iqna

IQNA

TEHRAN (IQNA) – Klipu ya video imesambaa katika mitandao ya kijamii ikimuoneysha qarii maarufu wa Misri, Sheikh Ahmed Ahmed Noaina akisoma Qur'ani Tukufu akiwa amevalia barakoa.
Habari ID: 3473584    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/01/23

TEHRAN (IQNA) - Televisheni ya Qur’ani ya Shirika la Utangazaji la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran (IRIB) imerusha hewnai qiraa ya qarii mashuhuri wa Misri Sheikh Ragheb Mustafa Ghalwash.
Habari ID: 3473551    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/01/12

TEHRAN (IQNA)- Televisheni ya Qur’ani ya Shirika la Utangazaji la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran (IRIB) imezindua kipindi kipya cha kurusha hewani qiraa ya Qur’ani Tukufu ya wasomaji maarufu wa Misri.
Habari ID: 3473542    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/01/10

TEHRAN (IQNA) – Taasisi ya Darul Qur'an ya Ujerumani imesambaza klipu ya qiraa ya Qur'ani kumhusu Nabii Isa Masih-Amani ya Mwenyezi Mungu Iwe Juu Yake- ambaye Wakristo wengi wanaamini alizaliwa Disemba 25 katika siku ambayo ni maarufu kama Krismasi.
Habari ID: 3473494    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/12/26

TEHRAN (IQNA) Hivi karibuni Televisheni ya Qur’ani ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ilirusha hewani qiraa ya Qur’ani Tukufu ya Sheikh Abdul Fattah Taruti wa Misri.
Habari ID: 3473485    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/12/23

TEHRAN (IQNA)- Qiraa ya Qur’ani Tukufu ya qarii wa Misri marhum Sheikh Ahmed Mohammed Amer hivi karibuni imerushwa hewani katika televisheni ya Qur’ani ya Iran.
Habari ID: 3473469    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/12/18

TEHRAN (IQNA) – Televisheni ya Qur'ani ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran hivi karibuni ilirusha hewani qiraa ya qarii wa Misri marhuma Sheikh Khalil Al-Hussary.
Habari ID: 3473459    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/12/15

TEHRAN (IQNA) – Wizara ya Masuala ya Kiislamu ya Mauritania imeendeleza kampeni maalumu ya qiraa ya Qur’ani katika misikiti ya nchi hiyo.
Habari ID: 3473452    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/12/13

TEHRAN (IQNA) – Klipu ya qiraa ya Qur'ani Tukufu ya mtoto Mwafrika ambayo imesambazwa katika mitandao ya kijamii imewavutia wengi nchini Iran na kote duniani.
Habari ID: 3473430    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/12/06

TEHRAN (IQNA)- Hivi karibuni, Televisheni ya Qur'ani ya Iran ilirusha hewani qiraa ya qarii mashuhuri wa Misri Sheikh Ahmed Ahmed Noaina.
Habari ID: 3473402    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/11/28

TEHRAN (IQNA)- Familia ya qarii maarufu zaidi wa Qur’ani Tukufu wa Misri, Sheikh Abdul-Basit Abdul-Swamad imeitunuku Radio ya Qur’ani ya Misri kanda za qiraa ya qarii huyo.
Habari ID: 3473384    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/11/22

TEHRAN (IQNA) – Qarii mashuhuri wa Misri Sheikh Mustafa Ghalwash katika moja ya safari zake nchini Iran alisoma Qur’ani Tukufu mbele ya Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu.
Habari ID: 3473369    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/11/17

TEHRAN (IQNA) - Mahmoud Shahat Anwar, qarii maarufu wa Misri amehudhuria sherehe za kuadhimisha kumbukumbu ya kuzaliwa Bwana Mtume Muhammad SAW maarufu kama Maulidi ambapo na kusoma aya za Qur'ani.
Habari ID: 3473337    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/11/07

TEHRAN (IQNA) – Dkt. Javad Foroughi ni qarii mashuhuri Muirani ambaye ni mashuhuri kimataifa kwa qiraa yake ya Qur'ani Tukufu.
Habari ID: 3473308    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/10/29

TEHRAN (IQNA) – Klipu nadra ya video imesambaa katika mitandao ya kijamii ikimuonyesha qarii mashuhuri wa Misri marhum Sheikh Abdul Basit Abdul Samad akisema aya za Surah Fussilat.
Habari ID: 3473274    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/10/19

TEHRAN (IQNA) - Qarii maarufu wa Qur'ani Tukufu Sheikh Mahmoud Shahat Anwar hivi karibuni alisoma Qur'ani katika hafla ya kidini nchini humo.
Habari ID: 3473256    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/10/13

TEHRAN (IQNA)- Klipu iliyopo hapa chini ni ya qarii maarufu wa Misri Sheikh Abdul Basit Abdul Samad akisoma Surah Al Qadr ya Qur'ani Tukufu mwaka 1965 katika Msikiti Imam Hussein (AS) mjini Cairo.
Habari ID: 3473212    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/09/28

TEHRAN (IQNA) – Qarii mashuhuri wa Iran Saeed Parvizi hivi karibuni alisoma aya za Sura al-Kahf za Qur’ani Tukufu.
Habari ID: 3473138    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/09/05

TEHRAN (IQNA) – Qarii mashuhuri wa Misri, Mahmodu Shahat Anwar hivi karibuni alisoma aya za Qur'ani akiwa safarini katika jimbo la Dakahlia nchini humo.
Habari ID: 3473109    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/08/27

TEHRAN (IQNA) – Klipu hii inamuonyesha qarii wa Misri Mahamoud Shahat Anwar akisoma baadhi ya aya za Surat Al-A'la za Qur'ani Tukufu bila kupumua mwaka 2016.
Habari ID: 3473070    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/08/15