Turathi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA) – Jumba la Makumbusho la Idara ya Mfawidhi wa Haram Takatifu ya Imam Hussein AS huko Karbala, Iraq imekabidhiwa nakala adimu ya Qur’ani Tukufu iliyopambwa kwa dhahabu na fedha.
Habari ID: 3477028 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/05/21
Maonyesho ya Qur'ani
TEHRAN (IQNA) – Mji mtakatifu wa Karbala nchini Iraq utakuwa mwenyeji wa awamu ya pili ya Maonyesho ya kimataifa ya Qur’ani Tukufu ndani ya wiki chache kuanzia sasa.
Habari ID: 3476364 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/01/06
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amelitaja tukio la kimiujiza la maandamano na matembezi ya Arbaeen (Arubaini) ya Imam Hussein AS kuwa ni ishara ya irada ya Mwenyezi Mungu ya kunyanyua juu bendera ya Uislamu ya Ahlul Bayt-Amani ya Mwenyezi Mungu Iwe Juu Yao-.
Habari ID: 3475797 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/17
Arbaeen ya Imam Hussein AS
TEHRAN (IQNA)- Gavana wa Karbala, Iraq ametangaza kuwa, wafanyaziara kutoka nchi 80 katika maadhimisho ya mwaka huu za Arbaeen mwaka huu wa 1444 Hijria Qamari sawa na 2022 Miladia.
Habari ID: 3475792 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/16
Wahusika wa Karbala /3
TEHRAN (IQNA) – Tukio la Karbala lina mafunzo mengi kwa wanadamu. Katika Vita vya Karbala vya mwaka 61 Hijria au 680 Miladia, mrengo wa haki na ukweli ulikabiliana na mrengo wa batili na uwongo.
Habari ID: 3475784 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/14
Wahusika wa Karbala /1
TEHRAN (IQNA) – Tukio la Karbala lina mafunzo mengi kwa wanadamu. Katika Vita vya Karbala vya mwaka 61 Hijria Qamaria au 680 Miladia, pande za ukweli zilikabili upande wa batili na uongo.
Habari ID: 3475763 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/10
Arbaeen ya Imam Hussein AS
TEHRAN (IQNA) - Maonyesho ya Qur'ani Tukufu yamewekwa kwenye barabara kati ya miji mitukufu ya Najaf na Karbala nchini Iraq wakati wa msimu wa Arbaeen.
Habari ID: 3475761 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/10
TEHRAN (IQNA) – Kwa mujibu wa mamlaka za Iraq, zaidi ya wafanyaziarai milioni sita walitembelea maeneo matakatifu ya Karbala siku ya Jumanne, Siku ya Ashura.
Habari ID: 3475606 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/08/11
Ashura
TEHRAN (IQNA)- Leo ni Jumatatu tarehe 10 Mfunguo Nne Muharram 1444 Hijria Qamaria inayosadifiana na tarehe 8 Agosti 2022. Hii ni Siku ya Ashura ambapo Waislamu na wapenda haki kote duniani hukumbuka kuuawa shahidi Imam Hussein AS na wafuasi wake katika jangwa la Karbala.
Habari ID: 3475595 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/08/08
Maombolezo ya Imam Hussein AS
TEHRAN (IQNA)- Usiku wa kuamkia leo umesadifiana na usiku wa mwezi tisa Mfunguo Nne, Muharram, siku ambayo ni maarufu kwa jina la Tasua ya Imam Hussein AS.
Habari ID: 3475590 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/08/07
Ashura
TEHRAN (IQNA) – Mwamko Ashura ni kielelezo cha kipekee cha mapambano dhidi ya mifumo mbovu ya kisiasa na njia mbovu za utawala.
Habari ID: 3475587 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/08/06
TEHRAN (IQNA) Kundi la wasomaji na wanaohifadhi Qur’ani Mauritania wametembelea Haram Takatifu ya Imam Hussein AS mjini Karbala, Iraq.
Habari ID: 3474571 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/17
KARBALA (IQNA)- Jumba la Makumbusho la Haram ya Imam Hussein AS katika mji wa Karbala limefunguliwa.
Habari ID: 3474481 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/27
TEHRAN (IQNA)- Kongamano la Kimataifa la ‘Arubaini, Umaanawi na Fadhila za Kiakhlaqi’ limefanyika katika mji wa Karbala.
Habari ID: 3474354 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/09/28
TEHRAN (IQNA)- Wakuu wa mkoa wa Karbala nchini Iraq wamesema kuwa, takwimu za awali zinaonesha kwamba wafanya ziara ya Arubaini ya Imam Husain AS mwaka huu katika Haram ya mtukufu huyo ni zaidi ya watu milioni 14.
Habari ID: 3474347 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/09/27
TEHRAN (IQNA)- Makumi ya maelefu ya waombolezaji, aghalabu wakiwa ni Waislamu wa madhehebu ya Shia, kutoka Iraq na mataifa mengine duniani wamefika au wanaelekea Karbala kwa ajili ya kumbukumbu ya Siku ya Arubaini ya Imam Hussein AS.
Habari ID: 3474333 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/09/24
TEHRAN (IQNA)- Kituo kimoja cha Qur’ani nchini Iraq kinatoa mafunzo ya qiraa sahihi ya Qur’ani tukufu kwa wanaoshiriki katika matembezi na ziara ya siku ya Arubaini ya Imam Hussein AS.
Habari ID: 3474322 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/09/21
TEHRAN (IQNA)- Awamu ya 5 ya Kongamano la Kimataifa la Arubaini ya Imam Hussein AS limefanyika kwa muda wa siku mbili mjini Karbala Iraq.
Habari ID: 3474291 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/09/13
TEHRAN (IQNA)- Wakaazi wa mji wa Basra kusini mwa Iraq wameanza matembezi ya kuelekea katika mji mtakatifu wa Karbala kushiriki katika Ziyara ya Arobaini ya Imam Hussein AS.
Habari ID: 3474268 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/09/07
TEHRAN (IQNA)- Kufahamu historia na yaliyopita kunapaswa kumpelekea mwanadamu aweze kutafakari na kujitayarisha kwa ajili ya kujenga mustakabali mwema.
Habari ID: 3474207 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/08/19