurishaji wa Boko Harm wamekithirisha kutumia watoto wadogo katika harakati zao za kigaidi ikiwemo kutekeleza mashambulizi ya mabomu.
Habari ID: 3470810   Tarehe ya kuchapishwa : 2017/01/24

IQNA-Shirika la kutetea haki za binadmau la Amanesty International limeitaka serikali ya Nigeria kumuachulia huru kiongozi wa Harakati ya Kiislamu, Sheikh Ibrahim Zakzaky.
Habari ID: 3470799   Tarehe ya kuchapishwa : 2017/01/16

IQNA-Wanachama wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria wameitaka serikali ya nchi hiyo kumuachilia huru kiongozi wa harakati hiyo, Sheikh Ibrahim Zakzaky.
Habari ID: 3470775   Tarehe ya kuchapishwa : 2017/01/02

IQNA-Duru kutoka Nigeria zinadokeza kuwa Sheikh Ibrahim Zakzaky Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria amehamishiwa sehemu isiyojulikana nchini humo.
Habari ID: 3470735   Tarehe ya kuchapishwa : 2016/12/11

IQNA-Serikali ya Nigeria imeiamuriwa na mahakama kumuachilia huru mara moja Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu Sheikh Ibrahim Zakzaky.
Habari ID: 3470709   Tarehe ya kuchapishwa : 2016/12/02

IQNA-Utawala wa kiimla Nigeria umeendeleza ukandamizaji dhidi ya Harakati ya Kiislamu ya nchi hiyo kwa kubomoa vituo kadhaa kadhaa ya harakati hiyo.
Habari ID: 3470686   Tarehe ya kuchapishwa : 2016/11/20

Hatimaye Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) imeitaka serikali ya Nigeria kutoa maelezo kuhusu mauaji yaliyofanywa mwaka jana na jeshi la nchi hiyo dhidi ya Waislamu wa madhehebu ya Shia katika mji wa Zaria.
Habari ID: 3470683   Tarehe ya kuchapishwa : 2016/11/18

Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imelaani mauaji ya Waislamu waliokuwa wakishiriki katika maombolezo ya Arubaini ya Imam Hussein AS kaskazini mwa Nigeria
Habari ID: 3470677   Tarehe ya kuchapishwa : 2016/11/15

Katika msafara ya Arubaini ya Imam Hussein AS
IQNA- Jeshi la Nigeria limeua Waislamu zaidi ya100 wa madhehebu ya Shia kwa kuwapiga risasi kiholela kaskazini mwa nchi hiyo.
Habari ID: 3470676   Tarehe ya kuchapishwa : 2016/11/14

IQNA-Watu wanne wamejeruhiwa baada ya polisi nchini Nigeria kuwashambulia Waislamu wa madhehebu ya Shia waliokuwa wakiandamana Ijumaa ya leo katika mji mkuu Abuja.
Habari ID: 3470651   Tarehe ya kuchapishwa : 2016/11/04

Waislamu wasiopungua 10 wameuawa shahidi Jumatano baada ya jeshi kuwashambulia Waislamu waliokuwa katika maombolezo ya Ashura ya kukumbuka mauaji ya mjukuu wa Mtume Muhammad SAW , Imam Hussein bin Ali AS katika jimbo la Katsina huko kaskazini magharibi mwa Nigeria.
Habari ID: 3470610   Tarehe ya kuchapishwa : 2016/10/13

Katika muendelezo wa ukandamizaji wa Waislamu nchini Nigeria, Harakati ya Kiislamu ya Nigeria inayoongozwa na Sheikh Ibrahim Zakzaky imepigwa marufuku katika jimbo la Kaduna kaskazini mashariki mwa nchi hiyo.
Habari ID: 3470605   Tarehe ya kuchapishwa : 2016/10/08

Mwanazuoni wa Nigeria katika mzungumzo na IQNA:
Pamoja na kuwa serikali ya Nigeria kidhahiri imetangaza Waislamu wa madhehebu ya Shia hawatawekewa vizingit katika maombolezo ya siku 10 za Muharram, imebainika kuwa kuna vizingiti katika Siku ya Ashura.
Habari ID: 3470600   Tarehe ya kuchapishwa : 2016/10/05

Waislamu wa Nigeria kwa mara nyingine tena wameandamana wakimuunga mkono Sheikh Ibrahim Zakzaky, Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria anayeshikiliwa na vyombo vya usalama vya nchi hiyo kwa miezi kadhaa sasa.
Habari ID: 3470577   Tarehe ya kuchapishwa : 2016/09/23

Waislamu nchini Nigeria wameendelea kufanya maandamano katika miji mbalimbali ya nchi hiyo na kuelezea wasiwasi walionao kuhusiana na hali ya kiafya ya Sheikh Ibrahim Zakzaky, Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria.
Habari ID: 3470554   Tarehe ya kuchapishwa : 2016/09/09

Mahakama ya Juu Nigeria imepinga ombi lililotolewa la mawakili wa nchi hiyo la kutaka kuachiliwa huru mara moja Sheikh Zakzaky, kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria.
Habari ID: 3470542   Tarehe ya kuchapishwa : 2016/09/01

Kituo cha Utamduni cha Iran nchini Nigeria kinashirikiana na al-Afrikiy Islamic TV kuandaa mashindano ya Qur’ani katika nchi hiyo ya Afrika Magharibi.
Habari ID: 3470540   Tarehe ya kuchapishwa : 2016/08/29

Shirika la Kutetea Haki za Mashia (SRW)
Hali ya kiafya ya kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria INM, Sheikh Ibrahim Zakzaky inazidi kuwa mbaya, Shirika la Kutetea Haki za Waislamu wa Madhehebu ya Shia, SRW, limesema.
Habari ID: 3470519   Tarehe ya kuchapishwa : 2016/08/13