Maonyesho ya Qur'ani Tukufu
IQNA - Maonesho ya 31 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Tehran yatazinduliwa siku ya 5 ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani, ripoti zisizo rasmi zilidokeza jana.
Habari ID: 3478099 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/12/27
Maonyesho ya Qur'ani Tukufu
TEHRAN (IQNA) - Waandaaji wa toleo lijalo la Maonyesho ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Tehran wanakaribisha mawazo mapya ya kuandaa vyema tukio hilo la Qur'ani.
Habari ID: 3477962 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/11/29
Operesheni ya Kimbunga cha al-Aqsa
TEHRAN (IQNA)- Khatibu wa muda wa Sala ya Ijumaa iliyoswaliwa leo hapa mjini Tehran amesema kuwa, Harakati ya Kiislamu (Muqawama) ya Kupigania Ukombozi wa Palestina (HAMAS) ilivunja mgongo wa Israel kwa kutegemea imani na ushujaa katika operesheni ya kimbunga ya Al-Aqswa.
Habari ID: 3477938 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/11/24
Kadhia ya Palestina
TEHRAN (IQNA)- Akizungumza leo katika sala ya Ijumaa ya mjini Tehran, Hujjatul Islam wal Muslimeen Kazem Sediqi amesema kuwa leo mrengo wa mapambano ya Kiislamu ni mrengo wa kimataifa na kuongeza kwamba mrengo huo umabadilisha dunia.
Habari ID: 3477832 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/11/03
Kimbunga cha Al-Aqsa
TEHRAN (IQNA) - Akizungumzia mafanikio ya operesheni ya Kimbunga cha Al-Aqsa, Khatibu wa Swala ya Ijumaa ya mjini Tehran amesema: "Siku ya (Kimbunga) Tufani ya Al-Aqsa" inapaswa kuzingatiwa kuwa Siku ya Al Baraka kwa watu wa Palestina na Siku ya Nakba kwa utawala wa Kizayuni.
Habari ID: 3477794 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/10/27
Sala ya Ijumaa Tehran
TEHRAN (IQNA)- Khatibu wa Sala ya Ijumaa iliyoswaliwa hapa Tehran hii leo amesema matembezi ya Arubaini ya Imam Hussein (AS) ni zoezi la kimaanawi la aina yake na lisilo na mfano.
Habari ID: 3477604 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/09/15
Khatibu wa Sala ya Ijumaa Tehran
TEHRAN (IQNA)- Khatibu wa Sala ya Ijumaa mjini Tehran ameeleza kuwa, wale wanaochoma moto nakala za Qur’ani Tukufu kwa hakika wanajichoma moto wao wenyewe na kusema: Si jambo rahisi kwa kila mtu kujua hakika ya Qur’ani ambayo ni roho na rehema ya Mwenyezi Mungu, na kufanya ukaidi dhidi ya neno la Mungu ni ishara ya roho ya kishetani.
Habari ID: 3477381 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/08/04
Khatibu wa Sala ya Ijumaa mjini Tehran
TEHRAN (IQNA)- Khatibu wa Sala ya Ijumaa mjini Tehran aliyataja mafanikio ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kuwa ndio sababu kuu ya vita mseto na mashinikizo ya pande zote ya maadui.
Habari ID: 3477018 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/05/19
Utamaduni
TEHRAN (IQNA) – Banda la Oman katika Maonyesho ya 34 ya Kimataifa ya Vitabu ya Tehran limeweka vitabu vya maonyesho katika nyanja tofauti, afisa msimamizi wa banda hilo alisema.
Habari ID: 3477014 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/05/18
Msanii wa Afghanistan
TEHRAN (IQNA) – Msanii wa Afghanistan, Hakima Qanbari amesema lugha ya sanaa huwasilisha ujumbe bila maneno, na kuongeza kuwa kazi za sanaa za Qur’ani zinawavutia wasio Waislamu.
Habari ID: 3476860 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/04/13
Maonyesho ya Qur'ani
TEHRAN (IQNA) – Kitengo cha Kimataifa cha Maonyesho ya 30 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Tehran ktafunguliwa Jumatatu, Aprili 3, 2023.
Habari ID: 3476800 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/04/02
Maonyesho ya Qur'ani ya Tehran
TEHRAN (IQNA)- Maonyesho ya 30 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Tehran yamefunguliwa rasmi Jumamosi na Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Sayyid Ebrahim Raisi.
Habari ID: 3476799 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/04/02
Maonyesho ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Tehran
TEHRAN (IQNA) - Mkuu Duru ya 30 ya Maonyesho ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Tehran amesema mawaziri wa wakfu na utamaduni wa nchi saba watatembelea tukio hilo la Qur'ani.
Habari ID: 3476703 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/03/14
Maonyesho ya Qur'ani
TEHRAN (IQNA) – Ukumbi wa Sala (Musalla) wa Imam Khomeini (Mwenyezi Mungu Amrehemu) utakuwa mwenyeji wa toleo la 30 la Maonyesho ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Tehran, kama ilivyokuwa miaka ya nyuma.
Habari ID: 3476661 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/03/05
Maonyesho ya Qur'ani
TEHRAN (IQNA) - Mohammad Mehdi Aziz-Zadeh ameteuliwa kuwa mkuu wa sekretarieti ya kudumu ya Maonyesho ya Kimataifa ya Qur'ani ya Iran.
Habari ID: 3476505 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/02/02
Shahidi Soleimani
TEHRAN (IQNA)-Kongamano la Kwanza wa Kimataifa wa Fikra za Shahidi Luteni Jenerali Qassem Soleimani limemalizika hapa mjini Tehran.
Habari ID: 3476363 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/01/06
Maonyesho ya Qur'ani Tukufu
TEHRAN (IQNA) - Kikao cha baraza la kutunga sera za Maonyesho ya 30 ya Kimataifa ya Qur'ani Tehran kilifanya mkutano mapema wiki hii, afisa mmoja alisema.
Habari ID: 3476356 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/01/04
Maonyesho ya Qur'ani Tukufu
TEHRAN (IQNA) - Sekretarieti ya Maonyesho ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Tehran imesema iko tayari kupokea mawazo na mapendekezo mapya kwa ajili ya kuandaa vyema tukio la kimataifa.
Habari ID: 3476231 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/11
Khatibu wa Sala ya Ijumaa Tehran
TEHRAN (IQNA)- Khatibu wa Sala ya Ijumaa ya leo mjini Tehran amesema mustakabali wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran hii leo umeng'ara zaidi kuliko wakati wowote ule.
Habari ID: 3475967 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/21
Matembezi ya Arbaeen
TEHRAN (IQNA)- Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameitaja Arbaeen (Arubaini) ya Imam Hussein AS kuwa ni muujiza wa Mwenyezi Mungu na moja ya madhihirisho na vielelezo vya umoja wa Waislamu na akasisitiza kuwa: Ashura ingali hai na itaendelea kuwa hai.
Habari ID: 3475798 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/17