iqna

IQNA

TEHRAN (IQNA) – Moja ya mbinu za qiraa ya Qur’ani Tukufu ni kusoma aya au sura ndefu kwa pumzi moja sambamba na kuzingatia kanuni zote za usomaji.
Habari ID: 3472892    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/06/23

TEHRAN (IQNA) – Tarehe 20 imesadifiana na mwaka wa 50 tokea alipoaga dunia Mohamed Siddiq El-Minshawi aliyekuwa na lakabu ya 'qarii wa maqarii' ambaye hadi sasa amesalia kuwa miongoni mwa wasomaji wakubwa wa Qur'ani duniani.
Habari ID: 3472887    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/06/22

TEHRAN (IQNA) – Mahmoud al-Toukhi ni kati ya maqarii mashuhuri wa Misri wanaomuiga qarii mashuhuri Sheikh Mohammad Rafa'at.
Habari ID: 3472855    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/06/11

TEHRAN (IQNA) – Hussein Abdul Zahir ni kijana Mmisri ambaye ana uwezo wa kuiga qiraa ya wasomaji Qur'ani 11 maarufu duniani.
Habari ID: 3472828    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/06/02

TEHRAN (IQNA)- Mahmoud Abdul Fattah Taruti, anafuata nyayo za baba yake, Ustadh Abdul Fattah Ali Taruti, mmoja wa wasomaji mashuhuri wa Qur'ani nchini Misri.
Habari ID: 3472805    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/05/26

Shirika la Habari la Qur'ani la Kimataifa (IQNA) limekuwa likuwaleteeni qiraa za wasomaji mbali mbali wa Qur'ani katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3472775    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/05/17

TEHRAN (IQNA) – Ustadh Ala Hassani, mjukuuu wa qarii au msomaji mashuhuri wa Qur'ani wa Misri Sheikh Mustafa Ismail amesembaza klipu ya qiraa yake ya Qur'ani Tukufu.
Habari ID: 3472766    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/05/14

TEHRAN (IQNA) – Sheikh Tariq Abdul Basit Abdul Samad, mwanae qarii mashuhuri wa Qur’ani Tukufu nchini Misri marhum Sheikh Abdul Basit Abdul Samad, hivi karibuni amesoma aya za Qur’ani Tukufu kuhusu Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3472739    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/05/06

TEHRAN (IQNA)- Hivi karibuni klipu ya video ya qiraa ya Qur’ani Tukufu ya Ustadh Abdul Basit Abdul Samad imesambaa katika intaneti.
Habari ID: 3472698    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/04/24

TEHRAN (IQNA)-Mkutano wa pili wa kimataifa kuhusu qiraa au usomaji wa Qur’ani Tukufu umefanyika katika mji wa Istanbul, Uturuki.
Habari ID: 3471252    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/11/07

TEHRAN (IQNA)-Kwa hakika hatujui ni wapi na ni lini mauti yatatufikia, hiyo ni siri ya Mola Muumba, Allah SWT.
Habari ID: 3470953    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/04/27

Msomaji bora katika Mashindano ya 57 ya Kimatiafa ya Qur’ani Malaysia amepokea zawadi kutoka kwa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu.
Habari ID: 3332311    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/07/23

Kikao cha kimataifa cha qiraa ya Qur'ani Tukufu imefanyika mjini Cape Town, Afrika Kusini na kuhudhuriwa na maqarii kutoka Misri, Iraq, Sudan na Malaysia.
Habari ID: 3328819    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/07/16

Mohsen Haji-Hassani Kargar wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameibuka mshindi katika kitengo cha qiraa cha Mashindano ya 57 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu nchini Malaysia.
Habari ID: 3314400    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/06/15

Duru ya 36 ya Mashindano ya Kimatiafa ya Hifdhi, Qiraa na Tafsiri ya Qur’ani Tukufu yameanza leo Novemba 15 katika Msikitu Mkuu wa Makka (Masjid al-Haram) , Saudi Arabia.
Habari ID: 1473482    Tarehe ya kuchapishwa : 2014/11/15

Mashindano ya ۳۱ ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu yamemalizika leo Jumatatu hapa Tehran bada kuendelea kwa muda wa wiki moja.
Habari ID: 1413796    Tarehe ya kuchapishwa : 2014/06/02