Harakati za Qur'ani
IQNA - Kozi ya Qur'ani Tukufu iliyofanyika kwa wanawake kutoka Mkoa wa Babil wa Iraq ilifikia tamati kwa sherehe iliyofanyika katika mji mtakatifu wa Karbala.
Habari ID: 3479817 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/27
Harakati za Qur'ani
IQNA – Kikao maalum cha Qur'ani kimefanyika katika Haram ya Imam Hussein (AS) huko Karbala, Iraq na kuhudhuriwa na zaidi ya wafanyaziara elfu moja.
Habari ID: 3479795 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/23
Harakati za Qur'ani
IQNA - Kituo cha Da-ul-Quran cha Idara ya Mfawidhi wa Kaburi Takatifu la Imam Hussein (AS) huko Karbala, Iraq kinapanga kuandaa kozi za mtandaoni za Qur'ani kwa wahitimu wa vyuo vikuu katika fani tofauti za sayansi ya Qur'ani
Habari ID: 3479187 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/07/26
Matukio ya Imam Hussein (AS)
Kiongozi wa Kikristo wa Lebanon anasema uasi wa Imam Hussein (AS) unaenda zaidi ya dini kwani unawasilisha maadili ya binadamu kwa wote.
Habari ID: 3479169 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/07/22
IQNA - Baraza la Mkoa wa Karbala lilitangaza kuwa takriban mazuari milioni 6 walishiriki katika ibada za maombolezo katika siku ya Ashura katika mji mtakatifu wa Karbala siku ya Jumatano.
Habari ID: 3479145 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/07/19
Mtukio ya Karbala
Mji mtakatifu wa Karbala katika mkesha wa Ashura ulikuwa na mazuari mamilioni ya Wafanya Ziyara wakiomboleza kuuawa shahidi Imam Hussein (AS) na masahaba zake.
Habari ID: 3479140 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/07/17
Imam Ali (AS) Najaf, Iraq,
Siku ya Ashura inapokaribia, ua wa haram tukufu ya Imam Ali (AS) huko Najaf, Iraq, ulifunikwa na zulia jekundu.
Habari ID: 3479122 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/07/14
Qur’ani Tukufu
Msafara wa Qur'ani Tukufu wa Arobaini wa Iran utakuwa na wanachama zaidi ya 100, wakiwemo makaris wanaume na wanawake, huku karibu makari na wanaharakati 300 wakuu wakikamilisha kujiandikisha kwa tukio hilo.
Habari ID: 3479117 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/07/13
Karbala
Moja ya malengo ya mapinduzi ya Imam Hussein (AS) lilikuwa ni kuamrisha mema na kukataza maovu.
Habari ID: 3479115 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/07/13
Imam Hussein (AS)
Ushahidi bora zaidi wa msingi wa Qur'ani wa mauaji ya Imam Hussein (AS) unaweza kupatikana katika wasia wake ulioandikwa kwa ndugu yake Muhammad ibn al-Hanafiyya.
Habari ID: 3479104 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/07/11
IQNA - Bendera nyekundu za Haram (kaburi) Tukufu ya mam Hussein (AS) na Aba Al- Fadhl Al-Abbas (AS) zilishushwa na bendera nyeusi za maombolezo zikapandishwa kwenye majumba ya makaburi hayo siku ya Jumatatu huko Iraq Karbala.
Habari ID: 3479098 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/07/09
Imamu Hussein (AS) karbala
IQNA- Imam Hussein (AS) alidhulumiwa na baadhi ya vipimo vingine vya mwamko wa Ashura vinaweza kuonekana katika baadhi ya aya za Qur’ani Tukufu.
Habari ID: 3479082 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/07/07
Mashindano ya kimataifa ya Qur'ani
IQNA-Washindi wa mashindano ya 3 ya kimataifa ya Qur'ani ya Karbala walitangazwa na kutunukiwa huko Karbala, Iraq.
Habari ID: 3479080 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/07/06
Karbala ya Mwaka 1445
Kifuniko, kinachojulikana kama Kiswa, cha Kaaba Tukufu kinatarajiwa kubadilishwa katika siku ya kwanza ya mwezi wa maombolezo ya Muharram, mamlaka ya Saudi ilisema.
Habari ID: 3479079 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/07/06
IQNA - Afisa mmoja anasema kauli mbiu ya maandamano ya mwaka huu ya Arbaien ilichukuliwa kwa kuzingatia ukandamizaji wa kikatili unaoendelea wa Israel dhidi ya watu wa Palestina.
Habari ID: 3479003 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/06/23
Harakati za Qur'ani
IQNA – Haram Takatifu ya Hadhrat Abbas (AS) huko Karbala, Iraq imerejesha programu yake ya kila siku ya Khatmul Qur'an.
Habari ID: 3478752 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/04/30
Arbaeen
IQNA - Balozi wa Iran nchini Iraq Mohammad Kazem Al Sadeq amesema kuimarika kila mwaka mjumuiko na matembezi ya Arbaeen kama mfano wa utamaduni adhimu wa Kiislamu.
Habari ID: 3478699 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/04/19
Sala ya Idu
IQNA - Sala ya Idul Fitr katika mji mtakatifu wa Karbala nchini Iraq ilishuhudia mahudhurio makubwa ya waumini na wafanyaziyara siku ya Jumatano.
Habari ID: 3478671 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/04/11
Harakati za Qur'ani
IQNA - Astan (Mfawidhi) wa Haram tukufu ya Imam Hussein (AS) huko Karbala, Iraq, ilimtaja mwandishi mashuhuri wa kaligrafia, Uthman Taha kama shakhsia wa Qur'ani wa mwaka.
Habari ID: 3478413 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/25
NEW DELHI (IQNA) – Maelfu ya Waislamu mjini Mumbai, India, walijiunga na Matembezi ya Arubaini kutoa heshima kwa Imam Hussein (AS) na masahaba wake, licha ya hali ya hewa ya mvua.
Habari ID: 3477576 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/09/10