IQNA – Katika mji unaojulikana kwa urithi wake wa Kikatoliki, Msikiti wa Sheikh Ibrahim Al‑Ibrahim unatoa mahali pa utulivu wa kina na ibada ya kiroho.
Habari ID: 3481989 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/02/25
IQNA – Jumuiya ya Wanazuoni wa Kiislamu wa Lebanon imesisitiza katika taarifa yake kwamba watu wa Venezuela, kwa idhini ya Mwenyezi Mungu, watazima njama ya Marekani. Wameongeza kuwa mataifa huru na yenye mamlaka yao yanapaswa kusimama pamoja kukabiliana na dhulma na jinai za Marekani na kuunda ushirikiano wa kimkakati.
Habari ID: 3481767 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/01/05
IQNA – Harakati ya mapambano ya Kiislamu ya Lebanon, Hizbullah, imelaani uvamizi wa Marekani dhidi ya Venezuela na mashambulizi ya miundombinu muhimu, maeneo ya kiraia na makazi katika taifa hilo la Amerika ya Kusini.
Habari ID: 3481763 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/01/04
Ansarullah ya Yemen
IQNA – Harakati ya Ansarullah ya Yemen imetoa tamko kali kulaani shambulio la kijeshi lililofanywa na Marekani dhidi ya Venezuela, ikilitaja kuwa kitendo cha jinai.
Habari ID: 3481759 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/01/03
Ansarullah ya Yemen
IQNA – Harakati ya Ansarullah ya Yemen imetoa tamko kali kulaani shambulio la kijeshi lililofanywa na Marekani dhidi ya Venezuela, ikilitaja kuwa kitendo cha jinai.
Habari ID: 3481758 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/01/03
Jinai za Israel
IQNA-Rais wa Venezuela amezilaani Marekani na Umoja wa Ulaya kwa kutofanya lolote kukomesha mauaji "ya kutisha" na ya Kinazi ya Israel dhidi ya Wapalestina.
Habari ID: 3478899 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/05/29
Kiongozi Muadhamu katika mkutano na Rais Maduro wa Venezuela
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema uzoefu wenye mafanikio wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Venezuela katika kupambana na vikwazo vya Marekani umedhihirisha wazi kuwa, mapambano au muqawama ndio njia pekee ya kuzima mashinikizo ya namna hiyo.
Habari ID: 3475366 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/12
TEHRAN (IQNA)- Rais Nicholas Maduro wa Venezuela amesema jamii ya kimataifa inapaswa kulaani vikali mauaji ya kigaidi ya mwaka 2020 ya Luteni Jenerali Qassem Soleimani wa Iran ambaye alikuwa mstari wa mbele katika vita dhidi ya ugaidi.
Habari ID: 3474738 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/29
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, dhana iliyotawala kwamba Marekani ni nchi isiyoweza kushindwa, ilikuwa ni kosa kubwa na kwamba makosa ya kujirudia ya Marekani katika eneo yameifanya ishidwe.
Habari ID: 3470629 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/10/23