tehran - Ukurasa 3

IQNA

Khatibu wa Sala ya Ijumaa Tehran
TEHRAN (IQNA)- Khatibu wa Sala ya Ijumaa mjini Tehran ameeleza kuwa, wale wanaochoma moto nakala za Qur’ani Tukufu kwa hakika wanajichoma moto wao wenyewe na kusema: Si jambo rahisi kwa kila mtu kujua hakika ya Qur’ani ambayo ni roho na rehema ya Mwenyezi Mungu, na kufanya ukaidi dhidi ya neno la Mungu ni ishara ya roho ya kishetani.
Habari ID: 3477381   Tarehe ya kuchapishwa : 2023/08/04

Khatibu wa Sala ya Ijumaa mjini Tehran
TEHRAN (IQNA)- Khatibu wa Sala ya Ijumaa mjini Tehran aliyataja mafanikio ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kuwa ndio sababu kuu ya vita mseto na mashinikizo ya pande zote ya maadui.
Habari ID: 3477018   Tarehe ya kuchapishwa : 2023/05/19

Utamaduni
TEHRAN (IQNA) – Banda la Oman katika Maonyesho ya 34 ya Kimataifa ya Vitabu ya Tehran limeweka vitabu vya maonyesho katika nyanja tofauti, afisa msimamizi wa banda hilo alisema.
Habari ID: 3477014   Tarehe ya kuchapishwa : 2023/05/18

Msanii wa Afghanistan
TEHRAN (IQNA) – Msanii wa Afghanistan, Hakima Qanbari amesema lugha ya sanaa huwasilisha ujumbe bila maneno, na kuongeza kuwa kazi za sanaa za Qur’ani zinawavutia wasio Waislamu.
Habari ID: 3476860   Tarehe ya kuchapishwa : 2023/04/13

Maonyesho ya Qur'ani
TEHRAN (IQNA) – Kitengo cha Kimataifa cha Maonyesho ya 30 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Tehran ktafunguliwa Jumatatu, Aprili 3, 2023.
Habari ID: 3476800   Tarehe ya kuchapishwa : 2023/04/02

Maonyesho ya Qur'ani ya Tehran
TEHRAN (IQNA)- Maonyesho ya 30 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Tehran yamefunguliwa rasmi Jumamosi na Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Sayyid Ebrahim Raisi.
Habari ID: 3476799   Tarehe ya kuchapishwa : 2023/04/02

Maonyesho ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Tehran
TEHRAN (IQNA) - Mkuu Duru ya 30 ya Maonyesho ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Tehran amesema mawaziri wa wakfu na utamaduni wa nchi saba watatembelea tukio hilo la Qur'ani.
Habari ID: 3476703   Tarehe ya kuchapishwa : 2023/03/14

Maonyesho ya Qur'ani
TEHRAN (IQNA) – Ukumbi wa Sala (Musalla) wa Imam Khomeini (Mwenyezi Mungu Amrehemu) utakuwa mwenyeji wa toleo la 30 la Maonyesho ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Tehran, kama ilivyokuwa miaka ya nyuma.
Habari ID: 3476661   Tarehe ya kuchapishwa : 2023/03/05

Maonyesho ya Qur'ani
TEHRAN (IQNA) - Mohammad Mehdi Aziz-Zadeh ameteuliwa kuwa mkuu wa sekretarieti ya kudumu ya Maonyesho ya Kimataifa ya Qur'ani ya Iran.
Habari ID: 3476505   Tarehe ya kuchapishwa : 2023/02/02

Shahidi Soleimani
TEHRAN (IQNA)-Kongamano la Kwanza wa Kimataifa wa Fikra za Shahidi Luteni Jenerali Qassem Soleimani limemalizika hapa mjini Tehran.
Habari ID: 3476363   Tarehe ya kuchapishwa : 2023/01/06

Maonyesho ya Qur'ani Tukufu
TEHRAN (IQNA) - Kikao cha baraza la kutunga sera za Maonyesho ya 30 ya Kimataifa ya Qur'ani Tehran kilifanya mkutano mapema wiki hii, afisa mmoja alisema.
Habari ID: 3476356   Tarehe ya kuchapishwa : 2023/01/04

Maonyesho ya Qur'ani Tukufu
TEHRAN (IQNA) - Sekretarieti ya Maonyesho ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Tehran imesema iko tayari kupokea mawazo na mapendekezo mapya kwa ajili ya kuandaa vyema tukio la kimataifa.
Habari ID: 3476231   Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/11

Khatibu wa Sala ya Ijumaa Tehran
TEHRAN (IQNA)- Khatibu wa Sala ya Ijumaa ya leo mjini Tehran amesema mustakabali wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran hii leo umeng'ara zaidi kuliko wakati wowote ule.
Habari ID: 3475967   Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/21

Matembezi ya Arbaeen
TEHRAN (IQNA)- Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameitaja Arbaeen (Arubaini) ya Imam Hussein AS kuwa ni muujiza wa Mwenyezi Mungu na moja ya madhihirisho na vielelezo vya umoja wa Waislamu na akasisitiza kuwa: Ashura ingali hai na itaendelea kuwa hai.
Habari ID: 3475798   Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/17

Waislamu wa Madhehebu ya Shia
TEHRAN (IQNA) – Mkutano wa Saba wa Baraza Kuu la Jumuiya ya Kimataifa ya Ahl-ul-Bayt AS ulimalizika hapa katika mji mkuu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran siku ya Jumamosi.
Habari ID: 3475731   Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/04

Hotuba ya Sala ya Idul Fitr Tehran
TEHRAN (IQNA)- Khatibu wa Sala ya Idul Fitr mjini Tehran amesema katika hotuba zake kwenye Swala ya Eidul-Fitri leo hapa mjini Tehran kwamba, maandamano ya Sikuu ya Kimataifa ya Quds yameonyesha kuwa, malengo matukufu ya taifa madhulumu la Palestina yangali hai.
Habari ID: 3475200   Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/03

TEHRAN (IQNA) – Afisa wa Wizara ya Utamaduni ya Iran anasema malengo ya Maonyesho ya 29 ya Kimataifa ya Qur'ani ya Tehran yamefikiwa kwa usaidizi wa watu na mashirika.
Habari ID: 3475192   Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/01

TEHRAN (IQNA)- Maonyesho ya 29 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Tehran yamefunguliwa Jumamosi jioni katika sherehe iliyohudhuriwa na maafisa wa ngazi za juu serikalini.
Habari ID: 3475133   Tarehe ya kuchapishwa : 2022/04/17

TEHRAN (IQNA)- Maonyesho ya Kimataifa ya Qur'ani ya Iran ni makubwa zaidi ya aina yake katika Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
Habari ID: 3475119   Tarehe ya kuchapishwa : 2022/04/12

TEHRAN (IQNA)- Duru ya 29 ya Maonyesho ya Kimataifa ya Qur’ani Tukufu ya Tehran imepenga kufanyika katika Ukumbi wa Sala (Musalla) wa Imam Khomeini (RA).
Habari ID: 3475036   Tarehe ya kuchapishwa : 2022/03/13