TEHRAN (IQNA) – Qarii mashuhuri wa Misri Sheikh Mustafa Ghalwash katika moja ya safari zake nchini Iran alisoma Qur’ani Tukufu mbele ya Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu.
Habari ID: 3473369 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/11/17
TEHRAN (IQNA) - Mahmoud Shahat Anwar, qarii maarufu wa Misri amehudhuria sherehe za kuadhimisha kumbukumbu ya kuzaliwa Bwana Mtume Muhammad SAW maarufu kama Maulidi ambapo na kusoma aya za Qur'ani.
Habari ID: 3473337 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/11/07
TEHRAN (IQNA) – Dkt. Javad Foroughi ni qarii mashuhuri Muirani ambaye ni mashuhuri kimataifa kwa qiraa yake ya Qur'ani Tukufu.
Habari ID: 3473308 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/10/29
TEHRAN (IQNA) – Klipu nadra ya video imesambaa katika mitandao ya kijamii ikimuonyesha qarii mashuhuri wa Misri marhum Sheikh Abdul Basit Abdul Samad akisema aya za Surah Fussilat.
Habari ID: 3473274 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/10/19
TEHRAN (IQNA) - Qarii maarufu wa Qur'ani Tukufu Sheikh Mahmoud Shahat Anwar hivi karibuni alisoma Qur'ani katika hafla ya kidini nchini humo.
Habari ID: 3473256 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/10/13
TEHRAN (IQNA)- Klipu iliyopo hapa chini ni ya qarii maarufu wa Misri Sheikh Abdul Basit Abdul Samad akisoma Surah Al Qadr ya Qur'ani Tukufu mwaka 1965 katika Msikiti Imam Hussein (AS) mjini Cairo.
Habari ID: 3473212 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/09/28
TEHRAN (IQNA) – Qarii mashuhuri wa Iran Saeed Parvizi hivi karibuni alisoma aya za Sura al-Kahf za Qur’ani Tukufu.
Habari ID: 3473138 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/09/05
TEHRAN (IQNA) – Qarii mashuhuri wa Misri, Mahmodu Shahat Anwar hivi karibuni alisoma aya za Qur'ani akiwa safarini katika jimbo la Dakahlia nchini humo.
Habari ID: 3473109 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/08/27
TEHRAN (IQNA) – Klipu hii inamuonyesha qarii wa Misri Mahamoud Shahat Anwar akisoma baadhi ya aya za Surat Al-A'la za Qur'ani Tukufu bila kupumua mwaka 2016.
Habari ID: 3473070 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/08/15
TEHRAN (IQNA) – Klipu ya Qur’ani Tukufu ya moto Muafrika akisoma Qur’ani Tukufu kwa ustadi imesambaa katika mitandao ya kijamii.
Habari ID: 3473059 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/08/12
TEHRAN (IQNA) Klipu ya zamani na nadra ya Sheikh Abdul Abasit Abdulswamad akisoma Surat Al-Qadr imesambaa katika mitandao ya kijamii.
Habari ID: 3473054 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/08/10
TEHRAN (IQNA) – Sheikh Muhammad al-Toukhi alikuwa qarii mashuhuri wa Qur'ani Tukufu kutoka Misri.
Habari ID: 3473041 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/08/06
TEHRAN (IQNA)- Kuna idadi kubwa ya qiraa za qarii mashuhuri wa Misri Sheikh Sayyid Mutawalli Abdul Aal aliyeaga dunia mwaka 2015.
Habari ID: 3473013 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/07/29
TEHRAN (IQNA) –Klipu mpya ya video inamuonyesha qarii mashuhuri wa Misri marhum Sheikh Abolainain Shoaisha akisoma aya za Surah al-Infitar ya Qur'ani Tukufu.
Habari ID: 3473002 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/07/26
TEHRAN (IQNA) – Hivi karibuni kumesambazwa qiraa ya Qur'ani Tukufu ya qarii maarufu wa Misri Sheikh Mahmod Shahat Muhammad Anwar akiwa anasema aya za Qur'ani mjini Cape Town, Afrika Kusini.
Habari ID: 3472999 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/07/25
TEHRAN (IQNA) – Qarii marufu wa Misri Sheikh Ahmed Ahmed Noaina hivi karibuni alisoma baadhi ya aya za Surat Al-Muzzammil
za Qur'ani Tukufu kwa pumzi moja.
Habari ID: 3472992 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/07/23
TEHRAN (IQNA) – Mahmud Ali Al Banna alikuwa qarii mashuhuri wa Qur’ani aliyezaliwa katika kijiji cha Shobrabas kaskazini mwa Misri mnamo Disemba 17, 1926.
Habari ID: 3472986 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/07/21
TEHRAN (IQNA)- Marhum Sheikh Mahmoud Khalil al-Hussary alizaliwa Septemba 17 1918 na alikuwa miongoni mwa wasomaji mashuhuri wa Qur'ani nchini Misri.
Habari ID: 3472980 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/07/19
TEHRA (IQNA) – Klipu ya video imesmabazwa hivi karibuni ya qiraa ya Surah Al-Infitar ya Qur'ani Tukufu ya marhum Sheikh Abdul-Basit Abdul-Swamad.
Habari ID: 3472958 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/07/13
TEHRAN (IQNA) – Klipu imesambazwa hivi karibuni yenye qiraa ya Surat Al-Ikhlas ya wasomaji wanne mashuhuri wa Qur'ani Tukufu kutoka Misri.
Habari ID: 3472948 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/07/10