TEHRAN (IQNA) –Idara ya Polisi katika jimbo la Karbala nchini Iraq imetangaza kuwa ni marufuku kwa watu wasio wakaazi kuingia katika jimbo hilo hadi tarehe 13 Muharram inayosadifiana na 2 Septemba.
Habari ID: 3473099 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/08/24
TEHRAN (IQNA) - Mamilioni ya Waislamu na wasiokuwa Waislamu wanakusanyika katika mji mtakatifu wa Karbaka nchini Iraq kwa ajili ya kushiriki katika shughuli ya Arubaini ya Imam Hussein bin Ali bin Abi Twalib AS.
Habari ID: 3472177 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/10/18
TEHRAN (IQNA) - Mamilioni ya Waislamu kote duniani hii leo wanaomboleza katika siku ya Ashura ambayo ni siku aliyouawa shahidi mjukuu wa Mtume Muhammad SAW, Imam Hussein AS.
Habari ID: 3472122 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/09/10
TEHRAN (IQNA) Mamilioni ya Waislamu, hasa Mashia, wamejitokeza katika maeneo mbali mbali kote duniani kukumbuka tukio chungu la Siku ya Ashura, siku ambayo aliuawa shahidi mjukuu wa Mtume Muhammad SAW, Imam Hussein AS.
Habari ID: 3471681 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/09/20
TEHRAN, (IQNA)-Leo mamilioni ya watu wanashiriki katika maombolezo kwa munasaba wa Arubaini ya Mjukuu wa Mtume Muhammad SAW, Imam Hussein AS, ambapo kilele cha maombolezo hayo ni Karbala, Iraq.
Habari ID: 3471255 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/11/09
Waislamu mjini Dar es Salaam, Tanzania wameshiriki katika matembelezo ya kuwakumbuka mateka wa Karbala na hasa Bibi Zainab SA.
Habari ID: 3470616 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/10/16
Tuko katika siku hizi za kuomboleza kuuawa shahidi Imam Hussein AS ambaye ni mjukuu wa Mtume Mtukufu SAW.
Habari ID: 3470608 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/10/12
Wafanyaziara takribani milioni 27 wakiwemo wageni milioni tano wameshiriki katika maombolezo ya Arubaini ya mjukuu wa Mtume Mtukufu SAW, Imam Hussein AS, katika mji wa Karbala nchini Iraq.
Habari ID: 3459722 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/12/04
Waislamu kutoka pembe mbalimbali za dunia leo wamehuisha kumbukumbu ya Arubaini ya Imam Hussein AS, mjukuu wa Mtume Mtukufu SAW huku watu milioni 26 wakiripotiwa kufika Karbala, Iraq hadi sasa kwa ajili ya maombolezo hayo.
Habari ID: 3459439 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/12/02
Mamilioni ya Waislamu katika nchi mbalimbali za dunia wameshiriki maombolezo ya Ashura kukumbuka tukio chungu la kuuawa shahidi mjukuu wa Mtume mtukufu, Muhammad SAW, yaani Imam Hussein bin Ali bin Abi Twalib AS. Nchini Iran misafara na maandamano ya mamia ya maelfu ya watu inaendelea kushuhudiwa katika miji mbalimbali katika kukumbuka siku ya Ashura.
Habari ID: 3393538 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/10/25
Tuko katika mwezi wa Muharram ambao unahuisha na kurejesha akilini kumbukumbu ya mapambano adhimu na yenye adhama. Muharram ni mwezi uliofungamana na jina la Hussein Ibn Ali (AS) na harakati isiyo na mbadala ya mtukufu huyo katika ardhi ya Karbala.
Habari ID: 3391638 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/10/22
Takribani watu milioni 20 wamewasili Karbala kwa ajili ya kushiriki katika Arubaini ya Imam Husain AS. Mkuu huyo wa mkoa wa Karbala amesema kuwa hii ni mara ya kwanza kabisa kumiminika watu kiasi chote hicho katika historia ya ziara za Imam Husain AS.
Habari ID: 2617895 Tarehe ya kuchapishwa : 2014/12/13
Waziri wa Ulinzi wa Iraq amesema kuwa, wafanyaziara milioni 17.5 wamekusanyika katika mji mtukufu wa Karbala kwa ajili ya kushiriki maombolezo ya siku ya Arubaini ya Imam Hussein (A.S).
Habari ID: 2617814 Tarehe ya kuchapishwa : 2014/12/12
Sayyid Hassan Nasrallah
Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah nchini Lebanon amesema kuwa watu wanaofikiri kwamba kwa kuanzisha vita vya kisaikolojia na vitisho wataweza kuzuia kufanyika maombolezo ya Aba Abdillah Imam Hussein AS wanajidanganya, kwani vitisho hivyo havitawatenganisha na Imam Hussein AS.
Habari ID: 1463834 Tarehe ya kuchapishwa : 2014/10/26