Sayyed Hassan Nasrallah kwa masaba wa Nisf Shaaban
TEHRAN (IQNA) - Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema, hivi sasa katika Palestina inayokaliwa kwa mabavu (Israel) kuna utawala ghasibu ambao una hofu una hofu kuwa uhai wake hautazidi miaka 80.
Habari ID: 3472644 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/04/08
Sayyed Hassan Nasrallah
TEHRAN (IQNA) - Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon amesema, maadui wanafanya kila njia ili kuyumbisha imani iliyopo baina ya Muqawama na wananchi, ambao ndio watoaji msukumo halisi kwa mhimili wa muqawama.
Habari ID: 3472586 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/03/21
TEHRAN (IQNA) - Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema katika vita dhidi ya kirusi cha corona, muongo mkubwa zaidi ni rais Donald Trump wa Marekani na timu yake.
Habari ID: 3472562 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/03/14
Sayyed Hassan Nasrallah
TEHRAN (IQNA)- Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon Sayyid Hassan Nasrallah amesisitiza kuwa, uwepo wa mamilioni ya watu mjini Karbala ni jambo lisilo na mfano katika historia na kwamba Marekani, utawala haramu wa Kizayuni, mabeberu na madhalimu wa dunia wanahisi hofu kubwa kwa kushuhudia matembezi ya mamilioni ya watu katika Arubaini ya Imam Hussein AS
Habari ID: 3472179 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/10/19
Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon
TEHRAN (IQNA) - Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon amekosoa msimamo wa baadhi ya nchi na asasi kuhusu shambulizi la ulipizaji kisasi la Jeshi la Yemen dhidi ya vituo vya kusafisha amfut aya petroli nchini Saudi Arabia na kusema, misimamo hiyo inaonyesha kuwa mafuta ya petroli yana thamani zaidi ya damu ya mwanadamu.
Habari ID: 3472141 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/09/21
Sayyid Hassan Nasrallah
TEHRAN - (IQNA)-Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema hali katika Asia Magharibi (Mashariki ya Kati) inaonyesha kuwepo uchochezi unaotekelezwa na Marekani, baadhi ya nchi za eneo na vyombo vya habari ili kuuwezesha utawala wa Kizayuni Kuanzisha vita
Habari ID: 3471939 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/05/03
Kiongozi wa Hizbullah Hassan Nasrallah
TEHRAN (IQNA)-Katibu Mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa, hatua ya Rais Donald Trump wa Marekani ya kuitambua rasmi miinuko ya Golan kuwa ni miliki ya utawala bandia wa Israel ni kuzitusi na kuzivunjia heshima nchi za Ulimwengu wa Kiislamu na Kiarabu.
Habari ID: 3471890 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/03/27
Sayyid Hassan Nasrallah
TEHRAN (IQNA)-Kiongozi wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon Sayyid Hassan Nasrallah amesema kuwa, Marekani ilikuwa na njama kubwa tofauti kwa ajili ya kusambaratisha harakati hiyo mwaka 2006, lakini uimara wake umeweza kusambaratisha njama zote hizo.
Habari ID: 3471868 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/03/09
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi wa harakati ya mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon ameipongeza Malaysia kwa kuondoa askari wake katika muungano wa kijeshi unoongozwa na Saudia ambao umekuwa ukiwashambulia wananchi wasio na ulinzi Yemen tokea mwaka 2015.
Habari ID: 3471577 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/06/30
IQNA: Kiongozi wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Lebanon ameipongeza Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa kuendelea kuunga mkono Palestina wakati nchi zingine zimeegemea upande wa utawala haramu wa Israel.
Habari ID: 3470861 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/02/21
Kiongozi wa Harakati wa Hizbullah
Kiongozi wa Harakati wa Hizbullah ya Lebanon Sayyed Hassan Nasrallah amesema Saudi Arabia na Marekani ndio waungaji mkono wakuu wa kundi la kigaidi la ISIS au Daesh katika eneo.
Habari ID: 3470632 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/10/24