TEHRAN (IQNA)- Kuna idadi kubwa ya Waislamu ambao wako nchini Russia kushiriki au kutazama mechi za Kombe la Dunia la FIFA mwaka 2018 na moja kati ya changamoto kubwa ni kupata chakula halali, lakini tatizo hilo limetatuliwa kwa kutumie teknolojia ya kisasa.
Habari ID: 3471563 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/06/18
TEHRAN (IQNA)-Jeshi la Syria limeukomboa mji wa Douma; mji wa mwisho huko Ghouta ya Mashariki kuwa chini ya udhibiti wa magaidi wanaopata himaya ya kigeni
Habari ID: 3471463 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/04/13
TEHRAN (IQNA)-Idadi ya Waislamu nchini Russia sasa imefika watu milioni 25 kati ya watu milioni 145 nchini humo, amesema Mufti Mkuu wa Russia Sheikh Rawil Gaynetdin.
Habari ID: 3471421 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/03/08
TEHRAN, (IQNA)-Mwanamke Muislamu, Aina Gamzatova, ametangaza kujitosa katika uchaguzi wa urais wa Russia Machi 2018 kwa lengo la kumuondoa madarakani Rais Vladimir Putin wa nchi hiyo.
Habari ID: 3471335 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/01/01
TEHRAN (IQNA)-Algeria imetoa msaada wa mamia ya nakala za Qur'an Tukufu kwa ajili ya Waislamu nchini Russia.
Habari ID: 3471039 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/06/28
Wizara ya Ulinzi ya Russia
TEHRAN (IQNA)-Russia imetangaza kuwa inachunguza ripoti zinazoashiria kuwa huenda kinara wa kundi la kigaidi la ISIS au Daesh, Abu Bakr Al-Baghdadi ameuawa katika hujuma ya ndege za Russia nchini Syria.
Habari ID: 3471020 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/06/16
IQNA-Kansela wa Ujerumani ametoa mwito wa kushirikishwa Russia na Waislamu katika kukabiliana na jinamizi la ugaidi.
Habari ID: 3470860 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/02/20
Mwanazuoni mwandamizi wa Kiislamu nchini Russia amesema misikiti 7,500 mipya imejengwa nchini humo wakati wa kipindi cha urais wa Vladimir Putin.
Habari ID: 3461608 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/12/09
Ayatullah Udhma Sayid Ali Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Jumatatu alionana na Rais Vladimir Putin wa Russia mjini Tehran na huku akikaribisha juhudi za kustawisha zaidi ushirikiano wa pande mbili, wa kieneo na kimataifa
Habari ID: 3456712 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/11/24
Rais Vladimir Putin wa Russia amemtunuku Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullahil Udhma Sayyid Ali hamenei, nakala ya zamani yenye thamani kubwa ya Qur'ani Tukufu.
Habari ID: 3456287 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/11/23
Rais Vladimir Putin wa Russia ameidhinisha muswada wa bunge la nchi hiyo, Duma, kuhusu kulinda na kuhifadhi heshima vitabu vitukufu vya duni kubwa duniani.
Habari ID: 3386346 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/10/17
Musa Motamedi hafidh wa Qur’ani kutoka Iran ameshika nafasi ya kwanza katika mashindano ya kimataifa ya Qur’ani katika mji mkuu wa Russia, Moscow.
Habari ID: 3384686 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/10/12
Rais Vladmir Putin wa Russia Jumatano amefungua msikiti mkuu wa Moscow ambao ni msikiti mkubwa zaidi barani Ulaya.
Habari ID: 3366927 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/09/24
Awamu ya 16 ya Mashindano ya Kimataifa ya Qur'an Tukufu ya Russia yanatazamiwa kufanyika kuanzia tarehe 19 Oktoba katika mji mkuu wa nchi hiyo, Moscow.
Habari ID: 3361692 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/09/12
Naibu Mkuu wa Baraza la Mamufti wa Russia
Sheikh Roushan Abbasov Naibu Mwenyekiti wa Baraza la Mamufti wa Russia amesema shughuli na harakati za Taasisi ya Jihadi ya Vyuo Vikuu nchini Iran ni chimbuko la fakhari kwa Umma wa Kiislamu kote duniani.
Habari ID: 3358324 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/09/05
Tamasha la Kimataifa ya Qur’ani linafanyika Moscow mji mkuu wa Russia kwa mara ya kwanza kabisa.
Habari ID: 3327667 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/07/13
Mwakilishi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameshika nafasi ya pili katika mashindano ya Qur'ani ya kimataifa nchini Russia.
Habari ID: 1452134 Tarehe ya kuchapishwa : 2014/09/21