Ali Larijani
Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu yaani Bunge laa Iran amesema kuwa uzoefu wa miaka mingi iliyopita umeonesha kwamba ugaidi na ubeberu ni ncha mbili za mkasi unaotishia Umma wa Kiislamu na kwamba watu wa Iraq, Syria, Afghanistan na Pakistan wamehisi zaidi machungu ya mkasi huo kuliki watu wa maeneo mengine.
Habari ID: 1377233 Tarehe ya kuchapishwa : 2014/02/19
Rais Rouhani wa Iran
Rais Hassan Rouhani wa Iran ametoa wito kwa nchi za Kiislamu kudumisha umoja ili kuweza kukabiliana na vitisho visivyo na kifani.
Habari ID: 1376952 Tarehe ya kuchapishwa : 2014/02/18